Neno usaliti kwa upande wenu CCM lina tafsiri tofauti na maana iliyoko kwenye Kamusi zetu. Lakini Lissu hujawahi kuwa Msaliti wa nchi hata siku moja. Yeye ni mkosoaji wa madudu ya serikali ambayo yaliingiza nchi kwenye mikataba ya ovyo kwenye madini ambayo ilipitishwa na haohao waliojigeuza ghafla kuwa malaika. Kukosoa kwa sasa ni Usaliti, na ndiyo tumeyashuhudia Kwa Serukamba kwa sasa.Je ni kweli Lisu alikuwa anaifanyia nchi usaliti kama ilivyoelezwa hapo juu?
Ama kweli inahitajika therapy kwenye ubongo wako kuondoa takataka.Kwa hiyo Tanzania Ni nchi isiyo na amiri Jeshi mkuu Wala ulinzi wowote kiasi Cha watu kuingia nchini na kufanya chochote?Kama Ni hivyo basi chama Cha mbogamboga mmepoteza uwezo wa kuongoza nchi.Mtu akiwa Lumumba uwezo wa kufikiri unapungua kwa 90% sababu ya kuvimbiwa!
Hata kama ni hivyo si kuna vyombo vya sheria ambavyo vingetumika kuchunguza tukio zima hilo?Je ni kweli Lisu alikuwa anaifanyia nchi usaliti kama ilivyoelezwa hapo juu?
Tatizo taratibu zipo lakini hutaki kuzirejea, matibabu ya nje ya nchi yana taratibu zake mbona hapo unakwepa kueleza? Kama unajiamulia kuondoka nchini kwenda kutibiwa nje ya nchi bila kufuata taratibu, gharamikia matibabu mwenyewe usitafute watu wa kulaumu kwa kulazimisha utaratibu usiokuwepo
Tatizo taratibu zipo lakini hutaki kuzirejea, matibabu ya nje ya nchi yana taratibu zake mbona hapo unakwepa kueleza? Kama unajiamulia kuondoka nchini kwenda kutibiwa nje ya nchi bila kufuata taratibu, gharamikia matibabu mwenyewe usitafute watu wa kulaumu kwa kulazimisha utaratibu usiokuwepo
Kwahiyo ni kweli Lisu alikuwa anaifanyia nchi usaliti ndio maana akapigwa Risasi?
Sijawahi kusikia serikali yenye wahalifu wapumbavu kama Tanzania. Inawezekana Magufuli alikuwa hajui kinachpkwenda kutokea, lakini wahuni wakachomeka kwenye hotuba yake ili aonekane alikuwa anajua shambulizi lile na hivi hata yeye uwezo wa kuchuja maneno ni below 0, basi akalipuka nalo.
Na sio huyo aliye mtaja tuu, hata Ndugai anahusika na mpango mzima wa tukio lile. Hii mabadiliko ya katiba ya juzi ya kinga kuzuia kushtakiwa mpaka spika wa bunge ni muendelezo wa kujiwekea kivuli.Ukiunganisha "dots" hapo unapata jawabu
Mbunge ananyimwa haki yake ya kutibiwa ambayo ni haki yake kisheria.
Mbunge ananyimwa mshahara wake pasipo sababu za msingi.
Hatimaye mbunge anavuliwa kabisa ubunge wake kwa madai kuwa Bunge hilo halijui alipo Mbunge huyo, wakati dunia nzima inajua kuwa mbunge huyo anatibiwa nje ya nchi, baada ya kumimiwa risasi mfululizo!
Yupo ndiye anamuendesha Tundu Lissu alikuwa hata njombe janaTunamtaka dereva wa Tundu Lissu ili tuuanze uchunguzi rasmi, kwa nini dereva anafichwa?
Huyu jamaa hafai kua rais wa JMT. Labda chadema waanzishe cheo kipya cha rais wa mpe lissu lakini kwa JMT hawezi kabisaàaa.
Tunataka upelelezi uanze na dereva wa Lissu, mbona mnaficha sanaMgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017...
Tunataka sera atasaidiaje wakulima, machinga, wasomi, wajiriwa,viwanda,uchumi,siasa ,elimu ,aachane na mambo ya risasi
Basi alipata alichostahili!
Na huyu anazidi kujivua nguo! Anafikiri anaongea ukweli kumbe anajianika jinsi alivyokuwa analisaliti taifa!
Subiri tutamuinesha adhabu yake hapo oktoba.
Mumekosa la kusema hadi mna kufuru. Mungu yupi huyo anayetumia risasi kwa binadamu aliye muumba kwa mfano wake?Tundu Lisu kaadhibiwa na Mungu, some punishment is just, na bado, ...
Maoni yangu ni kwamba huyu jamaa anaweza kuwa hakujua chochote, lakini kwa vile ni mtu wa visasi akakubali hata mambo ambayo yanamchonganisha na jamii.
Mumekosa LA kusema hadi MNA kufuru. Mungu yupi huyo anayetumia risasi kwa binadamu aliye muumba kwa mfano wake?
Mashetani ni hatari sana kuishi nao!
Swali langu kwa Tundu Lisu, je yeye ndio alikuwa anawasiliana na hao mabeberu kuwapa taarifa nyeti alizoiba toka selikalini na kuisaliti nchi..?
Kama jibu ni ndio, kama kweli alikuwa anafanya hivyo basi hastaili kuishi kabisa.