kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Wewe utabaki milele tangu yeye afe hakuna kwenye familia yenu Mungu aliyewaamulia ugomvi wacha kukariri maneno ya kipuuzi mtu mzima wewe!Magufuri yuko wapi???Mungu aliamua ugomvi kwa huyo muaji.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Una ruka ruka tu.
Haya basi Ni nchi zipi hizo?
Hapo sasa..Eric Kabendera naye ameanza kuinyatia kampuni ya Voda. Sijui atafika wapi.
..jambo la msingi la kujiuliza ni kwanini Tundu Lissu hapewi HAKI yake? Kwanini POLISI wameshindwa kuwakamata waliojaribu kumuua?
Nitakufa pumbavu zako aliyetaka kutawala Tanzania milele yuko wapi??Wewe utabaki milele tangu yeye afe hakuna kwenye familia yenu Mungu aliyewaamulia ugomvi wacha kukariri maneno ya kipuuzi mtu mzima wewe!
Unalia nini sasa!Nitakufa pumbavu zako aliyetaka kutawala Tanzania milele yuko wapi??
Tunawaonyesha udhaifu wenu wa kutegemea mtu kama Mungu wenuUnalia nini sasa!
Sema kudukuliwa kupo sana tu🤔JF pamoja na kutishwa kila dk na kukamatwa kwa viongozi wao hawajawahi kuwasaliti wanachama wao
Ni nywele tu mkuu, huoni yuko kama binadamu wa kale?Sema hanyoagi nywele au ilitaka kusema nini.....
Mzee kaangalie makaburi halafu Mungu hadhihakiwi juu ya kifo cha mwingine jitafakari umetenda wema gani hapa ulimwenguni wewe ni mfu pia uliyebakiza muda mchache hapa duniani unapita tu utaishi maisha marefu kaburini wacha kukariri upuuzi!Tunawaonyesha udhaifu wenu wa kutegemea mtu kama Mungu wenu
Ndio zao la siasa ya ujamaa na kujitegemea ilivyowaleaHivi na wale walionaswa sauti, kina Nape et al, wana wakili wao, wakuwasaidia kuwashitaki waliovujisha sauti zao-maongezi yao ya simu?
======
Laigwanaan Kakenua meno hapo, na huyo beberu anaonekana akisema 'Lissu you will pay' ikiwa ina maana akishika Uongozi ama madaraka, atakuwa kipapeti fulani hivi. Yani atawalipa sana kwa madili😌🧐
Acha wivu.Hivi na wale walionaswa sauti, kina Nape et al, wana wakili wao, wakuwasaidia kuwashitaki waliovujisha sauti zao-maongezi yao ya simu?
======
Laigwanaan Kakenua meno hapo, na huyo beberu anaonekana akisema 'Lissu you will pay' ikiwa ina maana akishika Uongozi ama madaraka, atakuwa kipapeti fulani hivi. Yani atawalipa sana kwa madili😌🧐
Kipary kipyaaa......a.k.a watekajiMzee kaangalie makaburi halafu Mungu hadhihakiwi juu ya kifo cha mwingine jitafakari umetenda wema gani hapa ulimwenguni wewe ni mfu pia uliyebakiza muda mchache hapa duniani unapita tu utaishi maisha marefu kaburini wacha kukariri upuuzi!
Kipary kipyaaa......a.k.a watekaji
Sema msaliti!Kipary kipyaaa......a.k.a watekaji
Kesi ndogo sana hiyoView attachment 3118886
Cc: Mtandao wa Mawasiliano wa simu wa tigo, Chama cha Mapinduzi na Msemaji mkuu wa Serikali. Sielewi kwanini wamekuwa mentioned.
Yajayo tunayasubiri.
Yetu macho.Kesi ndogo sana hiyo
Mumiliki wa tigo ni bilionea Rostam Aziz.mwana CCM mwenye pesa kama zote za kigeni
Mwambieni huyo Amsterdam akithubutu kutaja Tigo kwenye hiyo kesi ajiandae kufililsiwa
Huyo Amsterdam bwege tu athubutu kuunganisha Tigo kwenye hiyo kesi aone mziki wake shenzi type lofa mkubwa huyo
Narudia athubutu kuunganisha Tigo kwenye hiyo kesi aonyeshwe cha mtema kuni
Who is Amsterdam wakili wa huyo Lisu anatishia nyau kampuni kama TigoYetu macho.
Yetu machoWho is Amsterdam wakili wa huyo Lisu anatishia nyau kampuni kama Tigo
Athubutu aone cha mtema kuni
Kufungua kesi ya private company ya kimataifa ulaya ni sawa tu na kufungua kesi mahakama ya mwanzo kisutu tuYetu macho