Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Niko hapa ugimbini ,wadau wa Chadema wanasema bora ya mh.Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti kuliko yule mental case.....Matusi hayajengi hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko hapa ugimbini ,wadau wa Chadema wanasema bora ya mh.Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti kuliko yule mental case.....Matusi hayajengi hoja
Matusi gani hapo sasa? Jibu swala niliyokuuliza mdau amesema wewe ni mke wa DJ Mbowe. Ni kweli?Matusi hayajengi hoja
Ha ha ha ha tajiri huyo na ana mkono mrefu....Erythrocyte asikutishe kwa lolote, hapo alipo yupo period ya ghafla mwezi mzima mpaka mwakan bwana wake atakaposhinda ndo period itakata, c unajua tena wanawake wanaweza ingia kwenye siku zao wakiwa na hofu.
Sikia hiki kijambio cha samia bushiri😁😁😁Punguza ulevi koko....
Ha ha haMatusi gani hapo sasa? Jibu swala niliyokuuliza mdau amesema wewe ni mke wa DJ Mbowe. Ni kweli?
Tatizo ni matumizi yako ya hovyo ya visungura ha ha haSikia hiki kijambio cha samia bushiri😁😁😁
Hy mikono mirefu aitumie kuji-squirtingHa ha ha ha tajiri huyo na ana mkono mrefu....
Visungura ni matokeo ya ccm ...ccm ni ma💩Tatizo ni matumizi yako ya hovyo ya visungura ha ha ha
Endelea kutukana ukidhani umejificha, umasikini ulionao hautaondoka kwa kutukana watuMatusi gani hapo sasa? Jibu swala niliyokuuliza mdau amesema wewe ni mke wa DJ Mbowe. Ni kweli?
Ni CCM iliyosababisha TL na kundi lake wanywe CIROC X-Mass hii ?!! Ha ha haVisungura ni matokeo ya ccm ...ccm ni ma💩
Huna lolote. Chama lako nimekufa kifo cha mende!! Chaliii!Endelea kutukana ukidhani umejificha, umasikini ulionao hautaondoka kwa kutukana watu
Ha ha ha ila atabaki na utajiri.... bilionea huyo....walianza kuzitafuna za hayati Laigwanan EL(rip)....Huna lolote. Chama lako nimekufa kifo cha mende!! Chaliii!
Na alipoulizwa iwapo kifo cha Mzee Ali Kibao kinahusiana na tuhuma za pesa za Abdul aliomba asilizungumzie Hilo kwa sasa.Aiseee!
Ipo shida kubwa CHADEMA, naomba isiwe hivi ninavyofikiri.
Lakini, siasa za Tanzania ni hatari mno. Kama mtu anajijua hayuko tayari kuagana na nyonga ni vyema asijihusishe kabisa.
Kama anasema uongo atapuuzwa. Mropokaji tangu lini akagawa chama?Jamaa sijui kapatwa na nn? aah CDM kuweni makini - zile tetezi alizosema Msigwa za kugawana mbao si ajabu ndiyo hizi.
Jamaa ni furu kuropoka bila ushahidi wowote.
Haya Mkamateni mumfungulie mashtaka.Na inawezekana ndiye aliyepanga kumfyatulia risasi Lissu😁😁
Unaongelea nani hao?Haya Mkamateni mumfungulie mashtaka.
Tatizo Magu hayupo, kauli yake haiwezi kuthibitishwa kama ina ukweli..haya majamaa ni hatari sana ndio maana hata huyo Magu alitaka kuyapoteza mazima.Sasa usipomuamini yeye utamwamini nani? Kama mbowe kakiri hata yeye alitaka kuhongwa na maghufuli Cha ajabu nn
huyo mliomwona ni gaidiUnaongelea nani hao?
Tuliona lile gold la yanga vs mazembe na simba vs jkt au simba vs nkana red devil's muda muda mudaTime for TL, anything about Freeman from him is true ..
Muda ni adui katili sana .
Umeongea point nguvu za uma na viongoz wa dini walitaka eti tubalance equation haya sasa kaungana na systemLissu shikilia hapo hapo.
Mbowe NI mtu hatari Sana.
System ilipomkamata Kwa ugaidi haikuwa Bahati mbaya.
Mbowe ni gaidi na aliachiwa na system sababu ya ujinga wetu kujidai kujua kuliko system.