Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Ni dhahiri kifo cha Mzee Kibao kinahusika na ushahidi aliokuwq nawo wa miamala ya Abdul. Hapa ilipigwa kolabo kati ya Mbowe na dola yeye Mbowe alitoa code wana wakaja kufanya finishing. Mbowe hutabaki salama kwa damu ya huyu Mzee utatangatanga kama ilivyokuwa kwa Kaini baada ya kumuua nduguye Habili.
 
Huhitaji tena jicho la kijasusi kujua yule Mzee muungwana kwanini aliuwawa na aliuwawa na akina nani.

Two dark sides cooperate in the elimination of that innocent soul.
Mobutu Seseko pale DRC alikuwa anamiliki vyama kama 40 hivi vya siasa.
It's too late for TL and his follower to discover the purpose of CDM in Tanzania politics.
Wamechelewa sana wale watu kung'amua hilo masikini, ndani ya CDM kulikuwa na double business zinaendelea.

Siku nikitulia nitawaletea aina ya makundi yaliyokwepo CDM, lakini kundi moja ambalo nalionea huruma ni lile ambalo liliamini CDM is the real deal and serious party to oust CCM, kundi hili ndio Lissu masikini yupo.

Mnisamehe kuchanganya kiingereza na Kiswahili, Niko English course mahala.

Yaani ile scenario tu ya COVID 19 ilishindwa kabisa kuwaambia who is CDM and what is going on there.
Inawezekanaje wake na wachumba wa viongozi tena wale wanaoaminisha ndio conservatives wawe part ya wavunja katiba na taratibu za chama? Yaani ndani ya wale COVID19 kuna wake na wachumba wa viongozi, halafu tunakwenda kuilaumu CCM.
 
Nilifikiri ni mimi ndio nilikuwa sijui kumbe siko peke yangu!

Hiki alichokisema Lissu kimenipa tafakuri nzito, naogopa!
Hivi sasa naanza kumuelewa Msigwa na asingekuwa salama kama angeenda vyama vingine vya upinzani, Msigwa ana Akili sana ingawa nilikuwa namuona msaliti kumbe wasaliti ndiyo wamekaa kwenye kiti cha Enzi
 
Nilikuwa najiuliza sana sababu za Mzee Kibao kufanyiwa unyama ule.

Kwanza nilikuwa hata sijasikia uwepo wa mtu kama huyo ndani ya CHADEMA; kwa sababu sikuwahi hata kusikia akitamka lolote hadharani.

Sasa majibu yame patikana.

Na sie wajinga wa Sangang'walugesha sasa tumeelewa!
 
Back
Top Bottom