Kuna watu wakiona hivi wanatamani wapasuke!
Usiende wala usijaribu kwendaAnarudi kweli ama laaa mm hata siwezi kusadiki mpaka nikuone hapo JNIA
Hawana hamu. Id zote za Lumumba ziko kazini kuanzia leo kwa maelekeo maalum.Kuna watu wakiona hivi wanatamani wapasuke!
Lissu Ni mpango wa Mungu!
Duuh! Wamemtumia hadi wamechoka, sasa ndio wamemwachia aje nyumbani likizo. Nina imani atarudi tu huko Belgiam au jamaa watakuwa wanamfwata bongo. Wazungu sio watu wazuri, hawana adabu kabisa.
Nawaona wanavyokazana kutujazia utopolo wao jamvini.Hawana hamu. Id zote za Lumumba ziko kazini kuanzia leo kwa maelekeo maalum.
Kila mtu anaongea yaliyo moyoni mwake, moyo wako unawaza kutumiwa tu.Duuh! Wamemtumia hadi wamechoka, sasa ndio wamemwachia aje nyumbani likizo. Nina imani atarudi tu huko Belgiam au jamaa watakuwa wanamfwata bongo. Wazungu sio watu wazuri, hawana adabu kabisa.
Wanatia aibuNawaona wanavyokazana kutujazia utopolo wao jamvini.
Wana tabu Sana Hawa majangili, watu na PhD zao kabisa wapo Lumumba nyuma ya keyboard wanalipwa laki5 kwa mwezi na elfu7 kwa siku, wakifanya vizuri wapewe uDAS na DC
Namuona mpuuzi tu tangu aanze kutetea Acacia na ushoga.Kuna watu wakiona hivi wanatamani wapasuke!
Lissu Ni mpango wa Mungu!
Atatua uwanja gani?
Naona mheshimiwa rais mtarajiwa kaamua kupiga kiduku kchwan[emoji848][emoji848][emoji844]
Atatua uwanja gani?