Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
🤣🤣🤣Dogo mapesa ya Abdul na Mbowe yamekuchanganya, sivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Dogo mapesa ya Abdul na Mbowe yamekuchanganya, sivyo?
🤣 🤣 🤣Kama ni kikoba cha Wachaga kwanini nyie viberenge msio Wachaga mnateseka? Chuki za kuwachukia Wachaga hazitawasaidia chochote
🤣 🤣 🤣Mbowe siyo kufukuzwa tu apelekwe mahakamani kwa kufuja pesa za chama
LISU sina ubishi na hilo ila Chadema aiache tu aende huko kwenye mashirika ya kimataifa, nadhani atatulia kidogo. Anahitaji kujitazama katoka wapi na anaenda wapi. Nahakika akishinda CHADEMA haitasimama kama wafuasi wake mnavyodhani.Kula pesa ya mbowe kwanza, Lisu bila chadema ataishi bila shida siyo lazima kwenda kokote, Taasisi za kimataifa zinamhitaji sana, Mbowe nje ya Siasa na endapo mmekula pesa zake zote atakuwa mzee baraza vijijini kwani Mbowe ni division zero Darajani, Pesa anayotumia sasa kuununua uenyekiti itokee akosa kuwa mwenyekiti atakuwa kichaa lazima augue sana
Mkuu Jose, Joseph Ludovick , kwanza asante sana kwa wewe kutia neno, jf ya sasa ina madogo wengi ambao hawakujui wewe ni nani na ulikuwa nani Chadema, wala hawajui roles ulizokuwa una play Chadema ndio maana wanakubeza humu, usiwajali, sisi wa long time tunakufahamu, tunakuheshimu na hatuwezi kupuuzia hoja yako yoyote kwasababu tunajua ulikuwa jikoni, madogo humu hawakujui!. Ila wewe kutaka Lissu afukuzwe Chadema isije kuwa ni muendelezo wa zile hasira za Lissu kutoa siri za ndoa yako Lwakatare Hajawahi Kusimamia Ndoa YanguNimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.
Naomba kuheshimu maoni yako, nakushauri kwa vile wewe ni an inside man, andaa tuu hati ya mashitaka, list down makosa yote ya Lissu na ushahidi wake, mpelekee KM JJ.Mnyika, Chadema itaitisha fasta ile kangaroo court yake ya CC na kumfukuza Lissu fasta, na huo ndio utakuwa mwisho wa Lissu ili Mbowe apite bila kupingwa. Hili likifanyika tutamshauri Lissu akubali tuu yaishe, akubali kufukuzwa arejee zake Ubelgiji au aende Marekani kuungana na familia yake, aiche Chadema salama waendelee na Sultan wao kwa amani.Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA.
Hii maana yake na wewe pia unayajua mambo ya kihalifu ya Chadema, kujua uhalifu na kutouripoti ni kosa la jinai!. Mimi kama mwandishi wa habari, baada ya kuujua uhalifu wa Chadema, niliuandikia makala na kuuzungumza humu Ikithibitika CHADEMA ilihusika na uvunjifu wa amani, then inapaswa kufutwa kwa mujibu wa katiba! wewe baada ya kuujua uhalifu wa Chedema je ulifanya nini kingine chochote zaidi ya ile video yako ya Bukoba Boy kwenye Youtube?.Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana. Amedanganya kila kitu. Wakati anajua kila kilichotokea CHADEMA ikiwa ni pamoja na mambo ya kihalifu, Lissu hawezi kujitenga na upuuzi wa CHADEMA.
Hii sikuwahi kuisikia, unaweza tukumbusha tukio hili?, maana wakati muafaka ndio huu!.Kwa wasiokumbuka, Lissu alishabikia vitendo vya udhalilishaji alivyofanyiwa mkuu wa wilaya wa kike na wahuni wa CHADEMA.
Duh...!, kumbe Chadema wanateka nyara?!. Hii ndio nasikia leo, ni waziri gani huyo alitekwa nyara na Chadema leo ni waziri na anawachelea magaidi?.wakati huohuo alisimamia waziri mmoja wa leo (hakuwa waziri wakati ule) kutekwa Nyara na wahuni wa CHADEMA.
