Hapa inabidi wananchi wenyewe wapambane. Kusema tunategemea viongozi wa upinzani tunajidanganyaHii nchi imekuwa ya viongozi wa kiharamia sana; sasa hata viongozi wa upinzani wana shirikishwa kwenye uharamia huo huo, kwa kujinufaisha wenyewe!
Rostam atakuwa nan sasa mkuuNiliwaambia hata ben saa 8 ni hivyo hivyo mbowe ukitaka akuchape hata ngumi mtajie jina la ben saa8 ...hataki hata kusikia huo upumbavu unao itwa ben...watz mna qkili ndogo sanq hata huyo tundu lissu amechelewa sana kuijua chadema na mbowe pamoja nq genge lake japo yumo ndani ya chadema....wapo wapumbavu wanasema rostam azizi ni mfanyabiashara 😁😁😁😁 rostam azizi ajawai kufanya biashara hata ya kuuza pipi huo ndiyo ukweli .....sema wapumbavu wanadhani ni mfanya biashara maana ndiyo anavyo jiweka aonekane mfanya biashara
Kama ni karata dume basi wakimuua itakuwa ni king 🤴 kabisa kwa sababu itasomeka JPM ndiyo kamuua na ndicho walicho fanyaUkinangalia situation ya BS8 hao akina nanii hakuwa na conflict ofinterest na wao, kwanza as long as hao kina nanii walikuwa na mgogoro na JPM kwao huyo BS8 ilikuwa ni karata dume kabisa kusaidia kwenye mashambulizi dhidi ya JPM
Kunamambo mengine uwe unatumia akili ya kufikili umatondoka tu kama inzi, lissu alishambuliwa maeneo yanayolindwa na serikali, na cctv-camera, lukuki tuseme mbowe, aliwazidi akili serikali,.??Yes mbowe atatimiza azima yake ya 2017 aliyoshindwa kumuua. Na sasa akimuua itajulikana ni serikali maana yeye lisu alishamsafisha mbowe kwa kusema wanataka kumuua ili wamsingizie mbowe wakati muuaji ndiyo mbowe. Hahaha mbowe gaidi
Wewe kwa akili yako fuvu nani mwenye makosa, hapo kati ya mbowe na serikali?Na mbowe huyu huyu alikosa kosa kumuua zito, Dkt Slaa aliponea chupu chupu akakimbilia Canada, ila Lisu anabahati zile risasi zilimkosa kosa. Mbowe kwa ufupi ni gaidi na uaji
Lakini kaongea ukweli mchaga kwenye pesa kukua ni kama kunywa maji tu kwake!?Wewe mama ako na baba ako na ndugu zako wameuwawa na Wachaga?
Mentality ya kipumbavu sana,
Ndugu zako wameuwawa?Lakini kaongea ukweli mchaga kwenye pesa kukua ni kama kunywa maji tu kwake!?
Lisu ni binadamu? Unadhani hawezi kusema uongo? Unaamini makelele yake hayawezi kuwa yanaficha uovu ndani yake?Kwa wala rushwa, wapenda ufisadi na wadhulumati, lissu kwao ni takataka😂
Kwani Tindo ni chawa? Sidhani kama ni chawa ila tu anakipenda chama chake na hata kwa hili hawezi kubisha wala kukubaliana nalo kama hakumsikia Mh Lissu mwenyewe.Wafuasi wa CHADEMA kama mtafuatilia vizuri kupotea kwa ben Saanane mtagungua kuna mtu yuko CDM anashikiana na watekaji ingiwa ni ngumu haya machawa kina Tindo ,Erythrocyte kuelewa
Ni rahisi sana kumtambua na kumjua mtu mdanganyifu. Wahalifu mara nyingi huwa si wazungumzaji kama alivyo TL...Lisu ni binadamu? Unadhani hawezi kusema uongo? Unaamini makelele yake hayawezi kuwa yanaficha uovu ndani yake?
Si ni mgeni kama wageni wengine wanaokuja kwake?Kwanini alimkaribisha Abdul nyimbani kwake na kumpa email address?
There's nothing more to think kwa sababu Hezekiah Wenje (Team Freeman Mbowe) amesha confess publicly kuwa yeye ndiye aliyempeleka huyu mgawa rushwa kwa TL na hivyo yeye ni dalali wa rushwa za Abdul na Samia Suluhu Hassan - Mwenyekiti wa CCM...!!Think, Think Think
palm Beach....acha speculations......... ame confess wapi? Usiongee kama mtu asiyekwenda shule.....amesha confess publicly ni dalali wa rushwa za Abdul na Samia Suluhu Hassan - Mwenyekiti wa CCM...!!
