YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Soweto pale Mbeya walifunga barabara walimzomea Magufuli pia nenda kawaulize hata Leo Kama watarudia lile kosa.wengi wanajutia kile kitendo na waliapa kutorudia na wengi wamerudi CCMHao jamaa hawana adabu kabisa walithubutu kumzomea bwana magufuli 2015 hadi mzee wetu sauti ikamkauka.
Soweto ndio palikuwa ngome ya wahuni wazomea Magufuli wakiwemo raia wahamiaji haramu wanaokaa eneo like ambao si wazawa wa Mbeya na sio watanzania
Sugu genge lake aliweka mizizi yake ya wahuni Soweto