Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Wewe kwa akili yako kama serikali ingekuwa haihusiki unafikiri ingelikalia hili suala bila hata uchunguzi wowote au hata bila mtu hata mmoja kuhojiwa? Hii issue hakika nakuambia JPM asingeiacha ipite kama angekuwa hahusiki, same na issue ya Lissu.

Halafu akili finyu unazo wewe. Usikaribishe matusi wengine hatuna breki.
 
Aliekuwa na resources alishindwa kuzitumia kujisafisha dhidi ya tuhuma zote hizo. Kwanini hakukuwa hata na uchunguzi? kwanini hakukuwa na watu waliofikishwa mahakamani?
 
Umeshaambiwa kuna uwezekano kwamba kulikuwa na mfumo ndani ya mfumo - pande mbili zenye nguvu zinazosigana kwenye mfumo uleule mmoja.

Jamaa anadai kwamba ndipo ukatokea mwanya wa kusukumiana kete mbovu kwa ushirikiano wa adui wa nje anayetambulika na ule mfumo ndani ya mfumo. Sijui inaeleweka hapo?

Unaposema JPM angejua nani aliyekuwa mastermind wa kumpoteza BS8 kwa sababu ya nguvu na intelligence aliyokuwa nayo, usisahau pia kwamba kuondoka kwake mara kwa mara kumehusishwa na njama zilezile za yeye mwenyewe kuondolewa (na akina nani hao?!). Please, think!!!
 


Tumia akili ...kwa sasa serikali ipo mikononi mwa watu walio mchukia jpm swali je mbona si mbowe wala ccm ya samia wanataka uchunguzi ufanyike kuhusu hicho kifo .....wewe hata samia umjui ni nani! Samia ana chuki kubwa sana na JPM ndiyo maana wamezuia kabisa jina lake kutajwa swali je kama jpm aliusika na kuua hao watukwa nini samia asinge sisitiza uchunguzi ili kumzihilisha kuwa jpm ni muovu tofauti na mbinu wanazo tumia sasa za kuzuia jina lake kutajwa
 
Aliekuwa na resources alishindwa kuzitumia kujisafisha dhidi ya tuhuma zote hizo. Kwanini hakukuwa hata na uchunguzi? kwanini hakukuwa na watu waliofikishwa mahakamani?
Jibu samia na kikwete wanampenda jpm? Je nchi kwa sasa hipo mikononi mwa nani ? Je ipo.mikononi wa wafuasi wa jpm au la ? Kama ni la?.... je ni kwa nini uamini kuwa walio husika na icho kifo ni ccm na chadema waliokuwa wanamchukia jpm ....je kwanini kikwete asitake uchunguzi huru wa hivyo vifo baada ya jpm kufa ili wapate kumdhihilisha uovu wake mbele ya jamii iliyo kuwa inamkubali sana jpm ...tumia akili za kiume ...wauaji wa saa 8 ndiyo wakubwa walio shika nchi sasa na wakishirikiana na wakubwa wa chadema
 
Mkuu, hoja yako inaeleweka vizuri sana. Lakini unaipa asilimia ngapi ya uhakika - 100%? Kama si 100% basi jua kwamba upo uwezekano wa hoja mbadala.

Ukisema uchunguzi haukufanyika, utakuwa unaongea bila ushahidi wowote kwa sababu mimi na wewe hatujui kilichokuwa kikiendelea nyuma ya pazia - labda kama na wewe unajua siri zote za serikali.

Sidhani kama uko sahihi unaposema hakuna uchunguzi wowote uliofanyika, kwamba hakuna hata mtu mmoja aliyehojiwa. Hatuna uhakika 100% kuhusu hilo.

Kama kuna ukweli wa nadharia ya uwepo wa mfumo ndani ya mfumo, si ajabu matukio mengi haya-make sense kwa mwonekano wa juujuu.
 
Li lisu liongo. Kwa hekima nadhani mbowe aendelee kuwa mwenyekiti maana japo mropokaji ila ana hekima ya uongozi
 
Wewe umeelewa na ndiyo sababu kuu inayo fanya uchunguzi aufanyiki hata baada ya jpm kufa ...wakina kikwete wapo kimya ...rostam azizi yupo kimya samia yupo kimya...ila jina la magufuli wamelipiga vita lisitajwe popote
 
JPM alikuwa vitani na C hivyo akukuwa na aja maana alikuwa tayari yupo vitani nao hao C
 
Mimi na wewe hatujui 100% kwamba C hana rasilimali zote zinazohitajika kumwondoa B.

Hebu fikiria, hadi C afikie hatua ya kuthubutu kumwondoa B kisha msala huo akampakazia A anayedhaniwa kuwa ana rasilimali zote, hivi hudhani kwamba nguvu ya C itakuwa kubwa mno?

Nikushauri tu kwamba usimpime C kwa juujuu, ukaishia kudhani ni dhaifu. Halafu A usimpe asilimia zote za kuwa na nguvu.

Mfikirie C kwamba huenda ni miongoni mwa ile nadharia ya mfumo ndani ya mfumo. Nani ajuaye?!

Nimekupa mfano hapo juu kwamba wapo watu wanaamini A yeye mwenyewe alitishiwa uhai wake mara kadhaa na akaishia kuondolewa. Kwa mantiki hiyo huwezi kusema A ana resources zote.
 
Alafu lissu awe na adabu ,unamzungumiziaje marehemu , ambapo tukitaka ushahidi ,hatuwezi upata .

Mie ni Tim lissu kwa sasa , ila Lissu lazima kuwa na adabu, sifa zisimlevye ,pumbavu sana
 
Bninapata picha kuwa na inaoneka maraisi wa ccm waliotangulia Bm, jk, walimuweka Mbowe kwenye circle zao

Sasa alipokuja kichwa ngumu magu akamtoa na kumtolea nje, akajalibu kumdhoofisha ili asijaribu kumkaribia

Jpm Akiamini kwa siasa zake za udikteta hamuhitaji mbowe anajitosheleza

Alipokuja mama abdul imebidi amrejeshe kwenye circles zake

Mama ameenda zaidi ya watanulizi wake amemwaga fungu la uhakika

Abdul ni masterminder
 
Inaonekana pia, hii minyukano na fukuto imeanza zamani ndani ya vikao vyao vya ndani!

Huu uamuzi wa Lissu kugombea uwenyekiti ni preemptive strike! Kwa sababu alikuwa anajua anaenda kushughulikiwa!

Lissu hana Tena Cha kupoteza!
Uko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…