Tundu Lissu aliwezaje kuiunga mkono hii switcheroo?

Tundu Lissu aliwezaje kuiunga mkono hii switcheroo?

Maswali unayouliza ameyajibu mara nyingi na hata leo kwenye interview aloyofanya na Azam aliulizwa swali hilo na akalijibu.
 
To err is Human, to Blame Someone else is Politics..., and Lissu is not different.

 
Kama hakuafikiana na yale maridhiano, yawezekana hata ujio wa Lowassa hakuafikiana nao ila alienda pamoja tu na maamuzi ya chama.

Unless labda awe ni mtu asiye na principles kabisa.
Hili laweza kuwa ndilo jibu sahihi. Lakini oia kwa nyongeza lazima mfukoni kulituna kidogo. Kwa bahati mbaya sana hata yeye hataki kuzungumzia kadhia hiyo.
 
Na hakuna Mwandishi wa habari aliyemuuliza hili swali katika interview zote alizofanya kwa wakati huu
Hata Mimi nashangaa sana, Kuna maswali kama vile;

1. Ni kweli alikuwa na mpango wa kumpindua mbowe??!

2. Alihusikaje kumkaribisha lowasa na kwann alikuwa dodoki kuu kumsafisha?!!

3. Je ni kweli alituma sms kwa wenje Ili amu endorse kama mgombea wa Kanda ya Victoria!??

4. Kipindi Cha mwisho alipotoka ubelgiji juzi alisema anaenda kule kuunganisha chama na jamii ya kimataifa, je anaunganisha kwa maelekezo ya nani??!

5. Kama wenje ametumwa kugombea Ili aondolewe yeye (kushindwa), kwanini asingetumia ushawishi wake huoguo kumpiga wenje Ili kumdhihirishia mbowe kuwa yeye ni nguli na mwamba kwelikweli

6. Yeye ni mgombea na kiongozi pia ndani ya chama,je ni sahihi kuja kumpigia kampeni mtu mmoja wapo katika wagombea ilihali hajui kura zitaamuaje?!!

Ningekuwa mwandishi ningeuliza hayo hapo kwa uchache sana!!!!
 
Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani?

Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya chama chake.

Kupitia kuongea kwake huo, yaelekea kuna mambo mengi sana ambayo alikuwa hakubaliani nayo lakini labda alikuwa anakuwa overridden na mwenyekiti wake.

Kama Lissu hakuafiki mambo kama yale ya maridhiano ambayo Mbowe alikuwa anayaunga mkono, aliwezaje kukubali ujio wa Lowassa?

Lowassa kuna wakati ndo alikuwa poster child wa ufisadi nchini.

Na waliokuwa mstari wa mbele katika kumsema na kumnyooshea kidole Lowassa, ni CHADEMA.

Tundu Lissu alishasema kwamba yeye ndiye aliyeiandika orodha ya mafisadi iliyosomwa Mwembechai.

How he gave countenance to Lowassa coming over to their side and be their flag bearer is beyond me!

Maybe he was just being a good cadre toeing the party line but deep down he wasn’t down with it.
Pesa kaka. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Ni jambo la kawaida sana

Mfano ujio wa DP World sio kila mtu aliuafiki lakini bado wote wanabakia kuwa watanzania na DP anaendelea kupiga mzigo.
 
Grandma, anza wewe kupumzika kuni stalk mimi.

I don’t use old shriveled up vaginas like yours.

Everywhere I go, you go.

I have no use for you.

Now keep it moving. Ok?
Tangu 2006 wewe upo tu JF na matusi yako. Kukaa kidogo Marekani unajiona zinga la mzungu. Social Media waachei watoto wa 2000. Inatosha sasa duuuh. Mpaka kero sasa.

Kubwa zima lina kazi ya kutukana tu mitandaoni hata kwa watu asiowajua.

PUMZIKA TUMEKUCHOKA JINGA WEWE..
 
Tangu 2006 wewe upo tu JF na matusi yako. Kukaa kidogo Marekani unajiona zinga la mzungu. Social Media waachei watoto wa 2000. Inatosha sasa duuuh. Mpaka kero sasa.

Kubwa zima lina kazi ya kutukana tu mitandaoni hata kwa watu asiowajua.

PUMZIKA TUMEKUCHOKA JINGA WEWE..
Mmenichoka wewe na nani? Mumeo?

Na umefuata nini hapa kama mmenichoka?

Hata akili kidogo tu huna. Retarded dumbass.
 
Mmenichoka wewe na nani? Mumeo?

Na umefuata nini hapa kama mmenichoka?

Hata akili kidogo tu huna. Retarded dumbass.
ONDOKA JF TUMEKUCHOKA. SOCIAL MEDIA waachie vijana wadogo wa 2,000.

Wazee wenzio wote wa founding members wameachana na JF ila wewe sasa.

TAFUTA KAZI ZA KUFANYA HUKO MAREKANI MPUUZI WEWE na Kiingereza chako cha kuungaunga..
 
ONDOKA JF TUMEKUCHOKA. SOCIAL MEDIA waachie vijana wadogo wa 2,000.

Wazee wenzio wote wa founding members wameachana na JF ila wewe sasa.

TAFUTA KAZI ZA KUFANYA HUKO MAREKANI MPUUZI WEWE na Kiingereza chako cha kuungaunga..
Naona unaumia sana na uwepo wangu hapa.

Siondoki na huna la kufanya juu ya hilo.

Endelea kulialia.

🖕
 
Back
Top Bottom