Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani?
Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya chama chake.
Kupitia kuongea kwake huo, yaelekea kuna mambo mengi sana ambayo alikuwa hakubaliani nayo lakini labda alikuwa anakuwa overridden na mwenyekiti wake.
Kama Lissu hakuafiki mambo kama yale ya maridhiano ambayo Mbowe alikuwa anayaunga mkono, aliwezaje kukubali ujio wa Lowassa?
Lowassa kuna wakati ndo alikuwa poster child wa ufisadi nchini.
Na waliokuwa mstari wa mbele katika kumsema na kumnyooshea kidole Lowassa, ni CHADEMA.
Tundu Lissu alishasema kwamba yeye ndiye aliyeiandika orodha ya mafisadi iliyosomwa Mwembechai.
How he gave countenance to Lowassa coming over to their side and be their flag bearer is beyond me!
Maybe he was just being a good cadre toeing the party line but deep down he wasn’t down with it.