Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Siyo inaweza, Tayari inaoTz inaweza ikawa ina wAtu wenye roho mbaya kuliko hata hitler
Vile unayaonaYapojee
100 percent factsUkianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Yaani wewe umeningiza kwenye tatizo kubwa boss acha tu100 percent facts
Tunatofautiana.Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Babu zako wangekuwa na mentality kama hiyo yako mpaka leo ungekuwa unavuna pamba huku ukichapwa mijeledi na wazungu.Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Kukonda na kunenepa kwa mwanaume ni sehemu ya harakati za maisha.Ila jamaa kapungua
Atampa InshallahHuyu jamaa Mungu ampe maisha marefu sana. .
Stupid🥺😡😡😡😡😡Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Sasa mbona ibirisi wa ccm wanaipigania Chauma ubwabwa? Wanampigania Mbowe arejee chadema kwa njia haramu za kishetaniTundu lissu hapiganii uhuru wamtu anaupigania uhuru wa tumbo lake na baadhi ya timu yake .
Hata magufuli alimpigania nani kama sio watoto wake tena aliwatengenezea njia za mafanikio wewe kaa tu ukizani kuna mtu kazaliwa kisa wewe watu wanajipigania wao wenyewe
Umeandika Kiboya sana!Ukianzisha kitu kaa chini ujue mwisho ukoje maana ukiwa unaanza kitu kama kupigania hewa mwisho wake mmbaya.
Ndio huu watanzania wako wapi wazungu wako wapi nani wapi yuko wapi
Unaenda jela mwenyewe unalia mwenyewe unapauka mwenyewe .
Fanya lile ambalo watu wanafanya kaa kimya .
Jifunzee kukaa kimyaa ni suluhu tosha
Mwili wa Tundu Lissu akipungua mimi ndo nafurahi itamfanya awe na afya njema kuliko kua bongeKukonda na kunenepa kwa mwanaume ni sehemu ya harakati za maisha.
Ila mwanamke bonge akikonda, jua kuna mengi sana anapitia.
Ila jamaa kapungua
Nyerere watu walijitoa kwa hali na mali sio sasa likikupata ni lako peke yakoBasi nyerere na wenzake wangekaa tu bila kupigania uhuru🚮
Tundu lissu hapiganii uhuru wamtu anaupigania uhuru wa tumbo lake na baadhi ya timu yake .
Hata magufuli alimpigania nani kama sio watoto wake tena aliwatengenezea njia za mafanikio wewe kaa tu ukizani kuna mtu kazaliwa kisa wewe watu wanajipigania wao wenyewe
Mbowe kala njama afie jela arejee chadema kwa njia haramu za kishetani kama professor Lipumba
Hakuna kiumbe ambacho sio kibinafsi ila inatakiwa iwe na kipimo sasa huyo mdaua anashindwa kutofautisha hilomKwa hivyo sgr, umeme ilikuwa kwa ajili ya familia ya magufuli?
MamaSamia2025 ni sadist. Hawapendi kabisa Wakristo na wakosoaji wakeKwan huyu baba wanamtoa lini huko mbona kama kampeni zinaendelea yeye wamamficha huko
Wala hata hana Mpango huoMbowe hawezi kurejea CHADEMA, alipigwa Chini kwenye uchaguzi Dunia yote ikiangalia.