Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

Duh..., laiti kama wote ni wapiga kura!.
Haya mambo ya mafuriko haya!.

Kulishawahi kutokea mafuriko kama haya

Na haikusaidia kitu!, mtu alikula mwereka!.
Tusijifariji na mafuriko tuu ya watu, tujiulize jee ni wapiga kura?. Wamejiandikisha?, na siku ya kupiga kura, watajitokeza?, watapiga kura?.

Majibu ni Tarehe 28 October!.
P
 
Kaka Pascal tuliza mzuka kampeni hazijaanza wewe kamatia kichinjio chako tu.
 
Kuna mtanzania alishawahi jaza nyomi mpaka na kujisaidia ila aliambulia patupu. Mzoee tu kuwa rais kwa sasa Dkt Magufuli anatosha kinoma.
Lowasa alishinda bana Sema alirembua angekomaa watu tuingie barabarani Makaratasi ya mabox ya kura yalikuwa na kura zilizopigwa tayari sehemu zingine .Mwaka 2015 CCM HAWAKUSHINDA Tunahitaji rahisi mbishi atayezurumiwa akiamushe sio mamvii
 
Wenzio mafuriko hayohayo hawalali, Kule tunduma Leo polis tena wakapewa maelekezo toka juu chadema wasifanyie mkutano uwanjani ili wasipate umati mkubwa.Umma wa tunduma ukaanza kuwabishia polis palepale.Binafsi namhurumia sana Igp siro wanasiasa hasa was ccm wanamyumbisha asisimamie taaluma yake ya upolis kwa weledi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…