Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

"Katika mapambano ya kijeshi, huwa wana kawaida ya kumwua, askari yeyote ambaye anawasiliti katika mapambano yao, vile vile katika vita ya kiuchumi ambayo nchi yetu inapigana hivi sasa...
Kwa hiyo mtu huyo aliyekuwa ajaribu kuiba taarifa mbalimbali nyeti kwa lengo la kushirikiana na mabeberu katika kutuhujumu malipo yetu ya madini "@NI YEYE"!?
- - -
Hivi kichwa cha huyu ndugu "kinafanya kazi kweli"!?
 
Kwa ni uongo si kweli alikuwa anakwamisha juhudi za vita vya kiuchumi kwa jina la makanikia ambavyoTaifa lilikuwa likipambana na wale wezi wa madini. Kwani ni uongo kuwa alikuwa msaliti akitaka kukwamisha vita hiyo. Ajitafakari kaacha tabia yake ya usaliti na uasi au anaiendeleza kwa style nyingine?

Kwahiyo ni kweli alishambuliwa na hao wanaojiita wako kwenye vita ya Uchumi sasa mbona hawakumilisha huo upelezi kuwa ameshambuliwa sababu alikuwa anakwamisha vita ya Uchumi kama wanavotangaza kuuwa majambazi
 
Mumekosa LA kusema hadi MNA kufuru. Mungu yupi huyo anayetumia risasi kwa binadamu aliye muumba kwa mfano wake?
Mashetani ni hatari sana kuishi nao!
Watu wa Sodoma na Gomola walijiumba!? Kama unawajua watu hao utakuwa umenielewa.
 
Huyu jamaa hafai kua rais wa JMT. Labda chadema waanzishe cheo kipya cha rais wa mpe lissu lakini kwa JMT hawezi kabisaàaa.
lakini mkuu si hata mh rais siku zote amekuwa akisisitiza majukwaani kwa muda wa miaka mitano kwamba "msemakweli ni mpenzi wa mungu" sasa ikiwa TL anasema ukweli huoni kwamba anaiishi kauli ya mh rais pasipo unafki?!.
 
Huyo Deo Mwanyika wa Barrick Gold aliyesema anavujisha siri za nchi kwa Tundu Lissu na kumfunga detention miaka kadhaa na kisha kumwachia I hope sio huyo huyo waliyempitisha leo kuwa mgombea ubunge wa CCM Njombe Mjini.

Ni yeye?

Si ndiyo uwone jinsi watu walivyo wanafiki kwa kusema mambo ya uwongo halafu hawakumbuki wamejisahaulisha sasa wanadhani wote tumesahau
 
Tundu Lisu kaadhibiwa na Mungu, some punishment is just, na bado, ...
Ustadhi upo

Ni kawaida kwa mtu mwenye imani hii kuwa katili

Ahaaa halafu mnalalamika hii nchi inaendeshwa na wakatoliki

Ni kweli hata huyo Tundu lisu ni mkatoliki

Kwa wakatoliki ni watu wa msamaha na toba ,Hivyo Tundu na Magufuli ni wakatoliki

Wewe ustadhi nilitegemea mngechangisha pesa kujenga mashule na vyuo,Wewe unawaza itikadi kali
 
Huyu jamaa hafai kua rais wa JMT. Labda chadema waanzishe cheo kipya cha rais wa mpe lissu lakini kwa JMT hawezi kabisaàaa.
Wanaomshabikia huyu jamaa wao wenyewe hawajui kitu. Kila uchao ni kuhubiri chuki na hisia tu za kuonewa dhidi ya rais na vyombo vya dola. Atangaze sera kama dokta Slaa aliipaisha Chadema kwa sera sio uzushi na kutunga maneno.

BTW hicho anachofanya asubiri panga la NEC
 
Lisu hapati zaidi ya 20%

Watu wengi humu mnaona nafanya propaganda ila huo ndio ukweli
uchaguzi ukiwa HURU na HAKI anapata 45+

ngosha katenda ukatili (visasi) sana awamu ya kwanza, upendeleo wa wazi na zaidi maisha kuwa magumu kwa raia wengi!.
 
Lisu hapati zaidi ya 20%

Watu wengi humu mnaona nafanya propaganda ila huo ndio ukweli
Mbona nyingi sana hizo. 10% tu kuzifikia ni issue. Waache wapigiane kelele mitandaoni na boda boda wanaoenda kuwajazia mafuta vituoni wakuze halaiki na misafara.
 
Hili jambo ni zito sana na tusipoacha unafiki na kulitatua kwa uwazi litaendelea kutusumbua sana.

Kosa baya sana lilifanyika na badala ya waliolitenda kurudi nyuma na kujitathmini, wanatafuta shortcuts za kuficha sura zao.

Huyo Mwanyika atakuwa ameingizwa kwenye siasa kwa shinikizo, labda aje kumchafua Lissu.
 
Tukio la Tundu Lisu, Ben, Azory, na kuwabambikia watu kesi - ndiyo yanayothibitisha kabisa awamu hii, kiti cha enzi kimekaliwa na shetani anayejifanya mcha Mungu.

Tusidanganyike, Mungu hana mafungamano na wauaji. Lakini wauaji, kuna wakati watajifanya wacha Mungu ili kuwahadaa wanadamu maana moja ya sifa kubwa za shetani ni pamoja na ujanja wa udanganyifu. Asili ya shetani ni uwongo, kudanganya, kurubuni na hila. Alifanya hivyo enzi za Adam na hawa, anaendelea kutenda hivyo hata leo. Aliwadanganya Adam na Hawa, hadi wakaamini kuwa Shetani alikuwa mzuri zaidi kwao kuliko Mungu aliyewaumba na kuwatengenezea bustani ya Eden.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu kama alikuwa anafanya hivyo alistahili alichopata!

Nilitoa maoni humu kwamba, huenda Lisu zile harakati zake za toka miaka ya 90 kupigania madini zilikuwa zinamnufaisha yeye binafsi ndio maana alipoona Jpm yuko serious akaamua sasa ageuke kinyonga.

Kuhusi hao waliosaini mikataba, hao tunawasamehe maana walikuwa enzi na akili za kimangungo!

Lakini haka kajamaa haka kako kizazi cha wasomi kumbe kana uza nchi live?

Lissu hajawahi kuwa mnafiki anachukiwa sababu anapenda kusema ukweli ndiyo sababu anachukiwa wanafiki wa nchi hii. Hivi leo Deo Mwanyika wa kupitishwa kugombea ubunge. Tuhuma zake hazilingani hata na asilimia 1 ya tuhuma za Lissu
 
Wanaomshabikia huyu jamaa wao wenyewe hamnazo kichwani. Kila uchao ni kuhubiri chuki na hisia tu za kuonewa dhidi ya rais na vyombo vya dola. Atangaze sera kama dokta Slaa aliipaisha Chadema kwa sera sio uzushi na kutunga maneno.

BTW hicho anachofanya asubiri panga la NEC

Muda wa kampeni si bado au wewe hauko hapa Tanzania ndugu
 
Back
Top Bottom