Kwani kilichotaka kumwua ni jiwe au ni risasi?Kwakweli upo sahihi ni FAILURE BY NATURE hasa Jiwe
Lakini Zaburi 35 iko palepale!
Zaburi 35:1-2Lakini Zaburi 35 iko palepale!
Hafanyi zile ibada za kuabidu majini kwahiyo hawezi lalaNaona kama mheshimiwa amelala ibadani..
Jinga sana weye!Ndivyo alivyokueleza?Kwapa la ngedere!Atubu kwanza dhambi za kusapoti ushoga.
Mungu ni mwema,wakati woteMh Lissu amefanya misa ya kutoa shukrani kwa mungu kwa kumponya na mauti akiwa nyumbani kwao Ikungi, Singida.
Azungumza mengi na kuwaliza mamia ya watu waliokuwepo hapo juu ya mateso aliyoyapitia kama binadamu.
"Naahidi sitampitisha mtu yeyote kwenye maumivu yale niliyoyapata hata kama atakuwa amenikosea kwa kiwango gani."
Ni kauli ya Tundu Lissu leo 10.08.2020 baada ya kushiriki Misa ya shukrani, Kanisani Ikungi, Singida.
Kweli Watanzania tumshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kutuletea huyu kiumbe maana atatuvusha na kutupeleka nchi ya asali na maziwa.
Amina kiongoziMungu ni mwema,wakati wote
Mkuu hayo ndiyo mawe waliyo bakia nayo wana lumumba dhidi ya upinzani.Jinga sana weye!Ndivyo alivyokueleza?Kwapa la ngedere!
Kwa Mungu kamwe hakuna kubwaMungu ni mwema sana.Tutayaona maajabu zaidi.[emoji120]
Wakati wote Mungu yupo kazini ndiyo maana wahenga wakasema kuwa Mungu siyo AthumaniHakika Mungu ni mwema
Wewe umewacha lini?Atubu kwanza dhambi za kusapoti ushoga.
Majinga sana.Hivi kumuita mtu msaliti ni kwamba mlikuwa mna mawazo yanayoelekeana au the same missions to accomplish.Sasa lini Lissu aliwahi kuwa pamoja na vibaka wa CCM?Unamuitaje mtu kuwa amekusaliti wakati hamjawahi kufanana kimsimamo,kichama,kimuono hata maisha tu?The bunch of "green flies" is a catastrophe to the nation itself!πππππMkuu hayo ndiyo mawe waliyo bakia nayo wana lumumba dhidi ya upinzani.
Mwanzo walikuwa wanajidanganya kuwa Lissu hawezi kurudi Tanzania maana anaogopa na tayari kesha pewa hadhi ya ukimbizi.
Mungu wetu ni Mwema sanaMh Lissu amefanya misa ya kutoa shukrani kwa mungu kwa kumponya na mauti akiwa nyumbani kwao Ikungi, Singida.