Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

Duh..., laiti kama wote ni wapiga kura!.
Haya mambo ya mafuriko haya!.

Kulishawahi kutokea mafuriko kama haya
View attachment 1542119View attachment 1542118View attachment 1542117
Na haikusaidia kitu!, mtu alikula mwereka!.
Tusijifariji na mafuriko tuu ya watu, tujiulize jee ni wapiga kura?. Wamejiandikisha?, na siku ya kupiga kura, watajitokeza?, watapiga kura?.

Majibu ni Tarehe 28 October!.
P
Ni kwl lakini ukweli wa ushindi ni pale kura zikahesabiwa vituoni na kubandikwa pale pale. Kusiwepo kupikwa kwenye center za mbele huko. Ukisema mtu ameshinda kihalari kuwepo Chek and Balance ya uwazi sio hizi danganya toto hizi!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Hamasa ifanyike kwa vijana kwenda kupiga kura. Kila mtu ahakikishe kitamburisho chake kipo na anakitunza. Nyomi majukwaani peke yake haileti ushindi.
 
Back
Top Bottom