Hii ni kweli , kwa Zitto niliwapa tahadhari ya karma Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"Lissu amesimamia maamuzi yote ya kuwafukuza na kuwaaibisha waliojaribu kugombea uenyekiti huko nyuma akiwa mwanasheria mkuu wa Chama akifikia kuwatuhumu kwa uhaini dhidi ya chama.
Kumbe Chadema huwa inahusika na ajali?. Hakuna ubaya ukizitaja tukazijuaLissu alihusika kuficha taarifa za wanachama kukituhumu chama kuhusika na ajali ya kada aliyekuwa amejipenyeza Chadema kikachero lakini wakamgundua na kumuwahi.
fukuzeni takatakaundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA.
umeandika mambo kijumla jumla mno..... mengine ni ya kufikirika hayana ushahidiNimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.
Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA.
Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana. Amedanganya kila kitu. Wakati anajua kila kilichotokea CHADEMA ikiwa ni pamoja na mambo ya kihalifu, Lissu hawezi kujitenga na upuuzi wa CHADEMA.
Kwa wasiokumbuka, Lissu alishabikia vitendo vya udhalilishaji alivyofanyiwa mkuu wa wilaya wa kike na wahuni wa CHADEMA. wakati huohuo alisimamia waziri mmoja wa leo (hakuwa waziri wakati ule) kutekwa Nyara na wahuni wa CHADEMA.
Lissu amesimamia maamuzi yote ya kuwafukuza na kuwaaibisha waliojaribu kugombea uenyekiti huko nyuma akiwa mwanasheria mkuu wa Chama akifikia kuwatuhumu kwa uhaini dhidi ya chama.
Ni yeye aliyetetea mafisadi wakubwa walipoanza kufikishwa mahakamani wakati ule na akageuka mtetezi wa mafisadi.
Lissu alihusika kuficha taarifa za wanachama kukituhumu chama kuhusika na ajali ya kada aliyekuwa amejipenyeza Chadema kikachero lakini wakamgundua na kumuwahi.
Naam, Lissu amekuwa katili na asiye na Roho ya utu hata kidogo. Alishangilia kifo cha Mwenyekiti wa CCM kilipotokea.
Binafsi sina maslahi na nani anaweza kuwa mwenyekiti. Mimi natamani Lissu naye sasa apitie kile ambacho yeye mwenyewe aliwapitisha wenziye. Afukuzwe uanachama wa Chadema haraka na bila huruma.
Ulichowazidi Wachaga wengine ni upumbavu na hilo si lakupongezwa.Kama wewe sio mchagga Pole sanaaa. Wachaga tumewazidi mbali sanaaa kwa akili na kikoba chetu hamtakaa kukiongoza. Anzisheni cha kwenu nyumbu nyie.
Mkuu watu wengi wakikusapoti ndo huwezi kufa au kupigwa, Magufuri kipenzi cheti / Cha wengi alikufa na nani?Ahahahahaha! Eti Lissu ana watu wengi, KUMBAVU! Alivyopigwa risasi walifanya nini hao watu wengi? Siku ile baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 alipokuwa anakimbia airport ili aende Ubeleji mbona alikuwa peke yake na Maafisa wa Ubalozi wa EU tu? Hao watu wengi alionao walikuwa wapi? KUMBAVU!!!
Kama mtu ninayemfahamu maisha yake ya Udanganyifu. Lissu siyo dikteta uchwara bali ni dikteta kamili. Wote waliowahi kuwa karibu naye kiuongozi wanalifahamu hili. Sidhani kama wana Chadema sasa wanataka kutawaliwa na Mr.Haambiliki. pili Lissu hana Any policy accomplishment wala hana maono yoyote wala msimamo wa kisera. Malalamiko tena ya kinafiki hayawezi kuongoza chama. Kama anadanganya kwenye mambo yanayofahamika itakuwaje kwa yasiyofahamika?Wewe kama Nani?
