Mhujumu Uchumi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,541
- 3,521
huu mwandiko wa kukata tamaa, hakuna matumaini tena Lumumba!usijipe moyo kwa picha za "mafuriko"
Hata Hashim Rungwe anazo
Pole sana kwa kumsikitikia, ila ujue ana makosa mengi mno na ameumiza watu wengi sana katika nchi hii. Ukiaona umma unamkataa basi ujue kweli hafai. Mwache ana mengi ya kujifunza, na hakuna kitu kibaya kama sifa, hilo ndilo lilikuwa kosa la shetani wakati akiwa bado malaika mwema mbinguni, alitaka kusifiwa kama Mungu, na matokeo yake alipigwa chini vibaya. Umeanza kuelewa?Kwa maneno machache, huu ni unafiki mkubwa na usaliti
Hata mate hayajakauka watu walikuwa wanakiri kwamba nchi imepata mkombozi na imenyooshwa,kila aina ya vigelegele na shukrani zikatolewa.
Leo watu haohao wamegeuka,wanajaa kwa LISSU na tayari wanamuita Rais, hivi JPM afanyeje? Mnamkatisha tamaaa. Amejitoa sana kuendeleza nchi, tumuunge mkono, kwa hali ilivyo JPM atavunjika moyo,tuwe na shukrani
Inachukiza sana kwa kweli
KoroShow effectsHawa jamaa wa Tunduma ndio wamefunika kote alikopita Lissu, yaani hawa ndio hawataki kusikia ujinga ujinga wa kijani kabisa.
Kuna maraisi wanaacha nchi zao hovyohovyo, JPM anajenga kila mahala, nchi inapendeza,wenye nchi wanamtupa mkono,Mungu yupo,atawalipa tuPole sana kwa kumsikitikia, ila ujue ana makosa mengi mno na ameumiza watu wengi sana katika nchi hii. Ukiaona umma unamkataa basi ujue kweli hafai. Mwache ana mengi ya kujifunza, na hakuna kitu kibaya kama sifa, hilo ndilo lilikuwa kosa la shetani wakati akiwa bado malaika mwema mbinguni, alitaka kusifiwa kama Mungu, na matokeo yake alipigwa chini vibaya. Umeanza kuelewa?
Hakuna kitu chenye nguvu kama unyenyekevu, ajifunze hilo atakuwa mtu mzuri na mkubwa, mwangalie Nyerere, mwangalie Mandela.Kuna maraisi wanaacha nchi zao hovyohovyo, JPM anajenga kila mahala, nchi inapendeza,wenye nchi wanamtupa mkono,Mungu yupo,atawalipa tu
Methali zifuatazo zinajibu swali/wasiwasi uliyokuwa nayo.Kwa maneno machache, huu ni unafiki mkubwa na usaliti
Hata mate hayajakauka watu walikuwa wanakiri kwamba nchi imepata mkombozi na imenyooshwa,kila aina ya vigelegele na shukrani zikatolewa.
Leo watu haohao wamegeuka,wanajaa kwa LISSU na tayari wanamuita Rais, hivi JPM afanyeje? Mnamkatisha tamaaa. Amejitoa sana kuendeleza nchi, tumuunge mkono, kwa hali ilivyo JPM atavunjika moyo,tuwe na shukrani
Inachukiza sana kwa kweli
Unyenyekevu ndo umetufikisha hapa.hatuhitaji rais maneno mengi jpm piga kazi.Hakuna kitu chenye nguvu kama unyenyekevu, ajifunze hilo atakuwa mtu mzuri na mkubwa, mwangalie Nyerere, mwangalie Mandela.
Kiroho safi [emoji3577][emoji1739]
Mwaka 2015 halikuwa suala la watu kupiga kura. Nina taarifa za uhakika from inside source EL alishinda. Matokeo yalipinduliwa.Duh..., laiti kama wote ni wapiga kura!.
Haya mambo ya mafuriko haya!.
Kulishawahi kutokea mafuriko kama haya
View attachment 1542119View attachment 1542118View attachment 1542117
Na haikusaidia kitu!, mtu alikula mwereka!.
Tusijifariji na mafuriko tuu ya watu, tujiulize jee ni wapiga kura?. Wamejiandikisha?, na siku ya kupiga kura, watajitokeza?, watapiga kura?.
Majibu ni Tarehe 28 October!.
P
Hawa hawana tofauti na wapemba!😀💪Hawa jamaa wa Tunduma ndio wamefunika kote alikopita Lissu, yaani hawa ndio hawataki kusikia ujinga ujinga wa kijani kabisa.
hebu ifungulie hii LIVE ya TUNDU LISSU nimeiweka wameifuta hawa watoto wa JF ni shida sanaInteresting indeed