Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

Hii kitu inatwaga GHARIKA watu wamejifungia MWAMBA SIMBA MWANASHERIA NGULI MYALUKOLO anachanja mbuga
 
Sasa huku ni kutafuta wazamini au ni kufanya mikutano ya hazara mi mbona sielewi elewi
 
CCM bila kukopi sera ya ubwabwa ya Mzee wetu sijui kama tutatoka hata mlisi.
 
Hata kichaa huwa anazungukwa na watu wengi kumshangaa
Lisu ana uwezo kuliko hata huyo kupata wako wa lumba, na kwa taarifa yako huyo kupata wako aliwahi kuugua akili kipindi yuko shule, habari ndiyo hiyo sasa.
 
UCHUMI WA KATI BILA AJIRA NI SIFA ZA KIJINGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…