Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Aisee kumbe Mzee Kibao aliuawa na ndugu kengeza aka mr zero mbowe hahahaha aisee yajayo yanafurahisha. Na aliyehusika kutaka kumuua lisu ni huyo huyo mbowe na mbowe huyo huyo anaongoza genge la magaidi la kuteka na kuua. Hahaha Dkt Magufuli alale unono kwa Amani huku wenyewe wameanza kuumbuana
 
Mgombea Uenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amefunguka kupitia Twitter space jinsi alivyokusanya ushahidi wa kutosha kuhusu rushwa ya pesa za Abdul na mama yake kwa viongozi wa Chadema.

Ameeleza kuwa mmoja wa wajumbe wa kamati kuu ya Chama cha CHADEMA aliyempatia ushahidi wa kina kuhusiana na tuhuma hizo na aliyemsaidia kuthibitisha tuhuma hizo mbele ya kamati kuu ya Chama cha CHADEMA kwa sasa ni Marehemu. Hata hivyo Lissu alikataa kumtaja Mjumbe huyo akidai kwamba haitasaidia kitu chochote.

Na alipoulizwa iwapo kifo cha Mzee Ali Kibao kinahusiana na tuhuma za pesa za Abdul aliomba asilizungumzie Hilo kwa sasa.
Wala Rushwa ukitoa siri zao wanaku-R.I.P
●Nchi kama South America kwenye Ma-Gang.
 
Umeanza kumjua Lissu kipindi cha Magufuli?

Angekwepo Marehemu Mkapa angekuambia Lissu ni nani.

Kikwete aliwahi kutamka ni heri wakose Urais kuliko Lissu kuingia bungeni.

Source : Trust Me Bro Hutaki Acha.
Nimemfahamu akiwa sekondari, naifahamu family yake na Mengine tu ya kwake

Na kuna wakati in the 90s tulidhihakiwa tunambeba

I wish ungejua huku jf watu sio wepesi ila wanaenda na flow

Btw, JJ was right…. Dogo ni mental health
 
Kalamu,

Huoni kwamba anatumia weledi wake kisheria kutuhadaa?

Ikiwa shahidi muhimu ni marehemu, awezaje itwa court kushuhudia iwapo Lissu amepandiahwa kizimbani?
"Anatumia weledi wake kisheria kutuhadaa?" Kwa nini atuhadae. Yeye anafaidika vipi na huko kuhadaa?

Sasa Lissu ni kipi kinacho mpa faida katika kusema haya. Na kama unavyo sema wewe, hao wanao shutumiwa wakiamua kwenda mahakamani kumshtaki Lissu; wewe unadhani Lissu atapata kinga kwa vile mashahidi aliye tajwa sasa ni marehemu? Mbona hali ndio itakapo muwia ngumu zaidi?
 
Ningelipenda 'TALL' amwage ugali kabisa ili kila raia amege matonge kwa kadri anavyotaka.

Aina hii ya ulishi wa kutulisha matonge kidogo kidogo huku akipulizia, hatuwezi kushiba haraka.

Tuna njaa sana sisi bhana.
Nikukumbushe tu hatari ya ulafi. Unasakamia matonge makubwa, harakaharaka yanakukwama kooni. Sasa niambie faida utakayo pata hapo.
 
Ana mengi ya kusema na nahisi ndio maana anapata hizo threats za kuuawa tena. Kwa Tanzania huyu ni mwanamageuzi pekee tuliyebaki nae. Too sad atakata tamaa na sisi soon. Ila Mbowe kusema ukweli sijawahigi kumuamini. Anaonekana ni mfanyabiashara tu. Na watu wake wote sasa wamekuwa hivyo.

Mbona mengi yana muonekano wa hisia na siyo tangible statements?
 
