Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

usijipe moyo kwa picha za "mafuriko"
Hata Hashim Rungwe anazo
huu mwandiko wa kukata tamaa, hakuna matumaini tena Lumumba!
Lowassa alikuwa na mafuriko kama haya, mkapora ushindi wake mkampa jiwe.
Mwaka huu mmeona trend ni ile ile, mnajua nn kinaenda kutokea, na mwaka huu mnajua kabisa kuiba kura mnajichimbia kaburi, tutachinja mmoja mmoja mpaka wote muishe!
Yani mthubutu tu kulidharau sanduku la kura mtazikana mpaka muishe, LAZIMA TUHESHIMIANE!
 
Chadema wamejipanga kung'oa viti matokeo yakiwa tofauti na matarajio yao.

Lowassa alipigiwa mpaka deki, Lakini.......
 
Kwa maneno machache, huu ni unafiki mkubwa na usaliti

Hata mate hayajakauka watu walikuwa wanakiri kwamba nchi imepata mkombozi na imenyooshwa,kila aina ya vigelegele na shukrani zikatolewa.

Leo watu haohao wamegeuka,wanajaa kwa LISSU na tayari wanamuita Rais, hivi JPM afanyeje? Mnamkatisha tamaaa. Amejitoa sana kuendeleza nchi, tumuunge mkono, kwa hali ilivyo JPM atavunjika moyo,tuwe na shukrani

Inachukiza sana kwa kweli
Pole sana kwa kumsikitikia, ila ujue ana makosa mengi mno na ameumiza watu wengi sana katika nchi hii. Ukiaona umma unamkataa basi ujue kweli hafai. Mwache ana mengi ya kujifunza, na hakuna kitu kibaya kama sifa, hilo ndilo lilikuwa kosa la shetani wakati akiwa bado malaika mwema mbinguni, alitaka kusifiwa kama Mungu, na matokeo yake alipigwa chini vibaya. Umeanza kuelewa?
 
Kila kitabu na zama zake..
Zama za Lissu hizi. #NIYEYE
#LISSURAIS2020
 
Pole sana kwa kumsikitikia, ila ujue ana makosa mengi mno na ameumiza watu wengi sana katika nchi hii. Ukiaona umma unamkataa basi ujue kweli hafai. Mwache ana mengi ya kujifunza, na hakuna kitu kibaya kama sifa, hilo ndilo lilikuwa kosa la shetani wakati akiwa bado malaika mwema mbinguni, alitaka kusifiwa kama Mungu, na matokeo yake alipigwa chini vibaya. Umeanza kuelewa?
Kuna maraisi wanaacha nchi zao hovyohovyo, JPM anajenga kila mahala, nchi inapendeza,wenye nchi wanamtupa mkono,Mungu yupo,atawalipa tu
 
Kuna maraisi wanaacha nchi zao hovyohovyo, JPM anajenga kila mahala, nchi inapendeza,wenye nchi wanamtupa mkono,Mungu yupo,atawalipa tu
Hakuna kitu chenye nguvu kama unyenyekevu, ajifunze hilo atakuwa mtu mzuri na mkubwa, mwangalie Nyerere, mwangalie Mandela.
 
Wapiga kampeni wakubwa wa Tundu Lisu kwa miaka hii mitano wamekuwa ni Rais Magufuli, Polisi, Mahakama, Ndugai na Wasiojulikana.

Duniani kote na wakati wote binadamu kwa kawaida husimama na yule ambaye wanaamininl kuwa anaonewa.

Na Magufuli asidhani ni mchezo, uchaguzi huu kwake utaluwa mgumu kuliko wa 2015. Wanafiki na wapambe nuksi watapenda kumfurahisha Magufuli kuwa uchaguzi huu utakuwa mteremko.

Wengi watamwunga mkono Tundu Lisu bila hata ya kutaka kusikia atawafanyia nini. Wao watataka kuonesha tu kuwa hawafurahii kile ambacho Magufuli na Serikali yake walimfanyia TL. Wengine watamwunga mkono Tundu Lisu kwa sababu tu ndiye mtu pekee ambaye ameonekana angalao kuwa na uwezo wa kumkosoa Magufuli ambaye anaogopwa na kila mtu kutokana na ubabe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maneno machache, huu ni unafiki mkubwa na usaliti

Hata mate hayajakauka watu walikuwa wanakiri kwamba nchi imepata mkombozi na imenyooshwa,kila aina ya vigelegele na shukrani zikatolewa.

Leo watu haohao wamegeuka,wanajaa kwa LISSU na tayari wanamuita Rais, hivi JPM afanyeje? Mnamkatisha tamaaa. Amejitoa sana kuendeleza nchi, tumuunge mkono, kwa hali ilivyo JPM atavunjika moyo,tuwe na shukrani

Inachukiza sana kwa kweli
Methali zifuatazo zinajibu swali/wasiwasi uliyokuwa nayo.

Kutangulia si kufika

Ukimya mwingi una kishindo

Jambo usilolijua na kama usiku wa giza

Chura hamzui tembo kunywa maji
 
Duh..., laiti kama wote ni wapiga kura!.
Haya mambo ya mafuriko haya!.

Kulishawahi kutokea mafuriko kama haya
View attachment 1542119View attachment 1542118View attachment 1542117
Na haikusaidia kitu!, mtu alikula mwereka!.
Tusijifariji na mafuriko tuu ya watu, tujiulize jee ni wapiga kura?. Wamejiandikisha?, na siku ya kupiga kura, watajitokeza?, watapiga kura?.

Majibu ni Tarehe 28 October!.
P
Mwaka 2015 halikuwa suala la watu kupiga kura. Nina taarifa za uhakika from inside source EL alishinda. Matokeo yalipinduliwa.

Baada tu ya matokeo, J akawaambia, si niliwaambia??? Wakiwa wamechanganikiwa, wakamwuliza, sasa tutafanyaje? Akawajibu, hakuna chaguo, rekebisheni namba.

Na visiwani ilifanyika hivyo hivyo.

Hiyo ndiyo sababu ya mwaka huu wakubwa kufanya maamuzi magumu dhidi ya utawala. Maamuzi tayari, kinachosubiriwa ni kupata uthibitisho. Wanasubiriwa sana. Watawala tayari wamekwishajua. Ndiyo sababu ya ile kauli ya mara kwa mara - utakuwa huru na wa haki. Na ciro naye leo ameamua kujisafisha ili ikae kwenye kumbukumbu.

Lakini ili wasiingie kwenye mtego, kuna baadhi ya wagombea wa green party waliofikiria kuwa itakuwa mtereremko, watashangazwa sana kuachwa hewani waelee wenyewe bila ya msaada aa mbeleko ya Polisi na NEC. Wapambe watachanganyikiwa zaidi pale miamba ya kijani itakapoangushwa na vijana wadogo wasio na majina ya aina yoyote.

Hakuna apendaye kuumalizia uzee wake vibaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama unabisha baada ya tisa haiji 10! basi wewe kaa naujinga wako
 
MBONA HUMU JF UKIWEKA HUU MKUTANO WA LIVE UNAOONYESHWA NA RAIS TUNDU LISSU HAWA VIJANA WA JF WANAFUTA KWANINI? AU NAO NI WALE WA LUMUMBA TEAM? WANAWAJIBIKA KWA MEKO?
HAYA FUTENI NA HII
 
Back
Top Bottom