Tundu Lissu akiagwa Ubelgiji tayari kwa safari ya kurejea nyumbani

Tundu Lissu akiagwa Ubelgiji tayari kwa safari ya kurejea nyumbani

Moyo wangu unapata amani sana nikiona hizi picha. Jina la Mungu lihimidiwe kwa kweli.
Ama kweli ndugu yangu lihimidiwe kuna Mtanzania aliitwa Kambona alikaa Uingereza miaka chungu tele hatimaye alirudi Tz nyumbani kwa makeke lakini haijamsaidia hata yule Professor Babu nae alirudi kwa mbewe mbewe akigombea urais sijui iliishaje kwa hiyo usimtukuze Lisu kama Mungu wako kwanza anatembea kama mziki wa Lope "ana nyatia nyatia"
 
Safi sn kamanda LISSU tunamsubiri kwa hamu....

Ahsante Sky Eclat kwa kutujuza
 
Kwa alichopitia anahitaji mapokezi ya nguvu kabisa. Tungekuwa tumemsahau huyu jamaa.
 
Kwani Anaagwa Anakwenda Wapi? US
IMG-20200725-WA0097.jpg
IMG-20200725-WA0095.jpg
 
What a moment for both Serikali and Lissu loh!

Serikali haitapata tabu kusumbuka namna ya kuangalia wale viparangoto ambao wangetaka kurejea kwa Tundu Lissu kuwa ajenda ya Kitaifa kwakua almost vyombo vyote vya habari vya ndani na nje vinafanya coverage ya kifo cha Benjamin Mkapa.

Tundu Lissu naye ni wakati mzuri kurejea kwa kuwa tension ya vyombo vya ulinzi na Usalama iko kwenye kuimarisha ulinzi wa Viongozi watakao kuja kwa ajili ya maziko ya Mhe. Benjamin Mkapa.

By the time nchi inarudi kwenye Hali ya kawaida anakua ashakata Kama wiki hivi so atakua sio trend tena.
 
Naona kakusanya vinyozi wa kongoman hapo Ubeligiji apige nao picha ya kuuzia sura.
 
What a moment for both Serikali and Lissu loh!

Serikali haitapata tabu kusumbuka namna ya kuangalia wale viparangoto ambao wangetaka kurejea kwa Tundu Lissu kuwa ajenda ya Kitaifa kwakua almost vyombo vyote vya habari vya ndani na nje vinafanya coverage ya kifo cha Benjamin Mkapa.

Tundu Lissu naye ni wakati mzuri kurejea kwa kuwa tension ya vyombo vya ulinzi na Usalama iko kwenye kuimarisha ulinzi wa Viongozi watakao kuja kwa ajili ya maziko ya Mhe. Benjamin Mkapa.

By the time nchi inarudi kwenye Hali ya kawaida anakua ashakata Kama wiki hivi so atakua sio trend tena.
Wewe ni binadamu uliyeumbwa kwa mavumbi, mawazo na fikra zako haziwezi kuikwepesha mipango aliyopanga Yule aliyemlimda Lissu shida kifo.
 
Back
Top Bottom