Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Sawa sawa nakubaliana na wewe mueleze hayo LissuKwani imani ya kiislamu iko ndani ya vazi la kanzu? Kwahiyo ukiwa unavaa jezi na njumu lengo lako itakuwa ni ili upendwe na washabiki wa soka? Hilo vazi la kanzu lilivaliwa na waarabu huko mashariki ya kati kwa ajili ya hali ya joto. Waislamu wanalivaa kwa ajili ya mazoea, lakini uislamu ni imani na wala sio vazi la kanzu.