Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,401
- 2,872
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao police wenyewe tangu lissu na dereva wake warudi wana waogopa ..yule sirro alisema kuwa eti hawaja muita lissu kwa sababu yuko busy ..hahaaNendeni polisi na dereva wa Lissu mkatoe maelezo
Suppose aseme kuwa ndiye msaliti, mtamfanyeje? Mtamvizia kijambazi mmpige Risasi?.....Really? Really?Mkuu kwani Lissu ndiye msaliti?
Hata aibu huna. Post ya mwanzo kabisa wenzio wanna likes had 60 wewe hata moja.[emoji23][emoji23]Ni nyie nyie chadema ndo mlimpiga Lissu risasi. ipo siku itajulikana. Tubuni
Suppose aseme kuwa ndiye msaliti, mtamfanyeje? Mtamvizia kijambazi mmpige Risasi?.....Really? Really?
Jpm hana haki ya kumuita mtu yeyote kuwa ni msaliti wa taifa kwa sababu sheria zote za nchi zina simamiwa na mahakama so kama alimuita mtu yeyote kuwa ni msaliti alikuwa ana ikanyaga katiba ya nchi wenye haki ya kusema kuwa mtu fulani ni msaliti ni mahakama tena ni baada ya kufuatilia vifungu vya sheria ambavyo vinathibitisha kuwa kwa hiki alicho kifanya fulani sheria inamtaja kuwa ni msaliti
Eti taratibu, tuambie utaratibu upi ulitumika kujenga uwanja wa ndege wa Chattle. Double standards.Tatizo taratibu zipo lakini hutaki kuzirejea, matibabu ya nje ya nchi yana taratibu zake mbona hapo unakwepa kueleza? Kama unajiamulia kuondoka nchini kwenda kutibiwa nje ya nchi bila kufuata taratibu, gharamikia matibabu mwenyewe usitafute watu wa kulaumu kwa kulazimisha utaratibu usiokuwepo
Sio kweliSijawahi kusikia serikali yenye wahalifu wapumbavu kama Tanzania. Inawezekana Magufuli alikuwa hajui kinachpkwenda kutokea, lakini wahuni wakachomeka kwenye hotuba yake ili aonekane alikuwa anajua shambulizi lile na hivi hata yeye uwezo wa kuchuja maneno ni below 0, basi akalipuka nalo.
Kampeni badoTunataka sera atasaidiaje wakulima, machinga, wasomi, wajiriwa,viwanda,uchumi,siasa ,elimu ,aachane na mambo ya risasi
Nakuelewa vyema mkuuUkiunganisha "dots" hapo unapata jawabu
Mbunge ananyimwa haki yake ya kutibiwa ambayo ni haki yake kisheria.
Mbunge ananyimwa mshahara wake pasipo sababu za msingi.
Hatimaye mbunge anavuliwa kabisa ubunge wake kwa madai kuwa Bunge hilo halijui alipo Mbunge huyo, wakati dunia nzima inajua kuwa mbunge huyo anatibiwa nje ya nchi, baada ya kumimiwa risasi mfululizo!
Tundu lisu ndiye aliwaleta wachimbaji madini wa kizungu Tanzania? Uwekezaji wa mkapa na Lisu wapi na wapi? Aliyewaleta hao wazungu Nchini ndiye msaliti, Usikute wewe ndiyo umemuua mzee mkapa kwa kisingizio cha usaliti , kumbe tunahangaika kujua nini kilimuua mkapa? Kumbe wewe ndiyo ulimuua mkapa na upo unadundaComment yangu Ni kuwa lisu kakiri kuwa yeye Ni msaliti Ila anahusisha shambulio lake kuwa Ni hukumu ya(usaliti)wake na kwamba hakubaliani na hukumu hiyo(kushambuliwa)angepewa hukumu nyengine kwa maelezo yake Sasa nakuuliza wewe hukumu ya msaliti kwa taifa lake Ni Nini? Hebu nisaidie kidogo
Aliyekwenda kuwachukua wazungu mwaka 1998 kuwaleta Tanzania kuchimba madini ni marehemu mzee mkapa kama ni usaliti huyo ndiyo alisaliti NchiUsaliti haukusemwa wa kitu chochote,
Ameongelea msaliti
Wewe pia msaliti kwa mkeo, nani ajifunge bomu afe na wewe, kati ya mkeo na watoto wako?
Hebu tumia akili kudogo tu, ukiwa na mkataba mkononi tayari unatayarishaje mwingine ktk jambo lile Vila kuvunja Wa kwanza? Jijibu mwenyewe, huyu jiwe in mpumbavu anaependa sifa, anataka kupanda ghorofa kwa kuanzia floor ya juu kabisa! At the end nothing. achieved, hakuna, angekua serious angeanza na walio saini mikataba mibovu halafu akatumia weledi kujadiliaba na wachimbaji, sababu hats wao wanajus wanatuibia, ili kuweka mazingira mazuri wange-respond +vely
Point sio kweli au uongo. Kwani hatuna mifumo ya sheria ya kushughulika na watu kama hao!? Kama ndio kwanini haikutumika? Tukianza wote kuchukua sheria mkononi kuwa wa kutawaliwa hapo tena?
Nchi ipi unaisemea? Kama ni Tanzania tambua kuwa wewe na mtukufu mlizuia uchunguzi wa tukio la shambulio la Lisu kwa njia haramu na za kishetani ndipo chadema wakawaomba FBI CIA wawafanyie uchunguzi wa siri kubwa wakabaini kuwa wewe na wenzako ndiyo mlikwenda Dodoma kumshambulia Tundu ndipo wakakuzuia usiende America na kukulaani ukakosa ubunge jimbo la Kigamboni.Acha porojo FBI wanaruhusiwa kuoperate Nje ya ardhi ya marekani ikiwa tu watakua wameruhusiwa nahio nchi husika
Unaweza kuthibitisha uliyo yaandika? Au unaandika tu nyuma ya keyboard
Mbowe alishambuliwa na Msukuma na lijuakali wakatokomea mlemle ndani ndiyo maana lijuakali amelaaniwa kawa zezetaMbowe alishatoa tamko la kuangushwa na konyagi??
Dereva wa kazi gani wakati Lissu mwenyewe yupo?Tunamtaka dereva wa Tundu Lissu ili tuuanze uchunguzi rasmi, kwa nini dereva anafichwa?
Wewe unadhani lissu anaogopa kutwangwa risasi. Lissu ni hero binaadamu mwenye ujasiri kama wake hayupo tz nzima na hato kaa atokee mpaka karne hii iishe kwa sababu ardhi ya taifa hili imebeba watu wengi sana ambaoni ma-coward .. Ingelikuwa wewe ndiye lissu halafu ungeshikiwa kisu tuachilia mbali kupigwa risasi i bet ungeikmbia hii nchi na usingerudi tena ..lakini imagine lissu kapigwa risasi 16 na mwili wake ukatobolewa matobo matobo na kuwa kama chujio ..lakini baada ya kupona karejea nchini bila kuwaogopa watesi wake Na anafanya kampeni ...
Then still unamtishia lissu kifo ukidhani kuwa ataogopa Aisee kweli umerogwa sio bure lissu ni mzimu uliohai haofii kufa kwa sababu tayari alisha kufa na kufufuka