Ndugu yangu, kuna watu huishi gizani wakati wote. Wewe ni mmoja wao. Kumbuka njama anazozitumia Lissu sasa ndo mbinu hizohizo imekuwa ikizitumia CHADEMA kama chama inapopambana na CCM ama mambo mengine. Ni uongo na hadaa. Lissu hajamsema Mbowe lolote, amejisema yeye zaidi kuliko alivyomsema Mbowe. Maana kila anacholalamikia yeye mwenyewe amekifanya tena amekilinda tena amekisimamia. Lissu hakuna namna anaweza kuuzwa kwetu kama mwana mabadiliko. Ni mtu mpuuzi sana mwenye ego kubwa asiyejali maisha ya wengine. Baada ya kuwaharibu wengine, zamu yake naye imefika. Itimie harakaHuu ujinga bakia nao huko unaposhinda ghetto kwa mbowe ukivuta bangi, humjui wala kumfahamu lisu na kama ungemjua usingemsingizia hayo yote ya kijinga uliyoyaandika kisa njaa zako umekula pesa za mbowe na kuja na ujinga eti lisu afukuzwe? Kusema madudu ya mbowe udhaifu mapungufu ya mbowe kuna ubaya gani? Hiki ni kipindi cha kampeni unataka kumpangia Lisu cha kusema ? Kisa eti atafukuzwa akisema madhambi ya mbowe? Chadema itaoza ikiendelea kuwa na watu wajinga kama wewe
Dah! Kiukweli nimezionea huruma MB zako!Mkuu watu wengi wakikusapoti ndo huwezi kufa au kupigwa, Magufuri kipenzi cheti / Cha wengi alikufa na nani?
Muulizeni Lissu alikuwa wapi miaka yote haya yakitokea. Mnajitoa akili kana kwamba Lissu siyo sehemu ya uongozi wa juu wa CHADEMA? Anahusika na kila tuhuma anazotoa sasa kwa unafiki. Yeye ndiye aliukumbatia mfumo anaoulalamikia sasa. Tena akitumia kuaminika kwake kama Mwanasheria kuwanyamazisha na kuwaaminisha watu uongo. Kama anasema Mbowe amekula ruzuku, wamekula pamoja. Kama ni kufukuza wapinzani wa Mbowe ndani ya Chama, ni yeye alikuwa anasuka na kusimamia mipango hiyo na yuko on record. Hakuna mtu aliyesimamia ufisadi ndani ya Chadema kuliko Lissu.Mbowe anaendesha chama kienyeji idara ya pesa yupo mwenyewe katibu mkuu wala kiongozi yeyote hasogei kitengo cha pesa za chama, hata kuwe na ufisadi viongozi wengine hawatahusika, hakuna mtu mwenye Akili Timamu atamwelewa mleta mada na ana Bahati kala pesa za mbowe mapema, na asingekuwa kala mbowe asingemlipa baada ya kusoma majibu yetu humu
CCM mbona mnamwogopa sana Mbowe na Lissu.Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.
Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA.
Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana. Amedanganya kila kitu. Wakati anajua kila kilichotokea CHADEMA ikiwa ni pamoja na mambo ya kihalifu, Lissu hawezi kujitenga na upuuzi wa CHADEMA.
Kwa wasiokumbuka, Lissu alishabikia vitendo vya udhalilishaji alivyofanyiwa mkuu wa wilaya wa kike na wahuni wa CHADEMA. wakati huohuo alisimamia waziri mmoja wa leo (hakuwa waziri wakati ule) kutekwa Nyara na wahuni wa CHADEMA.
Lissu amesimamia maamuzi yote ya kuwafukuza na kuwaaibisha waliojaribu kugombea uenyekiti huko nyuma akiwa mwanasheria mkuu wa Chama akifikia kuwatuhumu kwa uhaini dhidi ya chama.
Ni yeye aliyetetea mafisadi wakubwa walipoanza kufikishwa mahakamani wakati ule na akageuka mtetezi wa mafisadi.
Lissu alihusika kuficha taarifa za wanachama kukituhumu chama kuhusika na ajali ya kada aliyekuwa amejipenyeza Chadema kikachero lakini wakamgundua na kumuwahi.
Naam, Lissu amekuwa katili na asiye na Roho ya utu hata kidogo. Alishangilia kifo cha Mwenyekiti wa CCM kilipotokea.
Binafsi sina maslahi na nani anaweza kuwa mwenyekiti. Mimi natamani Lissu naye sasa apitie kile ambacho yeye mwenyewe aliwapitisha wenziye. Afukuzwe uanachama wa Chadema haraka na bila huruma.
