Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Hapa tuna sumbuka na Uchadema tu, lakini in reality muuwaji wako naye huko huko. Wanampenda sana hata akifanya mambo ambayo hayafai bado wata muita Malaika, lakini ukweli uko pale pale mwenye akili atajua kinacho endelea.
 
Mbowe ni kiongozi mzuri tu na mchago wake tunauona, aliifanya chadema kuwa imara hadi leo, mimi yoyote atakayeshinda tutakua pamoja nae, make ccm siitaki kabisa kuendelea kututawala.
Mkuu, kwenye nchi hii Sisiemu imefananishwa na maji - usipoyanywa basi lazima uyaoge. Kuichomoa madarakani labda huko mbele kabisa mwaka 2100.
 
Mkuu, kwenye nchi hii Sisiemu imefananishwa na maji - usipoyanywa basi lazima uyaoge. Kuichomoa madarakani labda huko mbele kabisa mwaka 2100.
Kwanini iwe hivyo mwl.nyerere alisema kama utabili, atakayekuja kutawala chama cha upinzani, atatoka ccm. Make ccm kutatokea mpasuko mkubwa na utakisarambatisha chama tawala, na upinzani utatumia kama fursa.
 
ndio mwasisi wa utekaji na kuua huwezi acha kumtaja pindi tushuhudiapo haya.
Habibu Hanga kwenye uzi Fulani kafundisha kuwa ...unaweza kuwa wewe siyo Mtaaluma wa masuala ya upelelezi lakini maongezi yako ama utafiti wako waweza kuwa suluhu kwenye masuala mazito ya upelelezi!!!
===
Kwa hiyo, unapojaribu kufukua makabuli hakikisha unatumia koleo na sululu unavyomudu!
 
Nilikuwa najiuliza sana sababu za Mzee Kibao kufanyiwa unyama ule.

Kwanza nilikuwa hata sijasikia uwepo wa mtu kama huyo ndani ya CHADEMA; kwa sababu sikuwahi hata kusikia akitamka lolote hadharani.

Sasa majibu yame patikana.
Bado kuna mijitu inasema inamtaka Mbowe awe mwenyekiti,.. corrupt politician wa namna hii unaendelea kumwamini vipi??
 
Ndo maana Ukimuangalia FAM kwenye interview aliyofanya na Moja ya media hivi karibuni anaonekana anahasira sana na TAL .Anajua mda wa kuumbuka umefika.
 
Time for TL, anything about Freeman from him is true ..

Muda ni adui katili sana .
Kweli kabisa. Mbowe angelijua hili angenyamaza. Haina maana kuongea kwa kujitetea wakati unajua kabisa kwamba hata ukijitetea vipi hakuna mtu aliye tayari kukusikiliza achilia mbali kukuamini. Mbowe alishindwa kusoma alama za nyakati. Sasa hivi kile anachoongea Lissu ndicho sahihi baasi.
 
Nilikuwa najiuliza sana sababu za Mzee Kibao kufanyiwa unyama ule.

Kwanza nilikuwa hata sijasikia uwepo wa mtu kama huyo ndani ya CHADEMA; kwa sababu sikuwahi hata kusikia akitamka lolote hadharani.

Sasa majibu yame patikana.
Lissu aongezewe mlinzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…