Huyo ana chuki binafsiWewe na Kija mnastahili kukaa meza moja. Fuatilia mahojiano yake ya nyuma mbona alishaweka wazi kuhusu hilo suala
Kuamini mtu pekee ambaye angeweza kuikabili CCM ni yule mtu ambaye CCM yenyewe imemtosa, ni political malpractice of the century!Idea ya wakati huo ilikuwa ku-mobilize nguvu zote katika nchi kadiri iwezekanavyo, bila kujali usafi na uchafu wa mtu. Huo ndio wakati pekee ambapo CDM ilikuwa serious kuutaka urais wa nchi, labda na ule wakati wa Dkt. Slaa.
CDM iliamini kwamba mtu pekee ambaye angeweza kuikabili Sisiemu wakati huo alikuwa ni ENL. Na TAL alisema: ^ENL mwenyewe hapo alipo anatembea na wafuasi zaidi ya milioni 6!^
Kwa hiyo ukichukulia hilo jambo halafu tena na ukweli kwamba alikuwa na pesa za kutosha, si ajabu CDM walimgeuza mzee wa watu kuwa mtaji wao katika siasa, huku wakifumbia macho makando-kando yake.
Alisafishwa, akasafika!
Sijamsumbua. Yeye yuko huko anapumzika. Mimi nipo JF namjadili.Ishu za Lowassa unazungumza leo bro... Mwache apumzike kwa amani huko aliko
He cant just get out of it.. just that...Just a politician like the rest of them.
Abihudi strike again! Kuna interview moja Lissu kaelezea kwa kirefu ni kwa nini walimkubali Lowassa. Itafute na utajifunza mengi. Kimsingi Lowassa aliungwa mkono na wana-chadema wengi kwa sababu waliona ndiyo nafasi nzuri ya kuua CCM kama vyama vingine eg KANU zilivyopotea. Tungeanza upya.Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani?
Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya chama chake.
Kupitia kuongea kwake huo, yaelekea kuna mambo mengi sana ambayo alikuwa hakubaliani nayo lakini labda alikuwa anakuwa overridden na mwenyekiti wake.
Kama Lissu hakuafiki mambo kama yale ya maridhiano ambayo Mbowe alikuwa anayaunga mkono, aliwezaje kukubali ujio wa Lowassa?
Lowassa kuna wakati ndo alikuwa poster child wa ufisadi nchini.
Na waliokuwa mstari wa mbele katika kumsema na kumnyooshea kidole Lowassa, ni CHADEMA.
Tundu Lissu alishasema kwamba yeye ndiye aliyeiandika orodha ya mafisadi iliyosomwa Mwembechai.
How he gave countenance to Lowassa coming over to their side and be their flag bearer is beyond me!
Maybe he was just being a good cadre toeing the party line but deep down he wasn’t down with it.
Grandpa, pumzika inatosha. Sio kila siku ni lazima uanzishe mada JF. It's time for Gen Z to take over.Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani?
Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya chama chake.
Kupitia kuongea kwake huo, yaelekea kuna mambo mengi sana ambayo alikuwa hakubaliani nayo lakini labda alikuwa anakuwa overridden na mwenyekiti wake.
Kama Lissu hakuafiki mambo kama yale ya maridhiano ambayo Mbowe alikuwa anayaunga mkono, aliwezaje kukubali ujio wa Lowassa?
Lowassa kuna wakati ndo alikuwa poster child wa ufisadi nchini.
Na waliokuwa mstari wa mbele katika kumsema na kumnyooshea kidole Lowassa, ni CHADEMA.
Tundu Lissu alishasema kwamba yeye ndiye aliyeiandika orodha ya mafisadi iliyosomwa Mwembechai.
How he gave countenance to Lowassa coming over to their side and be their flag bearer is beyond me!
Maybe he was just being a good cadre toeing the party line but deep down he wasn’t down with it.
You are too dumb!Sasa shida ni kutaja yale ambayo hakubaliani nayo au nini? Vipi kama aliyasema katika vikao vya chama na hakuna kilichofanyika?
