Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aifuta CCM Morogoro

Sawa sawa nakubaliana na wewe mueleze hayo Lissu
 
hapo hamna mondi wala kiba.

bila wasanii wala malori ya kusomba wajinga waliovaa minguo ya kijani na njano.. jiwe hawez fikisha hata watu mia kwenye mkutano...
Kweli yaani bila waty kutoka dumila na ifakara wakaja morogoro hawezi fikisha watu 100.
 
Huyo ni mwanaharakati wa asili hana sifa ya urais.

Walipobomolewa nyumba zao serikali ilijenga mabanda ya kuku au ya kufugia kasuku?.

Kama wangekuwa wameonewa wangeshinda kesi mahakamani.

Maamuzi magumu kwa nchi za kiafrika hayakwepeki kama kweli nia ni kutoka mahali fulani na kufika juu zaidi.
 

..kwani Nyerere, Mwinyi, Mkapa, na Kikwete, hawakuwa wakijenga miundombinu iliyohitaji kuhamisha wananchi?

..kwanini Jpm atumie mabavu na akaidi amri za mahakama kuvunjia wananchi nyumba zao?
 

Nchi hii unaweza kwenda mahakamani kupinga utashi wa rais? Unajua unachoongea?
 
Jifunze ndugu, mavazi ni utamaduni tu wa jamii fulani, hata wakristo wanaoishi uarabuni huvaa makanzu kama utamaduni wa kule na sio kama dini, Tanzania hakuna sheria inayomzuia kuvaa mavazi mavazi apendayo ilimradi hayavunji maadili ya kitanzania, hata akivaa shuka kama mmasai. Kingine nikuongezee tu, Lissu hapendwi kwasababu ya mavazi yake, anapendwa kwa kile kilichopo kichwani mwake na kinachotoka mdomoni mwake vivyo hivyo na upande wa pili

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…