Tundu Lissu: Aliyenipa ushahidi wa pesa za Abdul na mama yake kwa sasa ni marehemu

Mpuuz sana takataka hili
 
Lissu alimiminiwa risasi,Lissu huyo huyo alisaidiwa kwa kirefu kukodi ndege,kumsafirisha hadi Nairobi Kenya kwa matibabu na Mheshimiwa Mwenyekiti Mbowe.
Gharama za matibabu na mwenendo wa tiba hadi akatinga Belgium ni Mbowe.
Ikiwa Lissu anasema Mbowe ni prime suspect basi Chadema imekufa na kuzikwa juzi.
 
Hsutaki na hauupendi ukweli?
Ukweli gani usio na ushahidi, revelations tu! Ndiyo maana nasema Lisu kuna nati imelegea kichwani. Clubhouse ameleta ushahidi gani, maneno tu! Amefanya submissions AND Submissions are not evidence

ISSA OMARI MAPESA VS. JUMANNE SEBARUA​

Submissions are not evidence but information expounding on the general features of the party's case
 
Unataka amalize silaha zote kwenye mazoezi tu.Kwani kununua subira ni shilingi ngapi za kitanzania?
 
Duh...makubwaaa, chadema wasipojisafisha na hili watapoteza.Chama kinanuka rushwa
Ccm na serikali wametumia mbinu kubwa sana kuhakikisha chadema inasalimu amri, moja ya mbinu maridhiano uchwara anayotetea mbowe
 
Huwa tunawambia CDM inakikundi chake cha utekaji na Propaganda lakini mnajifanya hamjui ili kiendelee kusikika kinaitaji kufanya matukio yatakayousisimua jamii ili waiongelee Chadema sisi tunawambia kwa sababu tunajua unakuta na mpuuzi Mmoja anamahaba yake anapinga Pinga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…