Kuna gari lisilojulikana limepinduka karibu na kundi la fisi karibu ya ngorongoro. Tatizo la fisi hawaachi hata mfupa.

Dah isijekuwa lussu kawa chakula cha fisi?
Shehe Mwaipopo: Wake zetu Wanatibiwa na akina Dr John, Dr James, Dr Peter kwenye kachumba huku sisi tukisubiria kwenye mabenchi na tasbib ndefu mkononi

Shehe Mwaipopo bana Utani kama Ukweli
 
Wapi TL Amewaambia maasai wagome kutoka hifadhini kwa kupigana vita? Nilimsikiliza anatoa solution ya kuondoa unyanyasaji (according to him) ni kuwakataa CCM kuanzia uchaguzi mwakani wa wenyeviti kisha uchaguzi mkuu 2025 sasa hapo amepigana vipi na maagizo ya Serikali.
 
Lisu anaamini katika miguvu na matusi, na Mbowe anaamini katika akili na maarifa.

Hizo ndio tofauti zao viongozi hao.


Na kitu kinachofanya watu waishi pqmoja ni tofauti za tabia na kim Tazamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…