Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

safari hii atafuatwa na kifaru
 
Hili tukio ndilo linafunga kazi na kum - discredit kabisa Magufuli na serikali yake....

Hii moja kwa moja linamweka kwenye uhusika Rais Magufuli, hawezi kukwepa wala kujificha....
[/QUOTE
 
safari hii atafuatwa na kifaru
Hahaaaaaa.......... 😀 😛

Huo ulinzi wake usipime na kama unayataka makubwa yakukute, hebu jaribu kuingilia msafara wa Tundu Lissu kuuvuruga, ili ujionee cha moto!
 
Acha upuuzi serikali imeajiri watu wa kwenda mahakamani huyu jiwe wenu anapenda sana sifa kiasi MTU akitoa hoja inayokinzana nae akili yake ni kumuua tu! Hana tofutiaaauti na Iddi Amin
Sasa wewe si jinga tu ndio maana una muona Lisu anaakili?

Huyo mtamchagua nyie wajinga wenzie wa chadema! Watanzania hawawezi kumchgua mtu aliekiri kwa mdomo wake kwamba alipigwa risasi sababu ya usaliti
Unazidi kudhihirisha ukilaza wako!
 
Ashindwe kupanik mama yako kwa kuzaa mzoga Kama wewe nipanick mimi
Hahaaaaaa........... 😁 😆

Mjadala umekuwa so hot kiasi hiki, hadi watu mnataka kuanza kuparurana??

Na bado hiyo ndiyo trailer tu ya kutafuta wadhamini, je wakati wa kampeni yenyewe ukianza hapo Agosti 26 si nyinyi watu mtajifia kabisa??
 
Mawakala wa shetani mnajaribu kwa njia zote kuhalalisha ushetani wenu.
Damu ya binadamu ikimwagika, no matter ni mkosaji au si mkosaji,lazima aliyeimwaga atapata malipo hapahapa duniani kabla ya moto wa jehanamu (kama akifa hajatubu).
 
Dereva je? Anarudi lini maana yule ndo alishuhudia kila kitu.

Tunataka atuambie zile risasi alizopigwa lissu katika mguu wa kulia upande aliokua amekaa yeye zilimkosaje zikampata Lissu.
Ningewajua wazazi wako,ningewapa pole na kuwashauri wabadilishane wewe kwa japo "door mat".
 
Lissu katuhumu upande mmoja kuwa ulitamka kuwa msaliti yeyote hastahili kuishi.
Je msaliti akigunduliwa hastahili kwanza kukamatwa ?
Kupelekwa mahakamani?
Uchunguzi kufanyika?
Kupewa nafasi ya kujitetea?
Na akipatikana na hatia kupewa adhabu?
Na je adhabu ya msaliti ikoje kisheria,Ni kifungo,kifungo na faini ama kunyongwa mpaka afe?
Au Ni kutumia magenge ya wahalifu Kama Hawa wasiojulikana ya kuua na kukimbia?
Je kushambulia kwa mtindo alioshambuliwa Lissu sio uvunjaji wa sheria?
Walishindwaje kumkamata na kumshitaki mahakamani?
Marekani na Urusi ni mahasimu wakubwa mno,lakini nchi mojawapo ikikamata msaliti au hata jasusi wa nchi hasimu huwapeleka mahakamani na kufungwa.
Kama ilijulikana fulani Ni msaliti msaliti adhabu yake Ni kufa bila kuhojiwa,kushitajiwa na kuhukuniwa kwa njia za kisheria.?
Wataalamu imekaaje hii.?
 
Siku nyingine ukumbuke kwamba, ukitaka kuandika, Andiko lako ama maoni yako unataka yasomwe na Nani na yawe faida Kwa Nani!

Inakubidi uwe unatumia utulivu pindi uandikapo hoja zako ili ueleweke vizuri
 
evidence! lkn kwa akina Juma, .......
 
Msaliti haitaji kuishi kabisa kwan yeye mwenyewe kuifanya hiyo kaxi ni sawa na muuwaji kabisa. Km kweli yeye ni msaliti kam alivyojiisi hata mm niko tayari kujifunga bomu nife naye ila nchi yangu iwe salama
 
Tuhuma zilianzia kwenye kamati ya Osoro. Na walichoandika kuna uongo na propaganda nyingi.

Pia wenyewe ndo waliomchongea kwa rais, kwa kumwambia kwamba “anatafuta taarifa”, nadhani ni za uchunguzi wa kamati wake.
 
Kwani Lissu ana maanisha yeye ndio alikuwa msaliti na anadokoa siri zetu na kuziuza kwa mabeberu? Kwa hiyo Lisu kakubali alikuwa ana tusaliti?
Sijataja Lissu katika post yangu jaribu kutoa akili kidogo
 
Kama hujui chochote mtafute mwanamke mrembo mfundishe vizuri jinsi ya kupeleleza muunge na Le mutuz alale nao ni mdhaifu mno kwa wanawake atatoa Siri zote mwanzo mwisho jinsi walivyosafiri kutoka Dsm wakiwa na magari mawili ndani ya vx akiwa yeye Bashite, cyprian Musiba na Jerry muro huku ndani ya Nissan nyeupe wakiwemo wasiojulikana na Heri kisanduku na nyaulingo ambao walishuka na kumpika risasi Tundu lisu, FBI na CIA waliopo ubalozi wa marekani walichunguza tukio lote kwa siri wakampa Tundu lisu taarifa na file lote, kampeni zikianza Tundu lisu atamwaga ukweli wote na ndipo utashangaa na kujua Duniani hakuna siri ukitenda mabaya chini ya jua lazima yajulikane tu.
 
Kumbe ni kweli alikuwa anatoa information kwa mabeberu, watu type yake ni cancer kwa taifa na dawa yake ni kuwa multply by zero.
nyinyi sisiem ni stupid mno, hivu kuna siri gani ambazo hao mnao waita mabeberu Wa acacia/barrick walizihitaji wakati wana mikataba ambayo wezi akina jiwe na wenzake ndani ya gvt na chama chao wamesaini? Propaganda za kipuuzi, kitoto na kijinga, hayo makinikia yameenda, $ bil 195 hakuna, tumeambulia kishika uchumba HAWAWEZI JIBU! na wakijaribu kujibu tuu! UKWELI KUHUSU JIWE ALIVYOJARIBU KUMUUA TAL UTAKUWA WAZI KWA KULA MTU! (Zingatia cap letters)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…