Naomba kukuuliza kitu, Jos, kama target ya Chadema ni kushika dola, Lissu ndie the one and only mwenye uwezo huo, huoni kumchafua Lissu kwa maovu yake ndani ya Chadema, pia unakichafua chama na unamchafua Mbowe?. Kati ya wewe na bosi wako Rwaka, nani anaijua Chadema zaidi?. Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!Kama mtu ninayemfahamu maisha yake ya Udanganyifu. Lissu siyo dikteta uchwara bali ni dikteta kamili. Wote waliowahi kuwa karibu naye kiuongozi wanalifahamu hili. Sidhani kama wana Chadema sasa wanataka kutawaliwa na Mr.Haambiliki. pili Lissu hana Any policy accomplishment wala hana maono yoyote wala msimamo wa kisera. Malalamiko tena ya kinafiki hayawezi kuongoza chama. Kama anadanganya kwenye mambo yanayofahamika itakuwaje kwa yasiyofahamika?
Mkuu paschal mayalla kwa kuchukua muda wa kutosha na kusoma andiko langu kwa karibu na kufollow up. Nakufahamu kwa umakini mkubwa. Lakini nimeshangazwa tukio ulilorejea kwamba linaweza kuwa sababu za mimi kuwa na hasira na Lissu. Mimi nina HASIRA kubwa na Lissu lakini haitokani na hicho kisa chake cha uongo kama kawaida yake. Nimeshangaa umenukuu andiko ambalo nilikanusha madai yake lakini uka affirm kana kwamba alichosema kilikuwa kweli.Mkuu Jose, @Joseph Ludovick , kwanza asante sana kwa wewe kutia neno, jf ya sasa ina madogo wengi ambao hawakujui wewe ni nani na ulikuwa nani Chadema, wala hawajui roles ulizokuwa una play Chadema ndio maana wanakubeza humu, usiwajali, sisi wa long time tunakufahamu, tunakuheshimu na hatuwezi kupuuzia hoja yako yoyote kwasababu tunajua ulikuwa jikoni, madogo humu hawakujui!. Ila wewe kutaka Lissu afukuzwe Chadema isije kuwa ni muendelezo wa zile hasira za Lissu kutoa siri za ndoa yako
Maoni yako hapa yanasikitisha. Kwanza hauamini kama CHADEMA inaweza kufanya maamuzi yake, ukiita Kamati kuu a cangaroo court, lakini pia ukionyesha kuwa against Mbowe. Hii inakupeleka moja kwa moja kuwa surrogate wa Lissu. Kama nimekosea nisahihishe mkuu wangu. Akifukuzwa sasa mtasema wamemfukuza maana wameogopa atashindwa ichaguzi. Ngoja ashindwe kwanza ndiyo sasa aliwe kichwa.Naomba kuheshimu maoni yako, nakushauri kwa vile wewe ni an inside man, andaa tuu hati ya mashitaka, list down makosa yote ya Lissu na ushahidi wake, mpelekee KM JJ.Mnyika, Chadema itaitisha fasta ile kangaroo court yake ya CC na kumfukuza Lissu fasta, na huo ndio utakuwa mwisho wa Lissu ili Mbowe apite bila kupingwa. Hili likifanyika tutamshauri Lissu akubali tuu yaishe, akubali kufukuzwa arejee zake Ubelgiji au aende Marekani kuungana na familia yake, aiche Chadema salama waendelee na Sultan wao kwa amani.
Ndg yangu umepatwa na nini? Unakiri kuna video ya Bukoba boy halafu bado unadai niripoti uhalifu? Au na wewe ni kati ya wengi walioaminishwa na Lissu kuwa video ile haikuwa halisi wala kweli? Video ile haikuwa inafichua uhalifu? Hiyo ni moja tu. Yako mengine mengi niliyoripoti kifichoni na hadharani. Hata hapa JF nilishaandika mengi mno ya uhalifu huo. Tatizo watu wa aina ya Lissu walikuwa wakiyapinga nanyi mkiwaamini. Ulitaka nifanyeje zaidi.Hii maana yake na wewe pia unayajua mambo ya kihalifu ya Chadema, kujua uhalifu na kutouripoti ni kosa la jinai!. Mimi kama mwandishi wa habari, baada ya kuujua uhalifu wa Chadema, niliuandikia makala na kuuzungumza humu Ikithibitika CHADEMA ilihusika na uvunjifu wa amani, then inapaswa kufutwa kwa mujibu wa katiba! wewe baada ya kuujua uhalifu wa Chedema je ulifanya nini kingine chochote zaidi ya ile video yako ya Bukoba Boy kwenye Youtube?.
