Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Neno usaliti kwa upande wenu CCM lina tafsiri tofauti na maana iliyoko kwenye Kamusi zetu. Lakini Lissu hujawahi kuwa Msaliti wa nchi hata siku moja. Yeye ni mkosoaji wa madudu ya serikali ambayo yaliingiza nchi kwenye mikataba ya ovyo kwenye madini ambayo ilipitishwa na haohao waliojigeuza ghafla kuwa malaika. Kukosoa kwa sasa ni Usaliti, na ndiyo tumeyashuhudia Kwa Serukamba kwa sasa.Je ni kweli Lisu alikuwa anaifanyia nchi usaliti kama ilivyoelezwa hapo juu?