Hao wanataka kimdhamini tu, kampeni Bado!Kwahiyo kwa akili yako unadhani hao walikusanyika apo watampigia kura? Mbona hata theluthi ya lowasa hajawahi fikia na hatofikia kamwe. Watanzania sio wajingaaa.
View attachment 1541007
View attachment 1541009View attachment 1541010
Huu ndio ukweli wa dunia ya leo , si kazi rahisi kuua upinzani kama baadhi ya viongozi walivyowaongopea wenzao..
🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️Kichaa hupiga shangazi zake na kumgawa mama yake kwa washikaji! Huyo ndiye kichaa wa kweli!
Nyie wanyalu nyie, swela bee!
U P D A T E S ..!! #Iringa muda huu kinawaka.
Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli.
Lissu CHUMA Cha Mjerumani anaunguruma Iringa Nzima Imesimama.
#Eti Chadema imekufa Iringa?? We we ulisikia waaapi...???
#AWOOOOTEEH.....!!!!
Ndauli......Iringa?
Hahahah Hilo bango nomaView attachment 1541007
View attachment 1541009View attachment 1541010
Huu ndio ukweli wa dunia ya leo , si kazi rahisi kuua upinzani kama baadhi ya viongozi walivyowaongopea wenzao...
uliambiwa kila kijiji kitapewa 50milioni keshi money Halmashauri inaingiaje hap....subirini LISSU AWAPASUWE KWENYE KAMPENIZimekuja kwa mpango uke wa kupitia 4% sina hakika ya mapato ya kila Halmashauri kupewa kwa makundi mbalimbali ya kijamii, wamama, walemavu nk.
View attachment 1541012[/CENTER]
U P D A T E S ..!! #Iringa muda huu kinawaka.
Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli..!
Kwani kampeni zimeanza?Wafuasi wa upinzani humu hakika mnatisha kwa jinsi mnavyoweka mabandiko mengi ya kujifariji kuwa ushindi mwaka huu katika Uchaguzi Mkuu, njia ya kwenda Ikulu ni nyeupe pee. Inaonesha ni kwa kiasi gani mnavyojua siasa za Tz hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu. Hongereni sana
Laiti mngeweka Sera na mikakati mbadala
Kwa hiyo na wewe wale wanaokusanyika kuangalia magari ya vingora unadhani nao ni wapiga kura wale wamekuja kuangalia v8 hawazijuiKwahiyo kwa akili yako unadhani hao walikusanyika apo watampigia kura? Mbona hata theluthi ya lowasa hajawahi fikia na hatofikia kamwe. Watanzania sio wajingaaa.
Hahahaahhaa, mmehamisha magoli ee? Mpaka 2020 chadema itakuwa imekufa kifo cha mendeKwahiyo kwa akili yako unadhani hao walikusanyika apo watampigia kura? Mbona hata theluthi ya lowasa hajawahi fikia na hatofikia kamwe. Watanzania sio wajingaaa.
Mikoani huwa Hakuna matukio mengi kwa hiyo likitokea tukio lolote Kwao kufurika Ni kitu Cha kawaida Ni Kama Out Kwao .Lakini haimaanishi kuwa Ni wapiga kura Ni watu wanakuja kuuburudisha machoKwahiyo kwa akili yako unadhani hao walikusanyika apo watampigia kura? Mbona hata theluthi ya lowasa hajawahi fikia na hatofikia kamwe. Watanzania sio wajingaaa.
Huwezi elewa we kiaziSasa huku ni kutafuta wazamini au ni kufanya mikutano ya hazara mi mbona sielewi elewi