Naomba kukuuliza, baada ya bandiko lako hili CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi , mara mlengwa alikufa kwa ajali TANZIA - Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali
je ilikuwa ni ajali ya kawaida au kama ile ya Chacha Wangwe?.
Aidha nimestushwa kwamba haujui kuwa CHADEMA ya Lissu na Mbowe huwa wanateka watu..inashangaza sana kwa sababu matukio ya utekaji Chadema yapo muda mrefu. Hii inakuonyesha wewe ni mtu gani na upo upande gani. Wewe ndiye haukujua utekaji Nyara wa aliyekuwa msaidizi wa Dr.Slaa? Akafungiwa siku kadhaa na kufanyiwa matendo ya udhalilishaji wa utu? Haijui wewe kisa cha kutekwa na CHADEMA mtu anaitwa Joseph Yona na amekuwa akisema yeye mwenyewe na akina Lissu wakidiscredit account yake kwa faida ya uuaji wao? Haujui wewe aliyoandika Dr.Slaa kwenye kitabu chake cha Nyuma ya Pazia?......umenishtua mkuu. Kama ni chuki kwa uliyemwita "Sultani" basi imekupofusha na kama ni mapenzi kwa "mkombozi" nayo yamekupofusha vilevile.Duh...!, kumbe Chadema wanateka nyara?!. Hii ndio nasikia leo, ni waziri gani huyo alitekwa nyara na Chadema leo ni waziri na anawachelea magaidi?.
Mkuu, siku nyingi sana kiongozi.Nimeona mchakato huu usipite bila kutoa neno japo dogo kwa kuanzia.
Kwa mambo aliyofanya na kusema mpaka sasa, kuna jambo moja pekee ambalo ni muafaka kwa Tundu Lissu nalo ni Kufukuzwa CHADEMA.
Kwetu sisi tunaomfahami hasa maisha yake nje ya media, tunajua kuwa ni Muongo na mjanjamjanja sana. Amedanganya kila kitu. Wakati anajua kila kilichotokea CHADEMA ikiwa ni pamoja na mambo ya kihalifu, Lissu hawezi kujitenga na upuuzi wa CHADEMA.
Kwa wasiokumbuka, Lissu alishabikia vitendo vya udhalilishaji alivyofanyiwa mkuu wa wilaya wa kike na wahuni wa CHADEMA. wakati huohuo alisimamia waziri mmoja wa leo (hakuwa waziri wakati ule) kutekwa Nyara na wahuni wa CHADEMA.
Lissu amesimamia maamuzi yote ya kuwafukuza na kuwaaibisha waliojaribu kugombea uenyekiti huko nyuma akiwa mwanasheria mkuu wa Chama akifikia kuwatuhumu kwa uhaini dhidi ya chama.
Ni yeye aliyetetea mafisadi wakubwa walipoanza kufikishwa mahakamani wakati ule na akageuka mtetezi wa mafisadi.
Lissu alihusika kuficha taarifa za wanachama kukituhumu chama kuhusika na ajali ya kada aliyekuwa amejipenyeza Chadema kikachero lakini wakamgundua na kumuwahi.
Naam, Lissu amekuwa katili na asiye na Roho ya utu hata kidogo. Alishangilia kifo cha Mwenyekiti wa CCM kilipotokea.
Binafsi sina maslahi na nani anaweza kuwa mwenyekiti. Mimi natamani Lissu naye sasa apitie kile ambacho yeye mwenyewe aliwapitisha wenziye. Afukuzwe uanachama wa Chadema haraka na bila huruma.
Nianze kusahihisha makosa kwenye bandiko lako hili.Naomba kukuuliza kitu, Jos, kama target ya Chadema ni kushika dola, Lissu ndie the one and only mwenye uwezo huo, huoni kumchafua Lissu kwa maovu yake ndani ya Chadema, pia unakichafua chama na unamchafua Mbowe?. Kati ya wewe na bosi wako Rwaka, nani anaijua Chadema zaidi?. Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!
Mbona yeye kanyamaza, wewe kumsagia Lissu kunguni unapata nini?.
P