LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Haahaa lissu sio wa type hiyo boss, atafunga mdomo akifa.We funga tu Wako.Lissu ni Simba, Samia ana juaUtaongea mengi kama Chiriku!
Muhimu TAL jifunze,kufunga mdomo!
Huo mdomo utakuponza na ndio ulio kuponza kule Dodoma.
Hata Samia anamjua lissu, ndo maana Kuna Simba Samia alipewa jina la lissuUmeanza kumjua Lissu kipindi cha Magufuli?
Angekwepo Marehemu Mkapa angekuambia Lissu ni nani.
Kikwete aliwahi kutamka ni heri wakose Urais kuliko Lissu kuingia bungeni.
Source : Trust Me Bro Hutaki Acha.
Is this our current topic? Umeitoa wapi hii? Unarukia tu...ikifika kujadili hiyo tutaijadiliHaahaa Ile mbowe ya kusema maghufuli alitaka kumuhonga ana ushahidi?
Hata akili za kipumbavu za baba yako na mama yako za kuuza ng'ombe wao ili kukusomesha wewe bila ya kujua kuwa wameuza ng'ombe hili kusomesha ng'ombe...ni ccm ndiyo inausikaNi CCM iliyosababisha TL na kundi lake wanywe CIROC X-Mass hii ?!! Ha ha ha
Watu wengi hufuatana kama nyumbu bila kutumia akili ya kawaida. Akiwemo mmoja mbele wanafuata mkumbo. Ikitokea wameshtushwa mwingine akabadili uelekeo kwa kuogopa, vivyo hivyo watafuata bila kujali hatari iliyo mbele.Ukitaka akili yako ijione haina akili basi kuwa mfuasi wa siasa za Afrika...
Wengine wanasema ni Dr. Lillian mke wa MboweHuenda ndio Mbowe mwenyewe huyo, anajaribu kutupoteza maboya
Vitombi wana hekima sana wanapotaka kumvua mtu chupiMna gear za ajabu ajabu za kumtokea demu
Tawire!Aiseee!
Ipo shida kubwa CHADEMA, naomba isiwe hivi ninavyofikiri.
Lakini, siasa za Tanzania ni hatari mno. Kama mtu anajijua hayuko tayari kuagana na nyonga ni vyema asijihusishe kabisa.
Na kama ni hivyo basi Mbowe pamoja na hela za Abdul na Mama yake Mbowe ataangukia pua na huo utakuwa mwanzo wa anguko lake kuu. Ila wangesoma Kurjuan ndiyo ingekuwa poa wote waliolamba hela ya Abdul wangepukutika.Inawezekana Ile Albadiri ya Tanga inaanza kutoa majibu.
Hivi sasa naanza kumuelewa Msigwa na asingekuwa salama kama angeenda vyama vingine vya upinzani, Msigwa ana Akili sana ingawa nilikuwa namuona msaliti kumbe wasaliti ndiyo wamekaa kwenye kiti cha EnziNilifikiri ni mimi ndio nilikuwa sijui kumbe siko peke yangu!
Hiki alichokisema Lissu kimenipa tafakuri nzito, naogopa!
Ben Saanane ni Magufuli. Tena mtekelezaji ni kile kikundi cha Makonda.Huenda Ben saa name alitishia uenyekiti wa Mbowe, alikuwa kichwa zaidi ya Mbowe.
Alikuwa member mkongwe hapaMohamed Mtoi.
RIP
Nilikuwa najiuliza sana sababu za Mzee Kibao kufanyiwa unyama ule.
Kwanza nilikuwa hata sijasikia uwepo wa mtu kama huyo ndani ya CHADEMA; kwa sababu sikuwahi hata kusikia akitamka lolote hadharani.
Sasa majibu yame patikana.