Simtetei Lissu, ila unamu attack kwa makosa ya wengi ikiwemo unayemtetea wewe. Shida ndio ipo hapo
Grandma, anza wewe kupumzika kuni stalk mimi.Grandpa, pumzika inatosha. Sio kila siku ni lazima uanzishe mada JF. It's time for Gen Z to take over.
INATOSHA. PUMZIKA BABU..
He kumbe kweli?
💯%.Nakuunga mkono kwenye hili.
Kwenye ishu ya Lowasa, Lissu, Mbowe na wengine walitaka madaraka ya haraka, wakataka kuwaletea wananchi mwanaCCM aliyechafuka eti awe rais kupitia chama hicho. Hata kama Lowasa angeshinda hiyo siyo justification ya kuuza misingi ya harakati za mageuzi za kubadili mifumo ya nchi na badala yake kumuingiza Ikulu mtu ambaye hata katiba mpya alikuwa haitaki!
Ilikuwa ni wakati mzuri wa kuondoa CCM ili ife, hilo ndilo lilikuwa lengo kubwa. Ni kweli Lowassa alikuwa siyo msafi lakini tatizo ni CCM. Ukifanikiwa kuiua CCM mengine yatafuata. As much as navyosemaga vibaya kuhusu uwezo mdogo wa Samia, lakini uchaguzi huu kama ukinimbia Samia awe mgombea wa Chadema na ana uwezo wa kushinda nitakuambia na iwe hivyo ili tu CCM ife kwanza.Nakuunga mkono kwenye hili.
Kwenye ishu ya Lowasa, Lissu, Mbowe na wengine walitaka madaraka ya haraka, wakataka kuwaletea wananchi mwanaCCM aliyechafuka eti awe rais kupitia chama hicho. Hata kama Lowasa angeshinda hiyo siyo justification ya kuuza misingi ya harakati za mageuzi za kubadili mifumo ya nchi na badala yake kumuingiza Ikulu mtu ambaye hata katiba mpya alikuwa haitaki!
Waandishi wetu wababaishaji sana. Huwa hawajiandai.Na hakuna Mwandishi wa habari aliyemuuliza hili swali katika interview zote alizofanya kwa wakati huu
Mimi namuona kama a real critical thinker. Sio unaenda tu kama nyumbu.Siku hizi mzee Nyani Ngabu hauaminiki na wadau wengi wa JF kama ambavyo Mh Mughabe amepoteza imani na tumaini la kuvuka salama January 21, 2025.
Kwenye maburungutu ya mama abduli wange mtafuta huyu/ consultant.Mwaka 2015, Tundu Lissu aliwezaje kuunga mkono ubadilishaji wa gia angani?
Kwa siku na wiki hizi chache kuelekea kwenye uchaguzi wa CHADEMA, Lissu amekuwa akifunguka sana kuhusu mambo ya ndani ya chama chake.
Kupitia kuongea kwake huo, yaelekea kuna mambo mengi sana ambayo alikuwa hakubaliani nayo lakini labda alikuwa anakuwa overridden na mwenyekiti wake.
Kama Lissu hakuafiki mambo kama yale ya maridhiano ambayo Mbowe alikuwa anayaunga mkono, aliwezaje kukubali ujio wa Lowassa?
Lowassa kuna wakati ndo alikuwa poster child wa ufisadi nchini.
Na waliokuwa mstari wa mbele katika kumsema na kumnyooshea kidole Lowassa, ni CHADEMA.
Tundu Lissu alishasema kwamba yeye ndiye aliyeiandika orodha ya mafisadi iliyosomwa Mwembechai.
How he gave countenance to Lowassa coming over to their side and be their flag bearer is beyond me!
Maybe he was just being a good cadre toeing the party line but deep down he wasn’t down with it.
Majibu ya Hilo swali nayajibu Mimi Kwa nyakati zile ilikua ni lazima iwe vile na Yale mafuriko haijapata kuwai kutokea ama kuja kutokea.Waandishi wetu wababaishaji sana. Huwa hawajiandai.
Kungekuwa na tume huru ya uchaguzi mwaka 2015 tungeweza kuwa tunaongea mengine sasa hivi.Kuamini mtu pekee ambaye angeweza kuikabili CCM ni yule mtu ambaye CCM yenyewe imemtosa, ni political malpractice of the century!