Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Heri ya Christmas Wanajamvi.
Mjadala wa CHADEMA, kwa sasa ndio habari ya mjini, hata kwa wasiofuatilia Siasa.

Imefikia hatua hata uteuzi na uapisho uliofanyika Ikulu ndogo ya TUNGUU uliofanyika majuma kadhaa yaliopita ,kutopata coverage ya kutosha kwenye mitandao ya kijamii kama ilivyo Habari ya umwenyekiti wa CHADEMA.

Ushauri wangu, mteue KINGWENDU kuwa Mbunge, na BAMBO kuwa mjumbe wa bodi Mojawapo kama vile bodi ya utalii,kupitia waziri mwenye dhamana.

Baada ya uteuzi huo kwa muda Mjadala wa CHADEMA utaenda likizo na watu watajadili uteuzi wa BAMBO na KINGWENDU.

Ukilifanya hilo mheshimiwa Rais, utakuja kunishukuru.

Nimetumia BAMBO na KINGWENDU kama mfano, inawezekana pia ukawateua Ndugu wengine tofauti, kama ndugu yangu MADEBE LIDAI na na mtaani wangu Muhogo mchungu.

Ushauri sio shururuti, unaweza kukataa pia sio Lazima kuafiki.

Ni hayo tu mh Rais, Nikutakie Christmas njema.
 
1.Baba yake Mbowe alikukuwa rafiki Mkubwa wa Nyerere;
2.Msimamizi wa ndoa ya Mbowe alikuwa Makongoro Nyerere;
3.Edwin Mtei aliteuliwa na Nyerere kuwa governor wa Bank kuu ya Tanzania kwa miaka karibu 9.
4.Nyerere alimteua tena Mtei kuwa Waziri wake wa Fedha na Mipango kwa miaka 3
5.CHADEMA imeanzishwa na Mzee Mtei rafiki yake Nyerere
6.Mbowe ameoa Mtoto wa Edwin Mtei
7.Mzee Mtei alimuingiza Mbowe Bank Kuu,huku Mbowe akiwa na Elimu just ya Form 4.
8.Mzee Mtei alimukabidhi Chadema Mbowe.

Kwa mazingira kama haya,unaweza kusema Nyerere alishikiana na Mtei kwa mlango wa nyuma kuianzisha CHADEMA.Ni ngumu sana kuja kuamini kama Chadema ni upinzani kweli.
 
Abduli kwenye hili swala haitajiki hata kidogo na sababu ni moja tu, Abduli maelezo yake hayawezi kwenda kinyume na maelezo ya Wenje....Mkuu kinachohitajika hapa ni ushaidi wa Video yenye maongezi yao basi.

..Ukishapata maelezo yao wote, Lissu, Wenje, Abduli, tunaweza kuona wanapopishana na ikasaidia kuujua ukweli.

..kwa mfano, wenye shida Chadema sio Lissu peke yake, Je, Abduli amesaidia wangapi ktk chama na ktk shida gani? Au amekuwa akisaidia Chadema kwa muda gani? Je, ni vyama gani vingine vimesaidiwa au vinasaidiwa na Abduli?
 
Ninakula kwa uangalifu na kwa tahadhari kubwa ili nisikwamwe.

Faida ya kula haraka haraka ni kuwahi kushiba na kufuata shughuli zingine.
Ulipewa meno uanze kucharanga hayo matonge mdomoni kabla ya kuyameza haraka. Taratibu za biolojia zinaanzia mdomoni kabla ya yote; hatua kwa hatua hadi uchafu unatokea nje kwenye tundu jingine chini. Unacho taka kufanya wewe ni kuharakisha taratibu hizi za kimwili. Matokeo yake siyo mazuri.
 
