Tundu Lissu aliwezaje kuiunga mkono hii switcheroo?

tundu lisu ndiye aliyemleta lowasa chadema, he is the most corrupt katika wote sema pia mjanja mjanja na narcissistic hivyo he has a lot of flying monkeys lkn siku moja mask anayovaa itaondoka na hawataamini wafuasi wake the man behind the mask …
 
Idea ya wakati huo ilikuwa ku-mobilize nguvu zote katika nchi kadiri iwezekanavyo, bila kujali usafi na uchafu wa mtu. Huo ndio wakati pekee ambapo CDM ilikuwa serious kuutaka urais wa nchi, labda na ule wakati wa Dkt. Slaa.

CDM iliamini kwamba mtu pekee ambaye angeweza kuikabili Sisiemu wakati huo alikuwa ni ENL. Na TAL alisema: ^ENL mwenyewe hapo alipo anatembea na wafuasi zaidi ya milioni 6!^

Kwa hiyo ukichukulia hilo jambo halafu tena na ukweli kwamba alikuwa na pesa za kutosha, si ajabu CDM walimgeuza mzee wa watu kuwa mtaji wao katika siasa, huku wakifumbia macho makando-kando yake.

Alisafishwa, akasafika!
Kuamini mtu pekee ambaye angeweza kuikabili CCM ni yule mtu ambaye CCM yenyewe imemtosa, ni political malpractice of the century!
 
Just a politician like the rest of them.
He cant just get out of it.. just that...

TL is the same n@gg@ we thought had principles and can't tolerate nonsense...

The best thing he could do was to defend the decision made....

We are surprised....
 
Nakuunga mkono kwenye hili.
Kwenye ishu ya Lowasa, Lissu, Mbowe na wengine walitaka madaraka ya haraka, wakataka kuwaletea wananchi mwanaCCM aliyechafuka eti awe rais kupitia chama hicho. Hata kama Lowasa angeshinda hiyo siyo justification ya kuuza misingi ya harakati za mageuzi za kubadili mifumo ya nchi na badala yake kumuingiza Ikulu mtu ambaye hata katiba mpya alikuwa haitaki!
 
Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani?

Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya chama chake.

Kupitia kuongea kwake huo, yaelekea kuna mambo mengi sana ambayo alikuwa hakubaliani nayo lakini labda alikuwa anakuwa overridden na mwenyekiti wake.

Kama Lissu hakuafiki mambo kama yale ya maridhiano ambayo Mbowe alikuwa anayaunga mkono, aliwezaje kukubali ujio wa Lowassa?

Lowassa kuna wakati ndo alikuwa poster child wa ufisadi nchini.

Na waliokuwa mstari wa mbele katika kumsema na kumnyooshea kidole Lowassa, ni CHADEMA.

Tundu Lissu alishasema kwamba yeye ndiye aliyeiandika orodha ya mafisadi iliyosomwa Mwembechai.

How he gave countenance to Lowassa coming over to their side and be their flag bearer is beyond me!

Maybe he was just being a good cadre toeing the party line but deep down he wasn’t down with it.
Abihudi strike again! Kuna interview moja Lissu kaelezea kwa kirefu ni kwa nini walimkubali Lowassa. Itafute na utajifunza mengi. Kimsingi Lowassa aliungwa mkono na wana-chadema wengi kwa sababu waliona ndiyo nafasi nzuri ya kuua CCM kama vyama vingine eg KANU zilivyopotea. Tungeanza upya.
 
Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani?

Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya chama chake.

Kupitia kuongea kwake huo, yaelekea kuna mambo mengi sana ambayo alikuwa hakubaliani nayo lakini labda alikuwa anakuwa overridden na mwenyekiti wake.

Kama Lissu hakuafiki mambo kama yale ya maridhiano ambayo Mbowe alikuwa anayaunga mkono, aliwezaje kukubali ujio wa Lowassa?

Lowassa kuna wakati ndo alikuwa poster child wa ufisadi nchini.

Na waliokuwa mstari wa mbele katika kumsema na kumnyooshea kidole Lowassa, ni CHADEMA.

Tundu Lissu alishasema kwamba yeye ndiye aliyeiandika orodha ya mafisadi iliyosomwa Mwembechai.

