bemg
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 2,799
- 643
Wanadamu tumeumbwa na hulka za kubadilika kifikira kutokana na mazingira.Historia haina nafasi katika maamuzi ya wakati tulionao.Uchaguzi huru na wa haki ndo utatupa viongozi sahihiDuh..., laiti kama wote ni wapiga kura!.
Haya mambo ya mafuriko haya!.
Kulishawahi kutokea mafuriko kama haya
View attachment 1542119View attachment 1542118View attachment 1542117
Na haikusaidia kitu!, mtu alikula mwereka!.
Tusijifariji na mafuriko tuu ya watu, tujiulize jee ni wapiga kura?. Wamejiandikisha?, na siku ya kupiga kura, watajitokeza?, watapiga kura?.
Majibu ni Tarehe 28 October!.
P