Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Naona chadema mnaanza kuvuana nguo.soon mtasema TL alipigwa lisasi na Mbowe.siasa bana.uchafu mtupu
 
Niliwaambia hata ben saa 8 ni hivyo hivyo mbowe ukitaka akuchape hata ngumi mtajie jina la ben saa8 ...hataki hata kusikia huo upumbavu unao itwa ben...watz mna qkili ndogo sanq hata huyo tundu lissu amechelewa sana kuijua chadema na mbowe pamoja nq genge lake japo yumo ndani ya chadema....wapo wapumbavu wanasema rostam azizi ni mfanyabiashara 😁😁😁😁 rostam azizi ajawai kufanya biashara hata ya kuuza pipi huo ndiyo ukweli .....sema wapumbavu wanadhani ni mfanya biashara maana ndiyo anavyo jiweka aonekane mfanya biashara
 
Niliwaambieni moja ya mambo ya siri kati ya mpumbavu mbowe na mlaaniwa samia bushiri waliyo kubariana ni kuhujumu usajili ya vyama vipya yaani walikubaliana kuzuia vyama vipya ...kuna sababu ....


LAANA SAMIA UMELAANIWA KULIKO WANAWAKE WOTE NA ABDUL MZAWA WA TUMBO LAKO KALAANIWA TOKEA SASA UISHI KWA HOFU NA VIZAZI VYOTE WATAKUITA MLAANIWA
 
Lissu shikilia hapo hapo.

Mbowe NI mtu hatari Sana.

System ilipomkamata Kwa ugaidi haikuwa Bahati mbaya.

Mbowe ni gaidi na aliachiwa na system sababu ya ujinga wetu kujidai kujua kuliko system.
Tumia akili mbowe ni gaidi na system chini ya samia bushiri ni magaidi hivyo mbowe aliachiwa kwa makubaliano ya kushilikiana na magaidi ya samia bushiri dhidi ya wazalendo wote walio chadema na hata nje ya chadema
Yericko Nyerere pengine mtu wa Kwanza mwenye kuhisiwa kuhusika na suala la Mzee Kibao ni wewe.

Je huu ndio ujasusi wako?
 
Hata samia alikuwa kiongozi pekee wa ngazi ya juu kwenda kumwona lissu ...sasa tumia akili ...nilisema ndani ya ccm ya jpm kulikuwa na pande mbili ...moja ni wazalendo na ya pili ni maadui wa uzalendo ...kundi la maadui wa UZALENDO baadhi waliopo ccm ni samia ...rostam azizi....kikwete January makamba ...nk hili kundi la maadui wa UZALENDO walikuwa wanashirikiana na chadema kumchafua JPM hata kwa mauaji wa watu wao wasiowapenda hili kumchafua jpm
 
Tukisema chadema ni chama cha wapumbavu muwe mnaelewa, joka linalowaua na kuwateka kila siku mnalo mnalilisha nyie halafu mnakaza mafuvu kuisingizia ccm. Code aliyosema mlopokaji wenu ni mazhombi pekee hawatamuelewa wataendelea ccm ccm ccm ccm.
Vijana wa shule za kata lini mutaacha ujinga? Hivi mbowe aue watu na kuteka halafu vyombo vya dola vikae kimya tu halafu wewe mjinga uliopo chisegu ndio ujue code?
 
Nilipo waimbieni abdul abdul abdul watu mkaniona mjinga na mpumbavu ...abdul ni zaidi ya ma idi amini 10 watu mnanishangaa...ninapo waambieni ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI amnielewi
Zinaanza kuja,zinaanza kuja. Itoshe kusema hii ni sababu ya kifo cha mzee Kibao.
 
Jamaa sijui kapatwa na nn? aah CDM kuweni makini - zile tetezi alizosema Msigwa za kugawana mbao si ajabu ndiyo hizi.
Jamaa ni furu kuropoka bila ushahidi wowote.
 
Ndio madhara ya kunywa pombe za watu zilioachwa mezani....arifu Lwiva punguza ulevi wa hovyo ....ienende X-Mass kwa utulivu....
 
Ha ha ha ha namuogopa huyo dada alishawahi kunitisha kuwa nikiendelea kuwarushia hoja nzito atanionyesha MUONYESHO mkuu....nikaogopa na kupunguza maneno.....dunia hii nisije nikaja kujuta .......
Erythrocyte asikutishe kwa lolote, hapo alipo yupo period ya ghafla mwezi mzima mpaka mwakan bwana wake atakaposhinda ndo period itakata, c unajua tena wanawake wanaweza ingia kwenye siku zao wakiwa na hofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…