Ukweli gani usio na ushahidi, revelations tu! Ndiyo maana nasema Lisu kuna nati imelegea kichwani. Clubhouse ameleta ushahidi gani, maneno tu! Amefanya submissions AND Submissions are not evidence

ISSA OMARI MAPESA VS. JUMANNE SEBARUA​

Submissions are not evidence but information expounding on the general features of the party's case
Psychopath...
 
Dot zinaunganishwa hivi.

Kuvuja au kuanza kwa harakat za fedha za Abdul na mama yake ni lini?

Tangu hapo mjumbe gani Kamati Kuu CHADEMA amefariki?

Mzee Kibao alikuwa mjumbe Kamati Kuu? Maana kifo chake kilikuwa na dalili za mtu aliyeuawa kutokana na kutishia au kutaka kuvujisha "Siri" Fulani

Mzee Kibao aliuawa kukiwa na ishara kwamba alikuwa akiwakimbia watu Fulani aliokosana nao Dar.
Una ushahidi wa haya madai??
 
Mimi nilishtuka nilipo sikia habari za mtu aliyempa Lissu hizo info ni marehemu na kwamba alikuwa mjumbe wa kamati kuu

Nikajiuliza huyo mtu ni nani na alikufa kifo cha aina gani?

Mambo ya Abdul na Wenje na rushwa zao ni swala la hivi karibuni tu, Aliyefariki karibuni ambaye ni mjumbe bila shaka ni Mzee Ali Kibao

Kwa mazingira haya sio chadema wala serikali watatoka kwenye kashfa ya kifo cha Kibao, hii inaelekea ni joint operation kati ya serikali na baadhi ya watu chadema

Halafu ndio maana pia mama yenu aling'aka aliposkia kifo cha Kibao na kuishia kusema kwa hasira kifo ni kifo tu wamekufa wangapi mnahangaika na Kibao?

Huenda siri alizokuwa nazo Kibao zina implicate familia yake ndio maana akawa kama katiwa pilipili

Muda ni mwalimu mzuri, Tusubirie
Mwamba GT hupo?
 
Mkuu, Kibao alikuwa ni mtu wa karibu sana wa Mbowe. Na alikuwa anajua mengi.

Tutafakari:
1. Mwenyekiti anafuatwa gerezani na ''watu wasiojulikana'' na kufanya mazungumzo ya kina.

2. Anatolewa gerezani na kwenda kwa mama moja kwa moja na wafanya mazungumzo ya faragha wao wawili tu.

3. Abdul na makapu yake yaliyojaa fedha anamtembelea mwenyekiti na baadhi ya viongozi wa chama na anaondoka makapu yakiwa tupu.

3. Mwenyekiti anaambiwa amuunganishe Abdul na Lissu ili naye apate mgao wake na anamteua Wenjele kufanya hiyo kazi.

4. Wenjele na Abdul wanakwenda na makapu yao yaliyojaa fedha kwa Lissu lakini Lissu anayakataa.

5. Lissu anafanya uchunguzi mkali na wa siri na mzee Kibao anampa details zote.

6. Lissu anaanika hadharani kuhusu makapu ya fedha.

7. Mwenyekiti anaitisha kikao ili amwadhibu Lissu

8. Lissu anatoa ushahidi wa kina na mwenyekiti anaufyata.

9. Mwenyekiti anagundua kumbe Kibao alitoa siri.

10. Mwenyekiti anamrudia Abdul na kumweleza alichofanya Kibao, na Abdul anamwambia mama, na mama anamwambia mkuu wa ''wasiojulikana'' na ''wasiojulikana'' wanatumwa kufanya waliyofanya.

11. Wakati wa mazishi ya Kibao, familia inakuja juu lakini mwenyekiti anaingilia kati kinafiki na kusema wawe na adabu.
Ahsante mkuu, 'macho_mdiliko' kwa 'summary' hii yenye mtiririko mzuri unao eleweka kirahisi kabisa.

Sasa sijui kama uchunguzi wa tukio hilo utatolewa tena haraka kama ilivyo agizwa!
Hiyo "haraka" sijui ni mpaka lini!
 
Back
Top Bottom