Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema.

Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na tuhuma hizo na aliyemsaidia kuthibitisha tuhuma hizo mbele ya kamati kuu ya Chama cha CHADEMA kwa sasa ni Marehemu. Hata hivyo Lissu alikataa kumtaja Mjumbe huyo akidai kwamba haitasaidia kitu chochote.

Na alipoulizwa iwapo kifo cha Mzee Ali Kibao kinahusiana na tuhuma za pesa za Abdul aliomba asilizungumzie Hilo kwa sasa.

Mkuu Erythrocyte njoo huku kuna hoja nzito sana.
 
💯%.

Leo hii wameanza kuchenjiana wao kwa wao huku wengine wakidondosha vidokezo kuwa Mbowe anahusika moja kwa moja na baadhi ya matukio.

Ipo siku watamuomba radhi Magufuli na Pengine hata kumpigia kampeni kwa Papa ili apate utakatifu.
Magu alishirikiana na adui wa ndani. haya mauaji na utekaji ni kolabo. ni wapi huelewi!?
 
Nimemfahamu akiwa sekondari, naifahamu family yake na Mengine tu ya kwake

Na kuna wakati in the 90s tulidhihakiwa tunambeba

I wish ungejua huku jf watu sio wepesi ila wanaenda na flow

Btw, JJ was right…. Dogo ni mental health
Mental case....
 
Kumbe ndiyo maana kuna watu, hata humu JF wamevimba midomo, macho, masikio hadi pua; na vidole kujipinda kwa kubonyeza 'keyboard' wakimlaumu Tundu Lissu kwa wanaouita wao "uropokaji".

Kumbe wanajua mabomu aliyo nayo Tundu Lissu na wanayo hofu kubwa kuwa atayalipua!

Uovu wa aina hii nao uwe ni sehemu ya kuwekeana siri viongozi?

Hovyo kabisa.
Inaonekana yaliyoko gizani yanayofanywa na mwenyekiti yanatisha shana ndiyo maana anatumia nguvu zote pamoja na nguvu za ccm ili kubaki madarakani. Siku TLisu akipasua jipu mwenyekiti tutampiga mawe.
 
Inaonekana yaliyoko gizani yanayofanywa na mwenyekiti yanatisha shana ndiyo maana anatumia nguvu zote pamoja na nguvu za ccm ili kubaki madarakani. Siku TLisu akipasua jipu mwenyekiti tutampiga mawe.
Mbowe aliye toka gerezani alikuwa ni Mbowe tofauti na yule wa CHADEMA enzi za Slaa. Tokea hapo Mbowe amekuwa kwenye mteremko wa kukigeuza chama kuwa sehemu ya kufanyia biashara zake.
 
Hahahaa.

Sicheki Lissu kupigwa risasi.

Nacheka tu jinsi narrative inavyoanza kubadilika kidogo kidogo.

Mwanzoni villain alikuwa Magufuli.

Sasa hivi kibao kimeanza kubadilika kidogo kidogo.

Muda si mrefu kuna mtu atatapika yote aliyonayo moyoni.

Ila kwa huu ufa ulioanza kujionyesha, CHADEMA haitokuwa tena kama ilivyokuwa zamani.

Hii CHADEMA ya sasa na ijayo, ni dhaifu sana.

Na kuhusu Mbowe, kuna watu humu walikuwa wanahoji sana ushiriki wake katika kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Lissu.

Hiyo ilikuwa ni kipindi kile cha Magufuli.

Lakini kwa vile Magufuli ndo alikuwa villain kwa wakati huo, jaribio lolote lile la hata kuhoji tu uwezekano wa labda Mbowe alikuwa anajua zaidi kuhusu hayo matukio kuliko na alivyokuwa anaonekana, lilikumbwa na push back kali sana toka kwa makamanda.

Like, how dare you question our dear chairman! Mbowe ndiye aliyekodi ndege binafsi kum airlift Lissu kwenda Nairobi akiwa hajitambui.

Anywho, ngoja niendelee kuangalia hii ngoma iliyo inogile.

Ila idea ya kwamba sasa Mbowe ameanza kuwa villain, ni tamu kuliko cranberry sauce iliyopo kwenye menu ya kesho kwenye mlo wa Krismasi 🤣.

It will be sweet to watch what transpires.
Uzuri wa Lissu ni msema ukweli tofauti na wewe mpotoshaji..

Yaliyofanywa na Magufuli amemtaja wazi Magufuli na Makonda na genge lake.

Yanayofanywa na Samia anamtaja wazi Samia na mwanae Abdul na hao akina Mbowe..

Utakayoyafanya wewe pia atakutaja waziwazi

Kwa hiyo acha kujichekeza kama kenge hapa
 
Uzuri wa Lissu ni msema ukweli tofauti na wewe mpotoshaji..

Yaliyofanywa na Magufuli amemtaja wazi Magufuli na Makonda na genge lake.

Yanayofanywa na Samia anamtaja wazi Samia na mwanae Abdul na hao akina Mbowe..

Utakayoyafanya wewe pia atakutaja waziwazi

Kwa hiyo acha kujichekeza kama kenge hapa
Lissu naye ni muongo muongo tu.

Hana utakatifu wowote ule.
 
Back
Top Bottom