Huhitaji tena jicho la kijasusi kujua yule Mzee muungwana kwanini aliuwawa na aliuwawa na akina nani.
Two dark sides cooperate in the elimination of that innocent soul.
Mobutu Seseko pale DRC alikuwa anamiliki vyama kama 40 hivi vya siasa.
It's too late for TL and his follower to discover the purpose of CDM in Tanzania politics.
Wamechelewa sana wale watu kung'amua hilo masikini, ndani ya CDM kulikuwa na double business zinaendelea.
Siku nikitulia nitawaletea aina ya makundi yaliyokwepo CDM, lakini kundi moja ambalo nalionea huruma ni lile ambalo liliamini CDM is the real deal and serious party to oust CCM, kundi hili ndio Lissu masikini yupo.
Mnisamehe kuchanganya kiingereza na Kiswahili, Niko English course mahala.
Yaani ile scenario tu ya COVID 19 ilishindwa kabisa kuwaambia who is CDM and what is going on there.
Inawezekanaje wake na wachumba wa viongozi tena wale wanaoaminisha ndio conservatives wawe part ya wavunja katiba na taratibu za chama? Yaani ndani ya wale COVID19 kuna wake na wachumba wa viongozi, halafu tunakwenda kuilaumu CCM.