Tundu Lissu aliwezaje kuiunga mkono hii switcheroo?

Tundu Lissu aliwezaje kuiunga mkono hii switcheroo?

Inshu ya Lowasa nyuma yake ilikuwepo system, Lowasa ilibidi aje upinzani ili ku neutralize upinzani na kundi lake akiwemo Nchimbi na wenzie. Lissu wala Mbowe na kamati yote wasingeweza kumkataa Lowasa. Gwajima boy alipewa kazi maalumu na akaifanikisha, rejea kauli ya mzee Kingunge. Kwa kifupi Chadema ilishawekwa mfukoni kitambo na CCM
 
Ilikuwa ni wakati mzuri wa kuondoa CCM ili ife, hilo ndilo lilikuwa lengo kubwa. Ni kweli Lowassa alikuwa siyo msafi lakini tatizo ni CCM. Ukifanikiwa kuiua CCM mengine yatafuata. As much as navyosemaga vibaya kuhusu uwezo mdogo wa Samia, lakini uchaguzi huu kama ukinimbia Samia awe mgombea wa Chadema na ana uwezo wa kushinda nitakuambia na iwe hivyo ili tu CCM ife kwanza.
Nimeona comments nyingi tu za hovyo kutoka kwa nyumbu, haswa wa lissu, kwenye hii mada lkn hii imetia fora. Yaani hilo furushi lililoandika comment hii hakika ni furushi kweli.
 
Nimeona comments nyingi tu za hovyo kutoka kwa nyumbu, haswa wa lissu, kwenye hii mada lkn hii imetia fora. Yaani hilo furushi lililoandika comment hii hakika ni furushi kweli.
Have you ever heard of wildebeests fighting to lead a group for 25 years? Have you ever heard of a wildebeest killing other wildebeests because they questioned its leadership ability
 
Amelijibia leo hapa live star tv mdahalo.
 
Inshu ya Lowasa nyuma yake ilikuwepo system, Lowasa ilibidi aje upinzani ili ku neutralize upinzani na kundi lake akiwemo Nchimbi na wenzie. Lissu wala Mbowe na kamati yote wasingeweza kumkataa Lowasa. Gwajima boy alipewa kazi maalumu na akaifanikisha, rejea kauli ya mzee Kingunge. Kwa kifupi Chadema ilishawekwa mfukoni kitambo na CCM
Hili jibu umemaliza.

Ukawa wangemuweka mgombea mwingine, katika wale waliotarjiwa, hakika pangechimbika. Kumuweka Lowasa ilivunja sana Moyo watanzania walio wengi, na kuona hata CHADEMA ni wale wale tu.

Wanasema CCM ilichezesha karata zake na kuona tufanye hivi Ili iwe hivi. Bahati mbaya, CHADEMA hawakulijua kabisa hilo, au walilijua lakin hawakua na uwezo wa kulipinga

Lilikua ndani kabisa ya system, na lilifanikiwa.
 
Back
Top Bottom