Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

Ni nyie nyie chadema ndo mlimpiga Lissu risasi. ipo siku itajulikana. Tubuni
Hata aibu huna. Post ya mwanzo kabisa wenzio wanna likes had 60 wewe hata moja.[emoji23][emoji23]
 
Suppose aseme kuwa ndiye msaliti, mtamfanyeje? Mtamvizia kijambazi mmpige Risasi?.....Really? Really?

Sijui ni kwanini watetezi hawa wa Rais Magufuli hawana uwezo wa kuelewa...

Ni wazi kabisa ndani ya mioyo yao wanajua kuwa Mzee wao huyo alichemka na anaendelea kuchemka siku hadi siku...

Sasa wameamua kuuvaa ujinga kutetea kila ujinga na upumbavu ili mradi wao wanalipwa....
 
Eti taratibu, tuambie utaratibu upi ulitumika kujenga uwanja wa ndege wa Chattle. Double standards.
 
Sio kweli
 
Lissu alichongewa na akina Osoro kwa rais! Kwamba anahangaika hangaika kupata taarifa ili awape Acacia.
 
Aisee jamaa ana fact sana

Kwa hiyo mtu a
Tuliye aminishwa kwamba ni fisadi wa madini na akapachikwa kesi 90s na kuwekwa jela miaka 3 leo hii anataka kugombea ubunge kwa ticket ya ccm ... It means Jamaa leo hii amekuwa msafi !?
 
Nakuelewa vyema mkuu
 
Tundu lisu ndiye aliwaleta wachimbaji madini wa kizungu Tanzania? Uwekezaji wa mkapa na Lisu wapi na wapi? Aliyewaleta hao wazungu Nchini ndiye msaliti, Usikute wewe ndiyo umemuua mzee mkapa kwa kisingizio cha usaliti , kumbe tunahangaika kujua nini kilimuua mkapa? Kumbe wewe ndiyo ulimuua mkapa na upo unadunda
 
Usaliti haukusemwa wa kitu chochote,
Ameongelea msaliti
Wewe pia msaliti kwa mkeo, nani ajifunge bomu afe na wewe, kati ya mkeo na watoto wako?
Aliyekwenda kuwachukua wazungu mwaka 1998 kuwaleta Tanzania kuchimba madini ni marehemu mzee mkapa kama ni usaliti huyo ndiyo alisaliti Nchi
 

Press conference ziliitishwa tuliona wakiweka sahihi.
 
Point sio kweli au uongo. Kwani hatuna mifumo ya sheria ya kushughulika na watu kama hao!? Kama ndio kwanini haikutumika? Tukianza wote kuchukua sheria mkononi kuwa wa kutawaliwa hapo tena?

Mfumo wa sheria!! Yeye alitumia sheria gani kuwa msaliti?
 
Acha porojo FBI wanaruhusiwa kuoperate Nje ya ardhi ya marekani ikiwa tu watakua wameruhusiwa nahio nchi husika
Nchi ipi unaisemea? Kama ni Tanzania tambua kuwa wewe na mtukufu mlizuia uchunguzi wa tukio la shambulio la Lisu kwa njia haramu na za kishetani ndipo chadema wakawaomba FBI CIA wawafanyie uchunguzi wa siri kubwa wakabaini kuwa wewe na wenzako ndiyo mlikwenda Dodoma kumshambulia Tundu ndipo wakakuzuia usiende America na kukulaani ukakosa ubunge jimbo la Kigamboni.
 


Nafikiri unachanganya kati ya Ujasiri na mental disorders!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…