1.Baba yake Mbowe alikukuwa rafiki Mkubwa wa Nyerere;
2.Msimamizi wa ndoa ya Mbowe alikuwa Makongoro Nyerere;
3.Edwin Mtei aliteuliwa na Nyerere kuwa governor wa Bank kuu ya Tanzania kwa miaka karibu 9.
4.Nyerere alimteua tena Mtei kuwa Waziri wake wa Fedha na Mipango kwa miaka 3
5.CHADEMA imeanzishwa na Mzee Mtei rafiki yake Nyerere
6.Mbowe ameoa Mtoto wa Edwin Mtei
7.Mzee Mtei alimuingiza Mbowe Bank Kuu,huku Mbowe akiwa na Elimu just ya Form 4.
8.Mzee Mtei alimukabidhi Chadema Mbowe.

Kwa mazingira kama haya,unaweza kusema Nyerere alishikiana na Mtei kwa mlango wa nyuma kuianzisha CHADEMA.Ni ngumu sana kuja kuamini kama Chadema ni upinzani kweli.

..wakati Mbowe yuko BOT gavana alikuwa Charles Nyirabu.

..pia Mbowe aliingia BOT baada ya kumaliza form 6.

..Na naamini ni kupitia mpango wa serikali kuajiri vijana wa form 6 kabla hawajapelekwa vyuoni.

..pia huwezi kusema Mtei alikuwa rafiki wa Nyerere.

..Mtei alikuwa mdogo kiumri, na kicheo, kuweza kumuita rafiki wa Mwalimu Nyerere.

..Ni sahihi zaidi kusema Mtei alikuwa mtumishi, au muajiriwa, wa Mwalimu Nyerere.

Infact Mtei alikuwa mmoja wa wakosoaji wakubwa wa sera za uchumi za Mwalimu Nyerere.

..Mbowe alipokea chama toka kwa Mzee Mohamed Bob Makani.

..Mzee Makani alikuwa mtu wa Shinyanga. Mke wake alikuwa mwenyeji wa Mbeya.

..Waliompendekeza Mbowe awe Mwenyekiti ni wabunge wa Chadema wa wakati huo.

..Mbowe alipokea chama kikiwa na wabunge wachache, na ushawishi mdogo.
 
Yaani nyie mnamdanganya sana Lissu duniani hapa huwezi kupingana na mfumo, na mfumo haujawahi shindwa ni swala la mda tu. Pia na waambia mabadiliko tunayo yataka hayawezi kuletwa na wanasiasi kamwe.
Bashar al-Assad alikuwa na mfumo pia, tena WA kwake ulikuwa na kings kubwa kutoka Urusi, Iran na kadhalika!
 
Ahsante mkuu, 'macho_mdiliko' kwa 'summary' hii yenye mtiririko mzuri unao eleweka kirahisi kabisa.

Sasa sijui kama uchunguzi wa tukio hilo utatolewa tena haraka kama ilivyo agizwa!
Hiyo "haraka" sijui ni mpaka lini!
Kwenye haya mauaji ya Mzee kibao inavyoonekana Dkt Samia hahusiki kabisa ila inawezekana ni mbowe acted alone ili kulinda yale yote chini ya kapeti kwa sababu mzee Kibao alikuwa karibu na lisu ambaye yeye mbowe alishataka kumuua akamkosa hivyo inaonekana Mzee Kibao alikuwa na taarifa za uhakika kwamba mbowe ni mhusika baada ya kulikisha hiyo siri ya abduli basi mbowe akaona ahaaa basi hata la risasi za lisu 2017 lisu ataambiwe iwe nongwa
 
Wakati wa kutapika asisahau na Ile ajali iliyomuondia Ndugu yetu Kamanda Wa Tanga jina kimenitoka... alikuwa mbioni kugombea ubunge huko huko Tanga.
Nani alimuundia ajali? Unazungumzia yule kijana Mohamed Mtoi?
Fala ni mama yako aliyekuzaa ukiwa nyumbu. Muuane wenyewe halafu mmsingizie Rais wetu mpendwa Magufuli. Sasa mmeanza kutoa siri zenu nyumbu nyinyi.
Nikiona mtu kanitukana ninaposema jambo huwa nafurahi sana kwa sababu najua spoku imeingia sawasawa.
 
Back
Top Bottom