PreGE2025 Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi

PreGE2025 Tundu Lissu ahojiwa kwa makosa ya uhaini na kutoa taarifa za uongo, agoma kutoa maelezo Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nguvu ya Umma Tanzania nzima karibu masaa 24 yatatimu na bado hatujaingia mitaani ?

Reaction (vuguvugu) la umma masaa 48 ya mwanzo ndiyo yatakayotupa ukweli (struggle) mapambano ya kudai madadiliko tunayaweza au ni nadharia iliyo na matamanio bila kusukumwa na vitendo endelevu visivyokoma vitadhihirika.
Nguvu ya umma ya wabongo nikwenye mitandao.Ukienda uko X wanatukana kitu ambacho wala hakishtui viongozi.Usiku utaingia tutalala kukikucha tena tutaamkia mitandaoni kutukana,kulaani na kulalamika.
 
Ndio, ya kubambikia kesi ccm inafanya vizuri kwa 100%
Kwenye pesa za ATC TTCL TRC hawana nguvu pesa inapigwa lakini wakisikia chadema wanakurupuka kuwabambikia kesi
 
Hii inakatisha sana tamaa, Lissu ajijue kuwa ataachwa peke yake!! Hii jamii iliyo busy kujua maisha ya Manara kuliko budget ya Nchi Yao ni laana!

Pili zile strategies walizotumia kina Lema kwenye uchaguzi zimewafanya wengi wasuse waone mwisho wa umwamba wao!! Yaani mnatoka kuhamasishwa kuzuia uchaguzi hapo hapo kiongozi wenu anadakwa mnamkimbia!! Inasikitisha sana!
Ulitaka wananchi wapambane na polis? Binafsi namsikitikia Samia karudi kwa Jpm kwa Kasi maana alikuja na mbwembwe za R4
 
Kichaa anatumia policcm ili akubalike na wananchi. Sukari ni Sukari tu hata uichanganye na chumvi.
Polisccm wote wanaotumika kuwatesa wapinzani wajiandae kufikishwa mahakama ya uhalifu wa kibinadamu the hague uholanzi
 
Ulitaka wananchi wapambane na polis? Binafsi namsikitikia Samia karudi kwa Jpm kwa Kasi maana alikuja na mbwembwe za R4
Ogopa mandamano ya moyoni kila mwananchi akiandamana moyoni laana kubwa itawakumba CCM yatatokea ya Ghana zambia Senegal kwenye uchaguzi
 
Muhaini ni yule anaepora pesa zetu na kuhonga wasanii yeye na mwanae...maza kwa ground hali yake mahamumu bila kuwatumia policeccm na tissccm hawawezi kutoboa hata ujumbe wa mtaa...ndio shida ya kutawaliwa na watu wenye diploma
Mda ukifika mungu akiamua ya kule Senegal yatatokea Tanzania
 
Siwapendi viongozi wa CCM ya sasa ni wabinafsi na walafi.

Pia siwapendi viongozi wa Upinzani kabisa! Wamejaa unafki na ubinafsi.

Yeyote aliyempinga Magufuli kwangu Hana nafasi, maana sioni atatufanyia nini km Taifa.
Natamani sana wanasiasa wakae pembeni, Jeshi letu la wananchi lichukue nchi, hapo labda tutapona.
Maana hata tukimpata Magufuli mwingine kwa siasa hizi hatapona!
 
Nguvu ya umma ya wabongo nikwenye mitandao.Ukienda uko X wanatukana kitu ambacho wala hakishtui viongozi.Usiku utaingia tutalala kukikucha tena tutaamkia mitandaoni kutukana,kulaani na kulalamika.
Laana zikiwa nyingi ccm watanyooka tu
 
Nyie msioongeza dau mko wapi? Washenzi na wapumbavu wakubwa kima nyie!! Mbona hamjakiamsha kuwakabili Polisi mmebaki kwenye keyboard? Pathetic fools!
Kuna kitu unajivunia ndio maana unatukana watu hovyo.

Hongera sana.
 
Hata mdude na mwabukusi walishawahi kushitakiwa kwa uhaini ila wapo huru kwasasa.

Atatoka tu maana hakuna uhaini hapo maana anawaambia wanachamawa wao wasishiriki uchaguzi maana kura zao hazihesabiwi.
 
Siwapendi viongozi wa CCM ya sasa ni wabinafsi na walafi.

Pia siwapendi viongozi wa Upinzani kabisa! Wamejaa unafki na ubinafsi.

Yeyote aliyempinga Magufuli kwangu Hana nafasi, maana sioni atatufanyia nini km Taifa.
Natamani sana wanasiasa wakae pembeni, Jeshi letu la wananchi lichukue nchi, hapo labda tutapona.
Maana hata tukimpata Magufuli mwingine kwa siasa hizi hatapona!
Hasara za kuamini mtu badala ya mifumo.😅😅
 
Chadema wanajipanga kuwafikisha Polisiccm the hague mahakama ya uhalifu ili iwe fundisho kwao
 
Kuna kitu unajivunia ndio maana unatukana watu hovyo.

Hongera sana.
Hii Lugha ndo inawastahili nyie wapumbavu! Watu wameumia kwaajili yenu mnapanua midomo eti madalali huku mnachezea mbususu za mademu zenu wenzenu wakiumia! Hata huyu Lissu siku moja mtakuja muita Dalali pathetic fools!
 
😡
 
Hasara za kuamini mtu badala ya mifumo.😅😅
Mfumo ni nini?
Mfumo ni dude gani?
Kuna mfumo unaojiendesha bila usimamizi wa mtu?
Nchi gani inaendeshwa kwa huo mfumo?
Je katiba yetu sio mfumo wenyewe? Mbona haifuatwi?
Hao baba zako wa demokrasia mbona Kila kiongozi akiingia anafanya yake? Hawana mfumo?

Nyie ndio mnaotuchelewesha,mnakariri pasipo akili
 
Back
Top Bottom