Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

Safari ya kuzurura mijini kutafuta wadhamini inaendelea

Kosa la Chadema kujijenga kwenye baadhi ya miji tu Tanzania mtalipata jibu mwezi October uchaguzi mkuu asilimia 80 ya wapiga kura wanaishi vijijini Sio baadhi ya miji ya mijini ambako Lisu anazurura na fomu akiona watu wa baadhi ya hiyo miji anapagawa anasahau kuwa hiyo Ni baadhi tu ya miji ambayo haifiki hata asilimia kumi ya miji yote ya Tanzania

Chadema miji waliyoweka Matawi active haizidi asilimia kumi ya miji yote ya mikoa na wilaya ya Tanzania bara na Zanzibar

Hiyo ndio mnakenua meno mkiona watu wa hiyo miji

Kumbe kazi ni kubwa kuliko meno mnayokenua meno
 
Duh..., laiti kama wote ni wapiga kura!.
Haya mambo ya mafuriko haya!.

Kulishawahi kutokea mafuriko kama haya
View attachment 1542119View attachment 1542118View attachment 1542117
Na haikusaidia kitu!, mtu alikula mwereka!.
Tusijifariji na mafuriko tuu ya watu, tujiulize jee ni wapiga kura?. Wamejiandikisha?, na siku ya kupiga kura, watajitokeza?, watapiga kura?.

Majibu ni Tarehe 28 October!.
P
Kwa ujinga wako unafikikiri Alishindwa uchaguzi wa 2015?

Ccm haitakusaidia chochote zaidi ya kukutumia tu
 
Safari ya kuzurura mijini kutafuta wadhamini inaendelea

Kosa la Chadema kujijenga kwenye baadhi ya miji tu Tanzania mtalipata jibu mwezi October uchaguzi mkuu asilimia 80 ya wapiga kura wanaishi vijijini Sio baadhi ya miji ya mijini ambako Lisu anazurura na fomu akiona watu was baadhi ya hiyo mini anapagawa anasahau kuwa hiyo Ni baadhi tu ya miji ambayo.haifiki hata asilimia kumi ya miji yote ya Tanzania

Chadema miji waliyoweka Matawi active haizidi asilimia kumi ya miji yote ya mikoa na wilaya ya Tanzania bara na Zanzibar

Hiyo ndio mnakenua meno mkiona watubwa hiyo miji

Kumbe kazi ni kubwa kuliko meno mnayokenua
Tulia we kapuku !
 
1597843954984.png
 
Tutashitakiwa MIGA
Nikichaguliwa ushoga ruksa

Ndiyo Sera za jamaa
Mpumbavu na mjinga wa kiwango cha kimataifa!
Hizi shule za kata zimezalisha wajinga badala ya werevu,
Sera? Unajua sera ww?
Kampeni zimeanza?
Hizo sera zimenadiwa wapi?
Jaribu kuwa na akili hata ya kuvukia barabara pumbavu ww
 
Safari ya kuzurura mijini kutafuta wadhamini inaendelea

Kosa la Chadema kujijenga kwenye baadhi ya miji tu Tanzania mtalipata jibu mwezi October uchaguzi mkuu asilimia 80 ya wapiga kura wanaishi vijijini Sio baadhi ya miji ya mijini ambako Lisu anazurura na fomu akiona watu wa baadhi ya hiyo miji anapagawa anasahau kuwa hiyo Ni baadhi tu ya miji ambayo haifiki hata asilimia kumi ya miji yote ya Tanzania

Chadema miji waliyoweka Matawi active haizidi asilimia kumi ya miji yote ya mikoa na wilaya ya Tanzania bara na Zanzibar

Hiyo ndio mnakenua meno mkiona watu wa hiyo miji

Kumbe kazi ni kubwa kuliko meno mnayokenua meno
Wewe ni muongo 50 percent ya watanzania kwa sasa wanaishi mijini na hiyo ni sense ya mwaka 2012

Mwaka huu wanaweza kuwa kama 65 percent.
 
Back
Top Bottom