Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu
Sometimes you need to the ground,dig deep etc wamasai waliobaki wanasema wanachomewa maboma lakini awasemi kwanini wanakataa kwenda Handeni. KARIBU
Vipi mgao ushapkea maana naskia juzi mlilipwa eti...Cha chinichin 🤣🤣🤣
 
IMG-20230911-WA0083.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi kuwa Tundu Lissu amekamatwa na Polisi asubuhi hii akiwa hotelini huko Karatu.

Taarifa zaidi kukujia hapahapa jukwaani.

UPDATE:
Waliokamatwa Karatu hadi sasa ni
  1. Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu
  2. Walinzi wote wa Tundu Lissu
  3. Katibu wa BAWACHA Catherine Ruge
  4. Mzee Hashim, Mwenyekiti Wa Baraza La Wazee CHADEMA Taifa
  5. Suzan Kiwanga na
  6. Mwandishi wa Jambo TV (Oscar).

Polisi wanaendelea kuwatafuta wengine walio ambatana na Tundu Lissu Wilayani Karatu

View attachment 2744826

====

Leo Septemba 10, 2023 Majira ya saa nne asubuhi Jeshi la Polisi wilaya ya Karatu lilifika Hotel ya Ngorongoro iliyopo Karatu na kuizingira, Polisi hao wakiwa na mitutu ya bunduki pamoja na mabomu. Jeshi hilo liliwaeleza wahudumu wa hotel hiyo kuwa wanataka kujua chumba alicholala Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara Mhe. Tundu Lissu wakaelezwa na kwenda kwenye chumba hicho.

Baada ya purukushani ya Jeshi la Polisi na walinzi wa Mhe. Lissu, Jeshi hilo lilingia kwa nguvu katika chumba alichofikia Mhe. Lissu na kuondoka nae bila kueleza wanaenda nae wapi.

Baadae wengine waliokamatwa na Jeshi hilo ni Mhe. Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Catherine Ruge Katibu Bawacha Taifa, Mhe. Twaha Mwaipaya, walinzi wa Mhe. Lissu pamoja na watu wengine.

Tunaendelea kufuatilia kinachoendelea Karatu.
View attachment 2744848
Samwel Welwel

===

Jeshi la Polisi wilaya ya Karatu wameamuru kufungwa kwa ofisi ya Chadema wilaya ya Karatu na kuwakamata watu wengine wakiwemo viongozi wa Chadema wa wilaya hiyo.

1. Joseph Mtui
2. John Malle
3. Fabiola Niima
4. Daniel Mnyampanda
5. Eliya Kibola, Katibu wa Chadema wilaya ya Karatu
6. Valerian Qurama
7. Samwel Welwel, Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Karatu
Pumbavu zenu, dunia gani ijue ujinga wenu? Mnachochea vurugu Tu, mmeishiwa Sera, polisi msiwaachie kabisa hao vichaa
 
Polisi walikuwa wanafanya mchezo wa kuzubaisha watu wasahau ya bandarini, wakadhani wakikaa na wakina Lissu ndio akili zetu zitahamia kule, hii move ya kumkamata Lissu kwangu niliiona maigizo matupu toka mwanzo, Mbowe kuwaambia aachiwe bila masharti chap wakafanya hivyo.

Polisi wetu wamegeuka kuwa kama kundi la waigizaji tu.
Ukiona dalili hizo, tambua kwamba hata wao (polisi) wapo tayari kabisa kutumika kama kifaa na mtu mwingine kuliko huyu anayekitumia kifaa hicho visivyo kwa sasa.

Kwa maana nyingine, ni kwamba hawana namna ya kujizuia wasitumike kama kifaa na huyo anayekimiriki kwa sasa, ila wanachoweza kufanya ni kubutusha tu makali yao, ili mradi waigize kuonyesha kwamba wanatumika kwa huyo anayewatumia.
 
Waulize kama wanamashoga,ingawa mimi najua hamna kitu cha hivyo.
SEMA JF kwasasa limekua kokolo kwakweli....mtu kama wewe ukustahili kuaishi nasi watu wenye kujenga hoja na wenye heshima zetu.
Tobaaa!!
Kuandika huwezi sembuse kujenga hoja!
 
Back
Top Bottom