Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Wana mbinu nyingi. Sio lazima direct hit. Kwa Mwendazake kuna rumours kwamba betri ya moyo ilizimwa remotely na some technician with camera, kipaza sauti kiliwekewa Covid.
Kwahiyo Covid au Battery ?
 
Kwenye haya mauaji ya Mzee kibao inavyoonekana Dkt Samia hahusiki kabisa ila inawezekana ni mbowe acted alone ili kulinda yale yote chini ya kapeti kwa sababu mzee Kibao alikuwa karibu na lisu ambaye yeye mbowe alishataka kumuua akamkosa hivyo inaonekana Mzee Kibao alikuwa na taarifa za uhakika kwamba mbowe ni mhusika baada ya kulikisha hiyo siri ya abduli basi mbowe akaona ahaaa basi hata la risasi za lisu 2017 lisu ataambiwe iwe nongwa
Dah!
Mkuu 'Muda', hebu twende taratibu; maana hiyo nadharia ya Mbowe kuhusika kumwondoa Lissu ni ya muda mrefu, ingawa hadi leo hii pamoja na haya mengine mapya, siyo rahisi kuiamini.

Simply, it was too far fetched to be believed then, and it is still not possible to be linked directly to this new episode concerning Mzee Kibao. As of now, it's safe to say, these are two distinct incidents, unrelated.

Tuvute subira kidogo, mambo yanaelekea kujifunua yenyewe.
 
Kabla ya wakati gani? Huoni namna zinavyotumika hila nyingi kumdhibiti asipate platform ya kuongelea? Walianza kwa kumuwekea mshindani rafiki wa Mwenyekiti kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti...
Hajazuiwa mkuu. .
Alitakiwa aseme mizengwe wakati uleule na sio kusubiria uchaguzi ili kupata huruma..
 
Dah!
Mkuu 'Muda', hebu twende taratibu; maana hiyo nadharia ya Mbowe kuhusika kumwondoa Lissu ni ya muda mrefu, ingawa hadi leo hii pamoja na haya mengine mapya, siyo rahisi kuiamini.

Simply, it was too far fetched to be believed then, and it is still not possible to be linked directly to this new episode concerning Mzee Kibao. As of now, it's safe to say, these are two distinct incidents, unrelated.

Tuvute subira kidogo, mambo yanaelekea kujifunua yenyewe.
šŸ“ŒšŸ“Œ
 
Aisee kumbe Mzee Kibao aliuawa na ndugu kengeza aka mr zero mbowe hahahaha aisee yajayo yanafurahisha. Na aliyehusika kutaka kumuua lisu ni huyo huyo mbowe na mbowe huyo huyo anaongoza genge la magaidi la kuteka na kuua. Hahaha Dkt Magufuli alale unono kwa Amani huku wenyewe wameanza kuumbuana
Hakuna ushahidi wowote...ungekuwepo polisi wangeshachukua hatua.
 
Back
Top Bottom