PreGE2025 Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi

PreGE2025 Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Serekali wasipokuwa makini wanaweza wakadhani wanamdhoofisha Lissu kumbe ndio wanamwandaa kuwa kiongozi kama akina Mandela.
Utabiri wa shekhe Yahya unaenda kutimia Upinzani utashinda uchaguzi mkuu kama kule Senegal
 
Kwenye uhaini ,itakuwa mara ya pili ,enzi za mkapa lisu alishitakiwa kwa kosa Hilo

Polisi wa kutoa ushahidi ajiandae presha anatakiwa kupima kilasiku
Huwa wanaumbuliwa mahakamani hata kipindi cha mbowe walihenyeshwa sana mahakamani
 
Lissu alimnanga Mbowe kuwa kachoka Mara goi goi Mara kalamba ati kaitisha maandamano kajitokeza yeye na mwanae tu haya kiko wapi?

Walimu kana sana Mbowe kwa mindset hizi hizi ambazo Leo zimeshindwa Kuanzisha tafrani hata pale uwanjani.

Hivi Kenya Polisi wangeweza mchomoa Odinga au kiongozi wa upinzani mbele ya umati kama ule?
Nenda wewe tuon team siasa za Ongeza Dau😅😅
 
Inasikitisha sana umma wa watanzania upo hoi dhoofu hata tubadilishiiwe 'mwokozi' toka kwa masiha Freeman Mbowe hadi masiha Tundu Lissu tupo wagumu kujiokoa.

Tundu Lissu naye anaweza kuchoka na kubwaga manyanga katika hali ya kustaajabisha heri Mbowe alibwaga manyanga katika uchaguzi mkuu wa CHADEMA kwa heshima kubwa.
Hii inakatisha sana tamaa, Lissu ajijue kuwa ataachwa peke yake!! Hii jamii iliyo busy kujua maisha ya Manara kuliko budget ya Nchi Yao ni laana!

Pili zile strategies walizotumia kina Lema kwenye uchaguzi zimewafanya wengi wasuse waone mwisho wa umwamba wao!! Yaani mnatoka kuhamasishwa kuzuia uchaguzi hapo hapo kiongozi wenu anadakwa mnamkimbia!! Inasikitisha sana!
 
Leo Aprili 10, 2025, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mwanasheria Tundu Lissu amehojiwa kwenye na Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa makosa mawili ya Uhaini na kutoa taarifa za Uongo. Pia Lissu hajatoa maelezo yoyote isipokuwa taarifa zake binafsi pekee.

Polisi wamesema watampandisha mahakamani punde wakikamilisha taratibu zinazotakiwa

Pia soma: Pre GE2025 - John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini

View attachment 3298983
Aiseh, ccm wakizidiwa wànatuumia polis
 
Ikiwa Nyerere aliwahi kutuhumiwa kwa kosa la Uhaini wewe ni nani mpaka uogope?? Mandela aliitwa mpaka Gaidi leo hii amelala kaburini Heshima yake itadumu milele zote!! waoga hudhani kukamata watu kuwatesa ni tiba hilo sio kweli.
Mtu mpuuzi mpuuizi asiye na mbele wala nyuma Dola na ccm haiwezi kuhangaika naye.

Lissi is a man of Value. Wanamsafishia njia.

Ukiwa mweupe au siasa za Udalali hawana muda na wewe
 
Hii inakatisha sana tamaa, Lissu ajijue kuwa ataachwa peke yake!! Hii jamii iliyo busy kujua maisha ya Manara kuliko budget ya Nchi Yao ni laana!

Pili zile strategies walizotumia kina Lema kwenye uchaguzi zimewafanya wengi wasuse waone mwisho wa umwamba wao!! Yaani mnatoka kuhamasishwa kuzuia uchaguzi hapo hapo kiongozi wenu anadakwa mnamkimbia!! Inasikitisha sana!
Siasa za Udalali hata mzipigie chapuo vipi kwa Lissu mtagonga mwamba
 
Polisi wanazidi kukoleza madai ya wapinzani ya jinsi CCM inavyotumia risasi na mabomu kujibu hoja za wapinzani. Ngoja waendelee kuipaka mavi CCM dunia ijue udikteta wa Samia.
Duniani kote sasa ni habari za Lisu vyombo vya habari balozi umoja wa ulaya taasisi za haki za binafsi kote wana taarifa
 
Nenda wewe tuon team siasa za Ongeza Dau😅😅
Nyie msioongeza dau mko wapi? Washenzi na wapumbavu wakubwa kima nyie!! Mbona hamjakiamsha kuwakabili Polisi mmebaki kwenye keyboard? Pathetic fools!
 
Leo Aprili 10, 2025, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mwanasheria Tundu Lissu amehojiwa kwenye na Polisi kanda Maalumu ya Dar es Salaam kwa makosa mawili ya Uhaini na kutoa taarifa za Uongo. Pia Lissu hajatoa maelezo yoyote isipokuwa taarifa zake binafsi pekee.

Polisi wamesema watampandisha mahakamani punde wakikamilisha taratibu zinazotakiwa

Pia soma: Pre GE2025 - John Heche: Nimepata taarifa za kuaminika kuhusu mpango wa kumkamata Tundu Lissu kwa Kumbambikia Kesi ya Uhaini

View attachment 3298983
Hamna kesi hapo ni mwendo wa kukazia hapo hapo ndo penye tobo
 
ni vizuri asalie korokoroni,
kisha J3 wampeleke mahakamani ili iwe fundisho kwa wahalifu wa aina hii wanaojificha nyuma ya mikutano ya hadhara kwa mgongo wa kisiasa :NoGodNo:
Yaani mama Samia anarudi zama za Jpm kwa Kasi sana, Zile R 4 Zinamaanisha nn
 
Mtu mpuuzi mpuuizi asiye na mbele wala nyuma Dola na ccm haiwezi kuhangaika naye.

Lissi is a man of Value. Wanamsafishia njia.

Ukiwa mweupe au siasa za Udalali hawana muda na wewe
Kwa sasa ccm wanamfanyia promotion Lisu pasipo kujijua, huu ubaya wanaomfanyia utampaisha kote Duniani na kupelekea kupata msaada wa kimataifa na huruma ya watanzania
 
Back
Top Bottom