How he gave countenance to Lowassa coming over to their side and be their flag bearer is beyond me!

Maybe he was just being a good cadre toeing the party line but deep down he wasn’t down with it.
Grandpa, pumzika inatosha. Sio kila siku ni lazima uanzishe mada JF. It's time for Gen Z to take over.

INATOSHA. PUMZIKA BABU..
 
Sasa shida ni kutaja yale ambayo hakubaliani nayo au nini? Vipi kama aliyasema katika vikao vya chama na hakuna kilichofanyika?

Simtetei Lissu, ila unamu attack kwa makosa ya wengi ikiwemo unayemtetea wewe. Shida ndio ipo hapo
You are too dumb!

I have not attacked Lissu.

I’m just wondering.

Bringing Lowassa in was much bigger and consequential than the so called reconciliation talks.

If Lissu saw right through those talks, then he definitely must have seen the pitfalls of welcoming Lowassa.

That’s not an attack. That’s me saying Lissu is smart to have known the concerns against Lowassa.

But you are too dumb. Too stupid to navigate the nuance terrain.

You see me mention Lissu’s name and you automatically think I’m attacking him?

You are a dwarf star! Not very bright.

🖕
 
Grandpa, pumzika inatosha. Sio kila siku ni lazima uanzishe mada JF. It's time for Gen Z to take over.

INATOSHA. PUMZIKA BABU..
Grandma, anza wewe kupumzika kuni stalk mimi.

I don’t use old shriveled up vaginas like yours.

Everywhere I go, you go.

I have no use for you.

Now keep it moving. Ok?
 
Lissu ni kichaa
😳😳😳😳🚮🚮🚮

IMG-20250113-WA0082.jpg
 
Nakuunga mkono kwenye hili.
Kwenye ishu ya Lowasa, Lissu, Mbowe na wengine walitaka madaraka ya haraka, wakataka kuwaletea wananchi mwanaCCM aliyechafuka eti awe rais kupitia chama hicho. Hata kama Lowasa angeshinda hiyo siyo justification ya kuuza misingi ya harakati za mageuzi za kubadili mifumo ya nchi na badala yake kumuingiza Ikulu mtu ambaye hata katiba mpya alikuwa haitaki!
💯%.
 
Ilikuwa ni wakati mzuri wa kuondoa CCM ili ife, hilo ndilo lilikuwa lengo kubwa. Ni kweli Lowassa alikuwa siyo msafi lakini tatizo ni CCM. Ukifanikiwa kuiua CCM mengine yatafuata. As much as navyosemaga vibaya kuhusu uwezo mdogo wa Samia, lakini uchaguzi huu kama ukinimbia Samia awe mgombea wa Chadema na ana uwezo wa kushinda nitakuambia na iwe hivyo ili tu CCM ife kwanza.
 
Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani?

Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya chama chake.

Kupitia kuongea kwake huo, yaelekea kuna mambo mengi sana ambayo alikuwa hakubaliani nayo lakini labda alikuwa anakuwa overridden na mwenyekiti wake.

Kama Lissu hakuafiki mambo kama yale ya maridhiano ambayo Mbowe alikuwa anayaunga mkono, aliwezaje kukubali ujio wa Lowassa?

Lowassa kuna wakati ndo alikuwa poster child wa ufisadi nchini.

Na waliokuwa mstari wa mbele katika kumsema na kumnyooshea kidole Lowassa, ni CHADEMA.

Tundu Lissu alishasema kwamba yeye ndiye aliyeiandika orodha ya mafisadi iliyosomwa Mwembechai.

How he gave countenance to Lowassa coming over to their side and be their flag bearer is beyond me!

Maybe he was just being a good cadre toeing the party line but deep down he wasn’t down with it.
Kwenye maburungutu ya mama abduli wange mtafuta huyu/ consultant.

Professor Nic Cheeseman​

Wa University of Birmingham.

Anakitabu chake na kina mbinu nyingi Sana ""how to rig an election without getting caught"

Screenshot_20250117-164636.png
 
Mwaka 2015 Lowassa alipata kura milioni 6 karibia 40% ya kura zote.
 
Back
Top Bottom