Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

Tujikumbushe kidogo
20240925_222910.jpg

20240925_222509.jpg



 
Ukiwa CCM hakuna hata baya moja litakalo onekana kwako au kwa jamii ni baya ,hiyo ndiyo slogan ya CCM KULINDANA KWENYE UHALIFU, ndiyo maana gari ya mbunge imebeba wahamihaji haramu imegeuzwa

Na nchi hii haiwezi kwenda mbele kama tukiendelea kubaki na aina hii ya viongozi ndani ya chama
Hizo ni propaganda Kila mtu anajaribu kujifanya mwema.

Mimi sioni Cha msingi hapo sababu kuelekea uchaguzi ndio Lissu amekua akiibua mambo mengi ambayo hayana uakika wa kua kweli au lah
Naeza sema ni siasa chonganishi na kutafuta kick za kuonekana anafaa kua kiongozi akati hana sera za maendeleo zaidi ya kupanga maandamano.
 
Kutajwa hata yoyote anaweza kutaja

Walete ushahidi wenyewe kabisaaaa tu uone , ni hawana ndio maana mpaka sasa bila kumtaja Makonda hawapati airtime..

Ya maandamano yameeashindwa hata uongozi wenyewe hawapo vizuri.. Basi wamtaje wapindishe njia..

Makonda ana 🌟🌟🌟💫💫💫
Maskini weeh huna unachojua .
 
Hivi kwa akili zako marekani walimzuia makonda kukanyaga huko kwao hawana akili.. kuanzia tekinolojia hii wao ndio wavumbuzi ...wanajua kilakitu na picha na sauti za ushahidi zipo.
Hawa watu twitter tunawaweka kabatini tu.
 
Mpumbavu ni wewe unaehalalisha mauaji kwa raia badala ya kuruhusu mfumo wa sheria ufanye kazi na kwa haki. Huyo anaedaiwa kuagiza Lissu auawe kwa mamlaka aliyokuwa nayo alishindwa nini kuimarisha mfumo wa utoaji haki huko mahakamani ili wanaoshitakiwa huko wapate wanachostahili?
SHERIA SIYO HAKI WEWE KIMA PUNJU ....
 
pager za Lebanon zinatakiwa ziwe zimewafunza sana hawa viongozi wababe na wauawaji. wajue kuna mataifa yanaweza kuwa yanawafuatilia hadi wanapoenda uwani, na wanaweza kuwafanya chochote. wasijione wao ni miungu sana.
 
Unajua kwenye hii dunia usipende kushabikia issue za uongo na zisizo na ushahid. Lissu amesema hivyo sawa, basi aende mahakamani kuliko kupayuka payuka tu kama mwendawazimu.

Aidha matatizo hayo ni mengi na sio peke yake. Jana tumesikia, kuna watu wamechomwa moto na kuuliwa. Pia ndugu zao wanauchungu lakini sio kila siku Lissu tu, toka 2017.Mahakamani haendi.Hatupe break tuwawaze na tuwahuzunikie wengine.
Wewe ni mbumbumbu wa sheria za jinai. Pita kule, hujui unachoongea. Parties kwenye jinai ni serikali ndiyo hufungua mashtaka siyo mdhurika
 
Tuongelee serious...ushahidi huo wa Tigo ukipatikana, lissu hawezi kumshtaki Makonda? Makonda needs to go to jail hatujui kapoteza wangapi na wangapi wengine maisha yao yapo at risk kwa uwepo wake uraiani....go to hell Makonda go sucker
 
Hizo ni propaganda Kila mtu anajaribu kujifanya mwema.

Mimi sioni Cha msingi hapo sababu kuelekea uchaguzi ndio Lissu amekua akiibua mambo mengi ambayo hayana uakika wa kua kweli au lah
Naeza sema ni siasa chonganishi na kutafuta kick za kuonekana anafaa kua kiongozi akati hana sera za maendeleo zaidi ya kupanga maandamano.
Wewe ulivyo ona au kusikia Unaamini lisu alipigwa risasi au alimwagiwa tu juice?
 
Kwa sababu "Sponsor" alikwishalamba mchanga, mwizi pekee anayeonekana sasa atakutwa na ngozi ni Daudi Albert Bashite, alias Paul Christian Makonda.

Kuna sauti naisikia inanielekeza ule mwezi "mdudu" kapotea hadharani ghafla ni kipindi ambacho aliwezeshwa au kutakiwa kwenda faragha mahali kumezeshwa report ya aliyekuwa mfanyakazi wa Tigo Bw.Clifford kuhusu uhusika wa Bw.Bashite katika tukio baya la kuondosha uhai wa Mhe.Lissu.

Wacha tuone kati yake Mdudu au Boss wa Wadudu na sisi waombaji wengine Mungu wa nani atajibu maombi ya wenye haki kwa hakika.

Mungu wetu sisi siyo Albert, wala Athumani, wala Juma, ama Hasani.
 
Back
Top Bottom