Unajitoa ufahamu kwanini?Duuh! Wamemtumia hadi wamechoka, sasa ndio wamemwachia aje nyumbani likizo. Nina imani atarudi tu huko Belgiam au jamaa watakuwa wanamfwata bongo. Wazungu sio watu wazuri, hawana adabu kabisa.
Maokonda yuko wapi ss?
Unajitoa ufahamu kwanini?Duuh! Wamemtumia hadi wamechoka, sasa ndio wamemwachia aje nyumbani likizo. Nina imani atarudi tu huko Belgiam au jamaa watakuwa wanamfwata bongo. Wazungu sio watu wazuri, hawana adabu kabisa.
Nimesikia Jumatatu patakuwepo na ulinzi mkali sana kwa ajili ya usalama wa wageni wanaokuja kumusga rip Ben Mkapa!JKNIA
Anakaribishwa!Chato international Airport.
Kama nawaona wale jamaa walivojipanga wamdake jamaa juukwaju (hapa tamka juukwaju). afu jamaa wana sifa hawa utafikiri wameahidiwa kupewa mke.Atatua uwanja gani?
Anakuja Trump ulinzi utakuwa Dar yote hadi Zanzibar!Huo ulinzi uwe kwa Dar nzima maana tutajipanga mitaa yote atakayopita shujaa.
Trump aje kumzika Mkapa??Anakuja Trump ulinzi utakuwa Dar yote hadi Zanzibar!
Jumatatu ndio utaijua tofauti yao!Kwani Tump si ni binadamu kama Tundu Lissu?
Acha we we kwenda poyoyoUsiende wala usijaribu kwenda
Ulitaka aje kumzika nani bwashee?!Trump aje kumzika Mkapa??
Wamemtumia kivipi?Duuh! Wamemtumia hadi wamechoka, sasa ndio wamemwachia aje nyumbani likizo. Nina imani atarudi tu huko Belgiam au jamaa watakuwa wanamfwata bongo. Wazungu sio watu wazuri, hawana adabu kabisa.
Jumatatu ndio utamjua vizuri huyo jike anayefatwa!Kwakua Trump ni beberu anamfuata mbuzi jike?
View attachment 1516534
ni belgium mkuu sio belgiamDuuh! Wamemtumia hadi wamechoka, sasa ndio wamemwachia aje nyumbani likizo. Nina imani atarudi tu huko Belgiam au jamaa watakuwa wanamfwata bongo. Wazungu sio watu wazuri, hawana adabu kabisa.
Lissu the Greatest