Hizo ni propaganda Kila mtu anajaribu kujifanya mwema.Ukiwa CCM hakuna hata baya moja litakalo onekana kwako au kwa jamii ni baya ,hiyo ndiyo slogan ya CCM KULINDANA KWENYE UHALIFU, ndiyo maana gari ya mbunge imebeba wahamihaji haramu imegeuzwa
Na nchi hii haiwezi kwenda mbele kama tukiendelea kubaki na aina hii ya viongozi ndani ya chama
Maskini weeh huna unachojua .Kutajwa hata yoyote anaweza kutaja
Walete ushahidi wenyewe kabisaaaa tu uone , ni hawana ndio maana mpaka sasa bila kumtaja Makonda hawapati airtime..
Ya maandamano yameeashindwa hata uongozi wenyewe hawapo vizuri.. Basi wamtaje wapindishe njia..
Makonda ana 🌟🌟🌟💫💫💫
Hawa watu twitter tunawaweka kabatini tu.Hivi kwa akili zako marekani walimzuia makonda kukanyaga huko kwao hawana akili.. kuanzia tekinolojia hii wao ndio wavumbuzi ...wanajua kilakitu na picha na sauti za ushahidi zipo.
SHERIA SIYO HAKI WEWE KIMA PUNJU ....Mpumbavu ni wewe unaehalalisha mauaji kwa raia badala ya kuruhusu mfumo wa sheria ufanye kazi na kwa haki. Huyo anaedaiwa kuagiza Lissu auawe kwa mamlaka aliyokuwa nayo alishindwa nini kuimarisha mfumo wa utoaji haki huko mahakamani ili wanaoshitakiwa huko wapate wanachostahili?
Kinachotakiwa ni ushahidi usiokuwa na shaka, Lissu anajua hilo ila anaendelea kumtaja pasipo ushahidi. Tuanze nasi kutia shaka uanasheria wako.Mboni yeye pia anawawinda? Aliesema Mbowe yupo Arusha ni nani?
Ushahidi anao ndio maana kawafumua TIGO wewe na wenzio na ushahidi amewaonyesha TIGO yako ipo salama?Kinachotakiwa ni ushahidi usiokuwa na shaka, Lissu anajua hilo ila anaendelea kumtaja pasipo ushahidi. Tuanze nasi kutia shaka uanasheria wako.
Kilainishi au lubricated?Watu Kama ninyi parachute inawahusu
Wewe ni mbumbumbu wa sheria za jinai. Pita kule, hujui unachoongea. Parties kwenye jinai ni serikali ndiyo hufungua mashtaka siyo mdhurikaUnajua kwenye hii dunia usipende kushabikia issue za uongo na zisizo na ushahid. Lissu amesema hivyo sawa, basi aende mahakamani kuliko kupayuka payuka tu kama mwendawazimu.
Aidha matatizo hayo ni mengi na sio peke yake. Jana tumesikia, kuna watu wamechomwa moto na kuuliwa. Pia ndugu zao wanauchungu lakini sio kila siku Lissu tu, toka 2017.Mahakamani haendi.Hatupe break tuwawaze na tuwahuzunikie wengine.
Wewe ulivyo ona au kusikia Unaamini lisu alipigwa risasi au alimwagiwa tu juice?Hizo ni propaganda Kila mtu anajaribu kujifanya mwema.
Mimi sioni Cha msingi hapo sababu kuelekea uchaguzi ndio Lissu amekua akiibua mambo mengi ambayo hayana uakika wa kua kweli au lah
Naeza sema ni siasa chonganishi na kutafuta kick za kuonekana anafaa kua kiongozi akati hana sera za maendeleo zaidi ya kupanga maandamano.
Mbona hukuonekana magomeni mapipa kama unampenda!Hii dunia siyo mali ya mtu,yupo mwenyewe anayeamuaga ampumzishe nani na amuache nani,ukiona mtu anajifanya kuringa mpe mda tu
Kwani wewe unampenda kweli!Una roho ngumuu.
Yule ni binadam mwenzako eti