MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Hujielewianapaswa kufuata sheria mikutano mwisho saa 12, hii saa moja anafanya nini? akifa mtu tunampeleka ICC
Polisi walishajua huyu,iko siku atavunja sheria,na watamtia mbaroni.Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi
Mtu avunje sheria ,halafu aachiwe,tandika kabisa,mpaka akili imkae sawa.Ccm kupambana kwa hoja hawatokaa waweze
Washamba hawa, ndio kwaanza wanachochea moto wa no reform no election
Amevunja sheria gani?Mtu avunje sheria ,halafu aachiwe,tandika kabisa,mpaka akili imkae sawa.
Huyo mropokaji ana kashfa na amejaa matusi sana.Tundu Lisu anatoa hoja. wao wanaleta VITOJA kuna wanaomuita MWANAHARAKATI, hawajui kwamba walio wengi wanavutiwa na siasa za harakat.
huyu ndiyo Tundu LISU mwana wa Tanganyika akisema chawa wote wana ufyataaaaa
Huyu ndio anayesema,atafanya maandamano nchi nzima.Eneo dogo tu,limemshinda kufanya maandamano.Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi
ccm dawa imewaingia wameshindwa kujibu hoja za Lisu sasa wanatumia polisiBREAKING NEWS:
Jeshi la Polisi limepiga mabomu na kumkamata Tundu Lissu muda mfupi baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wake huko Mbamba Bay mkoani Ruvuma sasa hivi.
TAARIFA KUTOKA CHADEMA
BreakingNews Mwenyekiti wa Chama wa Taifa Mhe. @TunduALissu amekamatwa na Jeshi la Polisi wilaya Mbinga. Mhe. Lissu amekamatwa wakati alipomaliza mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 09 Aprili 2025 Jimbo la Mbinga, mpaka sasa haijulikani amepelekwa kituo gani cha Polisi. Mwenyekiti amekamatwa pamoja na wanachama wengine, kwa sasa Jeshi hilo linaendelewa kutawanya wananchi kwa mabomu uwanjani hapo.
Tunaendelea kufuatilia tukio hilo, tutawajuza.
Fear of the unknownBREAKING NEWS:

Policcm wanafanya double standard Kwa kuwapendelea FisiemMkuu umewahi kuona kiongozi wa CCM anashushwa jukwaani wakati akihutubia zaidi ya saa 12 jioni?
Vv
Point yangu pendwa enzi nasoma resistance for change, haha.Fear of the unknown