Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

Tunataka sera atasaidiaje wakulima, machinga, wasomi, wajiriwa,viwanda,uchumi,siasa ,elimu ,aachane na mambo ya risasi
 
Hayo maneno ya Rais aliyarudia hata kule manyara kwenye uzinduzi wa ukuta wa mererani baada ya lisu kushambuliwa kuwa " wamasai eti kama mtu anakuibia ng'ombe wako alafu jirani yako anakucheka huyo mtu utataka aishi karibu yako?
 
Kwa nn alinyimwa matibabu na stahiki zake kama mbunge na hatimaye kuvuliwa Ubunge
 
Hamna kitu hatari kama "A wounded animal" Kama unabisha kampige Mbogo risasi moja tu ya sikio halafu usubirie mziki wake
Mliyataka wenyewe sasa pambaneni na hali yenu

Lisu ni aina nyingine kabisa ya Mtanzania, hana kona wala unafki
 
Ohooo.. mie simo!
 
Magufuli ndiye mhusika mkuu wala hilo halina kificho na ni aibu kubwa sana kwake!
Chuki tu ndo zimewajaa, mbowe na genge lake wamefanya mambo.
 
Kwa nn alinyimwa matibabu na stahiki zake kama mbunge na hatimaye kuvuliwa Ubunge
Maoni yangu ni kwamba huyu jamaa anaweza kuwa hakujua chochote, lakini kwa vile ni mtu wa visasi akakubali hata mambo ambayo yanamchonganisha na jamii.
 
Kwa ni uongo si kweli alikuwa anakwamisha juhudi za vita vya kiuchumi kwa jina la makanikia ambavyoTaifa lilikuwa likipambana na wale wezi wa madini. Kwani ni uongo kuwa alikuwa msaliti akitaka kukwamisha vita hiyo. Ajitafakari kaacha tabia yake ya usaliti na uasi au anaiendeleza kwa style nyingine?
 
hatuwezi kuruhusu ku-survive kwa mtu mmoja, ambaye imebainika amekuwa akiwasiliana mwanasheria wa kampuni hiyo ya madini, Deo Mwanyika, ili kumwibia taarifa mbalimbali nyeti
Huyo Deo Mwanyika wa Barrick Gold aliyesema anavujisha siri za nchi kwa Tundu Lissu na kumfunga detention miaka kadhaa na kisha kumwachia I hope sio huyo huyo waliyempitisha leo kuwa mgombea ubunge wa CCM Njombe Mjini.

Ni yeye ???
 
Polisi wameshaweka mpira kwapani ndio maana wapo kimya mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…