These are not speculation..palm Beach....acha speculations......... ame confess wapi? Usiongee kama mtu asiyekwenda shule.....
So what..?Mimi honestly Lisu was my favorite politician..both na Mbowe..even Zito was a good politician.... they had higher mental power reasoning!
Kama huku unakokuita "kuropoka" ni kuweka uchafu na uovu wazi ili watu waukatae, huko kuropoka ni kuzuri sana...Sasa unapoona Lisu anaropoka mambo ambayo si swa mbele ya hadhara bila ushahidi, then huyo hafai! Kisa Uenyekiti!
Don't be stupid..Anaongea as if hakuwa sehemu ya maamuzi yale..huyo ni Mpuuzi, tumemjua....
Sawa tu..na hao nyinyi mnao mshabikia kesho atawageuka kama alivyomgeuka Mbowe mkitaka nafasi yake.
Yote yameshajibiwa...sikiliza hii, nilishaiweka hapa. Just sikilia please halafu nipemrejesho, ukitaka
View: https://www.youtube.com/watch?v=rTWpnMO7kto
Basi tuseme TAL alimwambia Abduly anataka bilioni 10 halafu ziwekwe kwenye akaunti yake ya nje ndipo afike bei.Lisu ni binadamu? Unadhani hawezi kusema uongo? Unaamini makelele yake hayawezi kuwa yanaficha uovu ndani yake?
Kwanini alimkaribisha Abdul nyimbani kwake na kumpa email address?
Think, Think Think
Mnakubali cheap politics, eti ameshakufa, mtaje wewe si ni mwamba wa kutaja siri zote za CC ya chadema, una sifa za kutaja nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.... Hili linakuwa gumu kwa vipi? Mpuuzi tu Lisu...Basi tuseme TAL alimwambia Abduly anataka bilioni 10 halafu ziwekwe kwenye akaunti yake ya nje ndipo afike bei.
Lakini Abduly kusikia hivyo, akafura na kuchukia ile mbaya, jamaa wakaamua kutunishiana misuli na kufokeana palepale.
Abduly: Tutaona sasa wapi utazipata kama hizi!
TAL: Unamtisha nani wewe? Kwani hela zako hizo!
Abduly: Wewe ni zako hizi! Mbona wazitaka?
TAL: Timka zako buana! Usikanyage hapa kwangu tena.
TAL (kwa umma): Kuna mtu alikuja kunihonga nyumbani kwangu, nikamtimua! Mimi sihongeki. Mimi sihonge... sihongekiii!!! Mshanipata?!
UNA AKILI SANAHuyu mbowe ni zaidi ya mwenyekiti huyu anaweza kuwa ni muhusika wa matukio mabaya ya wanachadema.
Mchaga mkishilikina nae hata kwenye biashara za pesa lazima kukutapeli au kukuua kabisa, yani wale kwenye mambo ya pesa, usidhubutu kuwa karibu nao.!?Ndugu zako wameuwawa?
We hupendi pesa
Mkuu, acha kumchafua jina hivyo mwenyekiti wa chama. Tarehe 21 Jan. mwakani sisi tunarudi mzigoni. Nyie endeleeni kubwabwaja vijimaneno maneno ambavyo havina tija.Mchaga mkishilikina nae hata kwenye biashara za pesa lazima kukutapeli au kukuua kabisa, yani wale kwenye mambo ya pesa, usidhubutu kuwa karibu nao.!?
Haya, sawa.Kuna mawili naweza nikafa au nisife.
Mbowe ni kiongozi mzuri tu na mchago wake tunauona, aliifanya chadema kuwa imara hadi leo, mimi yoyote atakayeshinda tutakua pamoja nae, make ccm siitaki kabisa kuendelea kututawala.Mkuu, acha kumchafua jina hivyo mwenyekiti wa chama. Tarehe 21 Jan. mwakani sisi tunarudi mzigoni. Nyie endeleeni kubwabwaja vijimaneno maneno ambavyo havina tija.
^Kuvunjika kwa mwiko si mwisho wa mapishi.^ ~by Raila Amollo Odinga